Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Terius behind me ipo vizuri
MBC, KBS, SBS
kwa mtazamo wangu kadri siku zinavyokwenda mbele mashirika haya wanapoteza ushawishi kwenye sekta ya sanaa, huku cable tv zikiendelea kukua kwa kasi ya roketi na kuwachukua waigizaji na waandishi mashuhuri.
mfano mdogo angalia list ya hizo drama zinazowania daesang award zinazidiwa kwa kiasi kikubwa sana na project nyenginezo zilizoonyeshwa na cable tv kama vile TvN, Jtbc na OCN.

binafsi kiupande wangu nimeangalia project mbili tu za MBC ambazo ni:
  1. terius behind me
  2. less than evil: ambayo bado inaendelea kukimbiza, licha ya kuwa zimechaguliwa kuwania tunzo za daesang lakini zote kwa pamoja hakuna inayoifikia my ahjussi kwa ubora hapo sijaitaja MR SUNSHINE, 100 days my prince, the beauty inside, sky castle n.k
licha ya SBS drama bado wanaendelea kutengeneza project nzuri lakini bado nimeangalia drama zao chache, fikiria SBS walishindwa kuichukua project ya MR SUNSHINE kwa sababu ya budget japokuwa hawajaweka wazi lakini TvN wameichukua na mpaka leo wanafaidika na project ile kimafanikio na hizi ndio nilizobahatika kuziangalia
  1. fates and furies : bado inaendelea
  2. the last empress : bado inaendelea
  3. hymn of death
  4. wok of love
  5. where stars land.
KBS ndio kabisaa wamenitoa hamu ya kufuatilia project zao siku hizi na wao pia project zao nyingi zilinishinda njiani na nilizoziangalia hadi mwisho ni pamoja na :
  1. are you human?
  2. the miracle we met
  3. suits
tukija kwenye cable tv ndio wameniroga mwili mzima mwaka huu na aliyeniroga ameshafariki, mwaka huu nimeangalia drama zifuatazo kupitia TvN cable tv.
  1. 100 days my prince
  2. my ahjussi (my mister)
  3. lawless lawyer
  4. hwayugi
  5. a poem a day
  6. about time
  7. encounter
  8. mr sunshine
  9. memories of alhambra
  10. whats wrong with secreatry kim
  11. familiar wife
  12. top star yoo baek
  13. room no 9
  14. mother
  15. The Smile Has Left Your Eyes
Jtbc cable drama nimeangalia zifuatazo
  1. waikiki
  2. sky castle
  3. the beauty inside
  4. clean with passion for now
  5. life
  6. sketch
  7. something in the rain (pretty noona who buys me food)
OCN drama nimeangalia zifuatazo
  1. Life on mars
  2. the player
  3. voice season 2
bila ya kusahau chosun tv
  1. grand prince
inamaana 70% ya waigizaji maarufu nchini korea wamefanya kazi na cable tv kuliko mashirika ya wananchi.

tuachane na mwaka 2018 unajua mwaka 2019 drama TvN wameshaanza tena moto wao?
  1. abyss drama: park bo young mpaka sasa ndiye aliyethibitisha kushiriki
  2. chronicle of asadal: song joong ki, jang dong gun
  3. The Crowned Clown :yeon jin goo
  4. Touch Your Heart : lee dong wook na yoo in na
  5. Romance is a Bonus Book : lee jong suk pamoja na lee na young
JTBC drama 2019 mpaka muda huu project zilizothibitishwa
  1. legal high = jin goo ambaye wiki chache alikataa ofa ya mbc.
  2. waikiki season 2 = kuna uwezekano lee yi kyung akarudi tena
  3. My Country = yang se jong pamoja na woo do hwan.
  4. the light in your eyes = ha ji min, nam joo hyuk.
hivi bado humu ndani mumegoma kuiangalia sky castle?
1545529236859.png
 
Attachments

  • 1545529141568.png
    1545529141568.png
    221.1 KB · Views: 29

View attachment 975542
Mimi Apaaaa! Baada ya Simba kushinda imenibidii niitafute hii
 
Msaada jaman, nimeshusha skycastle 3episodes. Sasa hazikuisha bundle likakata zilikua zishafika 80% nimekuja kuweka zikafail kuendelea. Sasa hamna njia naweza convert zionekane nime download rar hazifunguki ila kweny pc huwa inakubal kuzifungua kwenye simu haifungukii. Jaman bundle la mchana linavyouma halaf sijatizama naomben msaada wa app ya kuzifungua
 
ngoja aje Damushin
 
Best Female Rookie Award
mshindi wa kwanza ni Oh Seung Ah kupitia drama inayoitwa Secrets and Lies, ameanza kwa kumshukuru mama yake pamoja na watu wake wote wa karibu, mwisho amemalizia kwa kumtakia kheri ya siku yake ya kuzaliwa mama yake mzazi.
1546172978893.png

mshindi mwengine ni mwanadada Lee Seol kupitia drama inayoitwa Less than Evil"
1546173367479.png
 
Best Supporting Actress for a weekend special
mshindi ni mwanamama Jung Hye Young kupitia "Goodbye to Goodbye" drama
1546175246703.png

Best Supporting Actor in a daily drama
kwa upande wa wanaume mshindi ni Jeon No Min kupitia"Secrets and Lies" drama
1546174400918.png

daebak, presenting wamependazaje,
black man katika ubora wetu, huyu mkorea mwenye asili ya kwetu anaitwa Han Hyun Min na bidada anaitwa Im Se Mi
1546174856682.png
 
Back
Top Bottom