Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Damushin Chingu,

Twende Tukamuibe Jong Suk Wotee.

Sikua Namuelewa! Ila tangu Hymn of Death na Hii Lol!

Unaangalia Uigizaji Unaokuleta kwenye Maisha Halisi!

Hii Drama Ni Nzuri Sana.
 
Ukiacha hizo historical ila bado mi naona kama wakorea wana vitu tofauti drama za kizungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wazungu wanajua Kucheza Picha za Kutisha na Kichawi. Hapa wazungu wamebobea. Wakorea wanavitu vingi sana ambavyo huweza kuvuta hisia za mtazamaji akashea Feeling na Muigizaji wa kwenye Tamthilia husika.
 
Ooh sorry,nilikuwa sijaelewa swali ni The Great Queen Seondeok

Sent using Jamii Forums mobile app

Screenshot_20190206-115523.png

Ipo kwa jina hilo la "Queen Seon Duk"

Sent from The Black Forest
 
Naomba mnitajie site mnazotumia kuangalia dramas

Sent using Jamii Forums mobile app
likizo yako ulioamua kuchukua muda wake umeshamalizika?
  1. QuickDrama – Watch Full Episodes Free HD on QuickDrama : ndio chaguo langu la kwanza pindi ninapohitaji current drama, hawachelewi kuweka episode pindi inapomalizika kuwekwa subtitle lakini video quality mwanzo ni 480 (hd).
  2. Watch free Drama Online at Dramanice : uzuri wa hii tovuti wanaweka project za nchi tofauti, project za miaka mingi iliopita pia wanazo kwenye database yao.
  3. https://kissasian.es/ : sifa yao kubwa na wao pia wana project nyingi za zamani, udhaifu wao mkubwa wanachelewa kuweka new episode na unaweza kusubiri siku tatu.
unywaji pombe kupita kiasi ni faida kubwa sana kwa mzalishaji na serikali kwa sababu serikali inategemea kodi ya ulevi kwa asilimia kubwa ili ipate kujiendesha.
 
Hahaa Damushin sunbae katika ubora wako uliotukuka, bado nipo likizo ila nimejiiba tu kidogo. Be blessed

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom