Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

1546258359161.png

Shin Hye Sun na Lee Je Hoon ndio MC wa SBS drama awards
 
KBS wameanza na Male Best Child Actor Award

mshindi ni fundi Nam Da Reum kupitia Radio Romance drama.
mara paaap na SBS drama awards anabeba tunzo.
hongera kwake
1546258969342.png


kwa upande wa wasichana
mshindi ni Kim Hwan Hee kupitia The Miracle We Met drama
hongera kwake
1546259209504.png
 
Waloangalia 30 But 17 Uyu Jamaa Watakuwa Wamemuona

Kachukua New Actor Kutoka SBS Drama Awards Anaenda Kwa Jina La Ahn Hyo Seop

Mii Hii Sikuiangalia.
 
Back
Top Bottom