Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hahahahaaa, endelea kufurahia maana maisha yenyewe haya ukikaa umenuna mda wote ndio kukaribisha uzee hivyo.

Nafurahi kuona umerudi, asante sana. Zawadi yako ninayo In Shaa Allah nikilejea utaipata.
Hahahaha hahahaha! Dah! Ahsanteenii Sana Tena Sana

Siku Ilikuwa Ngumuuu..

Nashkuluni Vijana Wangu! Nacheka Sa Ivi Etiii
Sorry mjr95 Nimerudia Tena.

Ila Damushin We Subiriii Tu.
 
20/12/2018
kheri ya kuzaliwa tena jang hyuk japokuwa si jina lako ulilopewa na wazazi wako
miaka 42 ametimiza siku ya jana.
1545349333446.png
 
Hapa ndipo utatambua kwa kiasi gani kizazi hiki kimewekeza akili zao kwenye mambo ya kufikirika (filamu, miziki, tamthilia) na mambo mengi ya kigeni ambayo katika hali ya uhalisia hayana ukweli wowote.

tamthilia za kigeni ni janga la taifa

kwani tunajenga kizazi ambacho kutwa kucha (watoto, akina dada, wanawake, vijana ) wako bize kuyafatilia hata kuliko kufatilia mambo yenye tija kwao kwa maslahi mapana kwa taifa

Kwa haya tunayoyafanya leo hii tujipange na tujiandae kuvuna mapokeo ya kigeni kwenye mustakabali wa maisha yetu milele.
 
Hahahahaaa hadi Song Seung Huh..!!! Hapo namuungaa mkono, ila yataka uwe na uvumilivu wa hali ya juu kuishi na huyo jamaa. Jamaa ana vituko ile mbaya.
dah! nakuomba unisamehe.
lakini na wewe umewakusanya wanakondoo wengi kama mchungaji hali inayopelekea wengine niwasahau.
  1. choi jin hyuk
  2. jang hyuk
  3. song seung hun
  4. ..................................
 
Pongezi zangu za dhati zenda kwa crews/teams nzima za hizi KDramas, hakika wamezitendea haki hadi sasa zilipofikia (episodes). (Well Done!)
The Last Empress
Less than Evil
Feel Good to Die

Na kwa sababu tofauti, nimeamua kuishia njiani/kutozifatilia hizi dramas... (Wakajipange!)
Children of Nobody
A Pledge to God
Clean with Passion for Now
Encounter
Fates & Furies
Fluttering Warning
The Smile Has Left your Eyes
Mama Fairy and The Woodcutter
When Time Stopped
Where Stars Land
Memories of the Alhambra
The Player

Ps:- Ni maoni 2..
Fates and furies nzuri, mama fair ina utoto mwingi sana mtu anabadilika vipi kuwa nyau
 
MBC Announces Daesang Nominees Of 2018 Drama Awards

  1. So Ji Sub = terius behind me drama (nilibahatika kuifuatilia)
  2. Kim Sun Ah = children of nobody drama (sijaiangalia)
  3. Shin Ha Kyun = less than evil drama (naendelea kuifuatilia)
  4. Lee Yoo Ri = hide and seek drama (sijaiangalia)
  5. Jung Jae Young = partners for justice drama (sijaiangalia)
  6. Chae Si Ra = good bye to good bye (sijaiangalia)
utoaji wa tunzo ni December 30.​
View attachment 973850
Terius behind me ipo vizuri
 
Hapa ndipo utatambua kwa kiasi gani kizazi hiki kimewekeza akili zao kwenye mambo ya kufikirika (filamu, miziki, tamthilia) na mambo mengi ya kigeni ambayo katika hali ya uhalisia hayana ukweli wowote.

tamthilia za kigeni ni janga la taifa

kwani tunajenga kizazi ambacho kutwa kucha (watoto, akina dada, wanawake, vijana ) wako bize kuyafatilia hata kuliko kufatilia mambo yenye tija kwao kwa maslahi mapana kwa taifa

Kwa haya tunayoyafanya leo hii tujipange na tujiandae kuvuna mapokeo ya kigeni kwenye mustakabali wa maisha yetu milele.
Mkuu utakuwa na kiherehere sana! Huu uzi unaitwaje na umefuata nn huku?
Nini maana ya kuwa na majukwaa tofauti kwa ajili ya watu tofauti
 
Back
Top Bottom