Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kazz0

Kazz0

Member
Joined
Mar 15, 2015
Messages
48
Points
95
Kazz0

Kazz0

Member
Joined Mar 15, 2015
48 95
Kama wewe ni mpenzi wa Korean Dramas, karibu katika thread hii tupate ku share kuhusu kazi hizo hatari za mkorea.

Tuambiane;

- Ipi ni drama yako bora ya kila wakati kwako?

- Ni ya aina gani? (Wengi tumezoea kusema za 'mjini' na 'vijijini')

-Nini kinakuvutia sana katika hiyo Drama?

Pia:

- Nani ni Msanii wako Bora wa kiume na wa kike na baadhi ya drama alizoigiza?

- Nani ni sexiest Actor au Actress kwa maoni yako?

- Ipi ilikua Drama yako ya kwanza ya kikorea kuiona?

- Ni Drama gani ya kikorea unaitafuta sana na unapata wakati mgumu kuipata? (Unaweza ukasaidiwa kuipata na mashabiki wengine)

*Pia tumia thread hii kufahamishana kuhusu drama mpya zilizotoka au unayohisi ni nzuri ila haijapata umaarufu sana!!

Karibu tujumuike! Saraghae! Kumooyo!!

=========

Baadhi ya Links za Dramas mbali mbali za Korea...;

Be Strong Geum Soon

Princess Ja Myung Go

THREE DAYS (2014)

Swallow the Sun

Jumong

King Guenchoggo

=====

Links za ku-download drama za Kikorea;

- Watch Drama Online | Korean Drama | Japanese Drama | Taiwanese Drama | Hong Kong Drama | Chinese Drama
- GoodDrama.Net

======

Updated: Kwa mjadala na kubadilishana uzoefu kuhusu series za jumla za movies mbalimbali, za zamani na mpya, Unaweza pia kufuatilia UZI HUU hapa Series (Special thread)
..

Kazi kwako.. Enjoy!
 
Great Conqueror

Great Conqueror

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2018
Messages
223
Points
500
Great Conqueror

Great Conqueror

JF-Expert Member
Joined Apr 14, 2018
223 500
Jodong Jeong( Sambong) nipo ep 10, even SIX FLYING DRAGON haiufikii huo moto wa Sambong hata kwa chembe, kifupi hawa jamaa walimaliza kila kitu hivyo sidhani kama Great Seer inaufikia.
 
Nifah

Nifah

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2014
Messages
26,457
Points
2,000
Nifah

Nifah

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2014
26,457 2,000
Jodong Jeong( Sambong) nipo ep 10, even SIX FLYING DRAGON haiufikii huo moto wa Sambong hata kwa chembe, kifupi hawa jamaa walimaliza kila kitu hivyo sidhani kama Great Seer inaufikia.
Hahaaaaa usimalize maneno kwa drama ambayo bado hujaiangalia Mkuu.
Mimi sijaiona hiyo Sambong hivyo siwezi kusema sio nzuri zaidi ya hii The Great Seer, naimaliza leoleo na kwa maana hii itabidi niianze hiyo Sambong pia.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
ESANDU

ESANDU

Member
Joined
Jun 1, 2018
Messages
52
Points
125
ESANDU

ESANDU

Member
Joined Jun 1, 2018
52 125
Kuna Baadhi Ya Waigizaji Ambao Wanapendezea Sana Kuigiza Bad Guys Ama Villains, Conmen, Watu Makatili n.k. Na Miongoni Mwa Hao Ni Huyu Mzee-Kijana Jung Woong-In.

Unaweza Kuta Kuna Projects Ambazo Unakuta Muigizaji Anaigiza Kama Villain Lakini Hafananii Kabisa Na Kile Anachoigiza Na Anakuwa Kama Amelazimika Tu Kuigiza Uhusika Huo Kutokana Na Sababu Mbalimbali.

Katika Projects Nyingi Alizohusika Huyu Jamaa Na Nyingine Zijazo, Kwa Maoni Yangu Ana-Fit Sana Akiigiza Kama Villain Kutokana Na Muonekano Na Uwezo Wake Wa Kuuvaa Uhusika Wa Namna Hizo.

View attachment 1069872

View attachment 1069847
Jamaa amefaa sana kwenye Empress Ki na pia yupo kwenye......(nimesahau)
Binafsi Song Il-Gook namwelewa sana

Sent from The Black Forest

Sent from The Black Forest
 
Great Conqueror

Great Conqueror

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2018
Messages
223
Points
500
Great Conqueror

Great Conqueror

JF-Expert Member
Joined Apr 14, 2018
223 500
Hahaaaaa usimalize maneno kwa drama ambayo bado hujaiangalia Mkuu.
Mimi sijaiona hiyo Sambong hivyo siwezi kusema sio nzuri zaidi ya hii The Great Seer, naimaliza leoleo na kwa maana hii itabidi niianze hiyo Sambong pia.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Kasi yako inanitisha maana miye nakwenda nayo taratibu, mwishowe utaanza kunisimulia matukio angali miye ndo nimeianza.
Nachelewa kwenda nayo kasi, sababu kuna the Great King Sejong naicheki, nayo ni tamu kweli kweli.
 
Nifah

Nifah

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2014
Messages
26,457
Points
2,000
Nifah

Nifah

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2014
26,457 2,000
Kasi yako inanitisha maana miye nakwenda nayo taratibu, mwishowe utaanza kunisimulia matukio angali miye ndo nimeianza.
Nachelewa kwenda nayo kasi, sababu kuna the Great King Sejong naicheki, nayo ni tamu kweli kweli.
Nimeshamaliza The Great Seer, ilikuwa kali naipa 9/10.
Sasa kwakuwa umelalialia ngoja nianze na Bidam kwenye The Fiery Priest, lol
Nikiimaliza hiyo ndio nitaanza kuangalia Sambong.

Hata hivyo nimeangalia drama za historical siasa sana hadi nimechoka, uzuri hii ninayotaka kuangalia genres zake ni crime na comedy.
Nimemiss kuangalia drama zenye intelligence kali, na hapo tena mzee baba Jukbang yupo humo ni raha tele.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Great Conqueror

Great Conqueror

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2018
Messages
223
Points
500
Great Conqueror

Great Conqueror

JF-Expert Member
Joined Apr 14, 2018
223 500
Nimeshamaliza The Great Seer, ilikuwa kali naipa 9/10.
Sasa kwakuwa umelalialia ngoja nianze na Bidam kwenye The Fiery Priest, lol
Nikiimaliza hiyo ndio nitaanza kuangalia Sambong.

Hata hivyo nimeangalia drama za historical siasa sana hadi nimechoka, uzuri hii ninayotaka kuangalia genres zake ni crime na comedy.
Nimemiss kuangalia drama zenye intelligence kali, na hapo tena mzee baba Jukbang yupo humo ni raha tele.

Sent from my iPhone using JamiiForums
"The Fiery Priest" ni historical drama or ni ya mjini!?!
 
Damushin

Damushin

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Messages
3,366
Points
2,000
Damushin

Damushin

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2015
3,366 2,000
Hivi hakuna kaz nyingine aliyofanya sambog tofauti na jodong jeong na six flying dragon?,kama ipo mnijuze wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu sambong si actor bali ni jina la umaarufu la mwanaharakati aliyepata kuishi mnamo karne ya 13.
jina lake halisi ni jung do jeon.
waziri mkuu wa mwanzo wa joseon dynasty
 
Damushin

Damushin

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Messages
3,366
Points
2,000
Damushin

Damushin

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2015
3,366 2,000
"tafadhali simama, ni mara ngapi nimekuomba uwe mwanamke wangu lakini hutaki, leo hii unasema upo tayari uwe mke wangu, labda unafikiri nitajisikia furaha, hali ya kuwa mimi sipo ndani ya moyo wako, si unasema utakuwa mke wangu basi sawa hata kama nitashindwa kuuteka moyo katu sitakubali kuupoteza mwili wako “

“laiti kama maneno hayo ningeliyasikia tulipokuwa Mujinju ningelijiona ni mwanamme mwenye bahati sana na ningeliachana na ukorofi wote nilionao, lakini wewe moyoni mwako yupo jang bogo tu,

mama yangu alikuwa mtumwa na alifariki kwenye jahazi ndipo master yi akaamua kunilea yeye ni kama baba yangu, mwanzo niliwahi kukwambia kuwa niliwahi kukuona ulipokuwa mdogo maeneo ya Chunghae, urembo wako, tabasamu lako niliamini vingeliniondolea upweke na huzuni nilionao kwa kukosa mapenzi na malezi ya mama ila nimeshindwa kumuondoa jang bogo ndani ya moyo wako kwa hivyo tafadhali nakuomba uondoke uwende kwa jang bogo kwani yeye ndie pekee unayemuona atakupa furaha”

jamani jamani jamani hivi wale madirector pamoja na waandishi waliokuwa wanasimamia project mfano wa jumong, emperor of the sea, emperor wang guhn, age of warriors, yeon gaesomun, tears of dragon n.k
wako wapi?
je wameshafariki?

kama wapo hai mbona hawatengenezi tena project za kibabe kama zile?

siku hizi ni mwendo wa stori za kijinga, mara paap do min joon katoka sayari ya masi au physics anakwenda duniani kukutana na binti karemmbo mwenye mapengo

mara paap general choi young mtemi aliyeshindwa na yi seong gye anatoka gaegyeong anaelekea seoul kumtafuta daktari akamtibu mfalme nguvu za kiume utafikiri miti aina ya ginseng imekwisha nchini goryeo au joseon.

