Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Katika Historical Drama nilizomuona huyu mwamba IM HO zote kacheza kama mfalme na kifupi jamaa anawezea sana kucheza kama mfalme👏
images.jpeg
 
The Great King Sejong ni 🔥🔥kama haujawahi kuiona kaitafute ndo kwaaaaaanza nipo episode ya kwanza
Kilichonivutia imejawa na mafundi halafu Lee Bang won aliyecheza Jang Yeong Sil kuna mzee humo anafitina huyo ndiye waziri mkuu pia huyo mzee tulimuona kwenye Joseon Gunman amecheza kama Waziri mkuu, ananikosha tu anavyotazama, jinsi achekavyo kwa dharau ni hatari tupu.
 
The Great King Sejong ni kama haujawahi kuiona kaitafute ndo kwaaaaaanza nipo episode ya kwanza
Kilichonivutia imejawa na mafundi halafu Lee Bang won aliyecheza Jang Yeong Sil kuna mzee humo anafitina huyo ndiye waziri mkuu pia huyo mzee tulimuona kwenye Joseon Gunman amecheza kama Waziri mkuu, ananikosha tu anavyotazama, jinsi achekavyo kwa dharau ni hatari tupu.
Naam shukrani kwa taarifa. Nauliza katika kitengo cha kufurahisha na kuchekesha ni nani kahusika humo ndani.? Mfano kwenye drama ya Jumong yule mzee mtengeneza silaha za kivita alihusika katika kitengo hicho.

MGC
 
Mkuu embu tushirikishane kidogo historia inasemaje
Baada ya Daeso kutawala Dongbuyeo hakuwahi kupata mtoto lakini alikuwa na kijana mmoja aliyempa crown prince Dojin huyu huyu alikuwa ni mtoto wa nani katika ufalme wa Buyeo
Kim Hyun Joo In Talks For New Drama With Seo Kang Joon And Han Suk Kyu
On April 3, a source from the drama industry stated that Kim Hyun Joo is confirmed for the female lead role in OCN’s upcoming Saturday-Sunday drama “Watcher,” which is set to premiere in July.

Watcher ni thriller drama itakayozungumzia hadithi ya watu watatu wanaokumbwa na matukio ya hatari kwenye maisha yao, hatimaye wanaamua kufanya kazi kwa pamoja kwa dhumuni la kufichua maovu ya jeshi la polisi pamoja na watu wenye nguvu(matajiri)
View attachment 1062287
 
u
Naam shukrani kwa taarifa. Nauliza katika kitengo cha kufurahisha na kuchekesha ni nani kahusika humo ndani.? Mfano kwenye drama ya Jumong yule mzee mtengeneza silaha za kivita alihusika katika kitengo hicho.

MGC
Baado nipo sehemu ya kwanza.
Imeanza na Uvamizi hapo kwenye jumba la Kifalme na kuna mwana katekwa sasa watu wapo serious kulingana na hali iliyopo. Nadhani nikiendelea nitakupa notification.
Ia hata miye huwa nakoshwa na wale wahusika ambao ni wachekeshaji kiukweli ni wanogeshi katika Tamthilia yoyote. Mfano kwenye Yi San wind of the Palace
Kuna yule mchoraji( Artist Yi) alikuwa ananikosha sana pia nilimshuhudia kwenye Jewel in the Palace.
 
Naam shukrani kwa taarifa. Nauliza katika kitengo cha kufurahisha na kuchekesha ni nani kahusika humo ndani.? Mfano kwenye drama ya Jumong yule mzee mtengeneza silaha za kivita alihusika katika kitengo hicho.

MGC
Huyo Wa Kwenye Jumong, Mo Palmo Hahaha. Ila Kwa Upande Wangu Naweza Kusema Prince Young-Po Alikuwa Na Vituko Sana. Yeye Pamoja Na Genge Lake, Kila Walichokuwa Wanakifanya Kinafeli Na Hata Wakifanikiwa Lazima Kilete Backfire. Pia Alikuwa Hawezi Kutunza Siri Kiasi Kwamba Akitoka Kufanya Uhalifu Wake Huko Utamjua Tu!
 
😁😁 Dochi na bodyguard wake walikuwa wananikosha sana hasa pale jamaa alivyokuwa anatazama kwa dharau na jinsi alivyokuwa anakula maini mabichi.
 
Kwenye Queen SeonDeok kuna matapeli( Gogo na Jukbang) hawa jamaa wanaweza kukupiga mkwara mpaka ukaingia kingi.
Jambo zuri Queen alitambua kipaji cha Jukbag na Godo akawapa nafasi nzuri katika Serikali yake.
Huyo Jukbang Na Mwenzie Kwa Tabia Yao Ya Wizi Kuna Siku Kilinuka Mjengoni, Ulitembezwa Msako Wa Kuvua Nguo. Duh! Seon Deok Hatoisahau Ile Siku Kwa Jinsi Alivyoponea Chupuchupu Kama Vile Kupenya Kwenye Tundu La Sindano!

Ila Queen Seon Deok Alitokea Kumjali Sana Bidam Kiasi Cha Kumpendelea Kupita Kiasi Katika Utawala Wake Mpaka Akampa Madaraka Makubwa Sana Kiasi Cha Hata Kukosana Na Viongozi Wengine Wa Karibu Yake.

Bidam Chini Ya Kitengo Cha Internal Affairs Alikichafua Sana Ingawa Lengo La Kile Kitengo Lilikuwa Ni Kuwa-Control Wafuasi Wa Misil Waliosalia Wasijeleta Madhara Katika Ufalme Lakini Yeye Alikitumia Bila Uangalifu Kiasi Cha Wafuasi Haohao Kumuangusha Na Yeye Pia, Na Hapo Ndipo Ukawa Mwisho Wake.
 
Huyo Wa Kwenye Jumong, Mo Palmo Hahaha. Ila Kwa Upande Wangu Naweza Kusema Prince Young-Po Alikuwa Na Vituko Sana. Yeye Pamoja Na Genge Lake, Kila Walichokuwa Wanakifanya Kinafeli Na Hata Wakifanikiwa Lazima Kilete Backfire. Pia Alikuwa Hawezi Kutunza Siri Kiasi Kwamba Akitoka Kufanya Uhalifu Wake Huko Utamjua Tu!
Huyo jamaa aliniacha hoi ile mbaya, ushauri anaomba kwa watu ata wasio jielewa.

MGC
 
Back
Top Bottom