1555373984932-png.1072653
 
Nifah

Nifah

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2014
Messages
26,457
Points
2,000
Nifah

Nifah

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2014
26,457 2,000
"tafadhali simama, ni mara ngapi nimekuomba uwe mwanamke wangu lakini hutaki, leo hii unasema upo tayari uwe mke wangu, labda unafikiri nitajisikia furaha, hali ya kuwa mimi sipo ndani ya moyo wako, si unasema utakuwa mke wangu basi sawa hata kama nitashindwa kuuteka moyo katu sitakubali kuupoteza mwili wako “

“laiti kama maneno hayo ningeliyasikia tulipokuwa Mujinju ningelijiona ni mwanamme mwenye bahati sana na ningeliachana na ukorofi wote nilionao, lakini wewe moyoni mwako yupo jang bogo tu,

mama yangu alikuwa mtumwa na alifariki kwenye jahazi ndipo master yi akaamua kunilea yeye ni kama baba yangu, mwanzo niliwahi kukwambia kuwa niliwahi kukuona ulipokuwa mdogo maeneo ya Chunghae, urembo wako, tabasamu lako niliamini vingeliniondolea upweke na huzuni nilionao kwa kukosa mapenzi na malezi ya mama ila nimeshindwa kumuondoa jang bogo ndani ya moyo wako kwa hivyo tafadhali nakuomba uondoke uwende kwa jang bogo kwani yeye ndie pekee unayemuona atakupa furaha”

jamani jamani jamani hivi wale madirector pamoja na waandishi waliokuwa wanasimamia project mfano wa jumong, emperor of the sea, emperor wang guhn, age of warriors, yeon gaesomun, tears of dragon n.k
wako wapi?
je wameshafariki?

kama wapo hai mbona hawatengenezi tena project za kibabe kama zile?

siku hizi ni mwendo wa stori za kijinga, mara paap do min joon katoka sayari ya masi au physics anakwenda duniani kukutana na binti karemmbo mwenye mapengo

mara paap general choi young mtemi aliyeshindwa na yi seong gye anatoka gaegyeong anaelekea seoul kumtafuta daktari akamtibu mfalme nguvu za kiume utafikiri miti aina ya ginseng imekwisha nchini goryeo au joseon.Please let her be by my side
Although I would not get her heart...
just until she notice
Please help her one day look back
so that she can see that I'm always by her side
Whenever that will be
help me wait until the day
My heart that wants her
should not be sinned.

Please help her someday notice
that my humble love for her is endless
My heart that wants her
should not be sinned...

Please hear my prayers..
Help me I don't hurt her again
because of the love I cannot have
It will make

Please hear my prayers....
Laying myself in a breeze
I am now leaving this world.
I shall hide my self
Love, my sorrowful love
Let us depart from this world together

If I can never forget you
If that is what I will do...
I shall rather bury you in my heart
What really is painful than waiting you is
realizing the fact that I am still loving you
Years and years have passed...
But since I know that I will never be able to erase my desire for you
"It is not a love" I keep telling myself...
it is never a love"
But I still love you
The piercing tears flowing in my heart
calls me to leave you

unapovuta bangi nyakati za usiku unajihisi kama unamtuma bill gates akuandalie chai kumbe maruerue ya kufungwa na barcelona bado hayajaondoka kichwani.
View attachment 1072653
Kumbe na wewe umeliona hilo? (Hapo kwenye purple)
Drama za siku hizi ni hovyohovyo sana, mimi naangalia tu sina jinsi ila moyo wangu bado uko kwenye drama za zamani (miaka ya 2012 kurudi nyuma)

Bora historical drama, hizi drama za town ndio kuna utoto mwingiiiiii, inabidi ufanye uchambuzi mzuri ndipo uweze kupata drama ya maana.
Imagine ile Goblin iliyopendwa na kusifiwa sana mimi ilinishinda episode chache kuelekea mwisho, huko kote nilivumilia nikidhani nitafika pazuri lakini wapi! Ni moja kati ya drama za hovyo kabisa kuziona.

Nahisi pia generation inayoangalia hizi drama imebadilika, watu wazima baada ya kuona utoto mwingi wamekaa pembeni sasa watoto walio wengi ndio wamejaa naona directors wameusoma mchezo ndio maana wanaandaa drama za mambo ya kitoto-toto.

My Oppa siku akirudi ktk drama nitakuwa kichaa, miss him much.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
mjr95

mjr95

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2016
Messages
5,818
Points
2,000
mjr95

mjr95

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2016
5,818 2,000
Nimeshamaliza The Great Seer, ilikuwa kali naipa 9/10.
Sasa kwakuwa umelalialia ngoja nianze na Bidam kwenye The Fiery Priest, lol
Nikiimaliza hiyo ndio nitaanza kuangalia Sambong.

Hata hivyo nimeangalia drama za historical siasa sana hadi nimechoka, uzuri hii ninayotaka kuangalia genres zake ni crime na comedy.
Nimemiss kuangalia drama zenye intelligence kali, na hapo tena mzee baba Jukbang yupo humo ni raha tele.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Jukbang ni shida

MGC
 
Forum statistics

Threads 1,284,203
Members 493,978
Posts 30,817,141
Top