Kwa wapenzi wa hadithi huu ni uzi wenu njooni tuburudike na HADITHI Mbalimbali

Kinyonyoke

JF-Expert Member
Oct 4, 2016
3,495
13,132
Hii hadithi imetungwa na Deo ni hadithi nzuri sana aisee

BASI LA SHETANI-01
Deo Massawe.
0653195298.
Ulikua usiku wa kiza kinene, katika jiji la Dar es salam, kutokana na uchache wa magari barabarani basi yale machache yaliendeshwa kwa kasi.
“Tumuache hapa hapa”
“Jomba angalia hapa wanajeshi wakitunasa, tutatafuta samaki nchi kavu”
“Hakuna kukamatwa tutafanya kazi kwa sekunde”
“Haina tabu basi achia mafuta kidogo”
“Sikilizeni vijana, mnaona pale kwenye yale matuta, gari itapunguza mwendo na hapo mtamtupa kupitia mlango wa kushoto, hakikisheni umakini unazingatiwa”.
Yalikua mazungumzo ndani ya gari aina ya Toyota Land cruiser, gari hiyo ilikua inatembea kwa kasi ndani ikiwa imembeba mwanamke mmoja aliyefungwa mikono na miguu kisha kuzibwa mdomo kwa gundi, macho yake yalikua mekundu kwa kutoa machozi, alikua akisali na kutupatupa mikono huku na huko lakini hakuonewa huruma hata kidogo, mipango iliyokua ikifanyika ya kumtupa barabarani alikua akiisikia lakini hakuwa na namna ya kujiokoa.
Gari ilianza kupunguza mwendo, hapo mwanamke huyo alizidi kujitahid angalau kuongea ili awaambaie viajna waliotaka kumtupa bvasi wasimtupe kwa kishindo lakini hakuweza kutoa neno lolote.
Lilikua eneo hatari kwa kufanyia tukio lolote la kihalifu kwani kama ingetokea wanajeshi kukukuta katika eneo hilo maisha yako yangeweza kuwa hatarini ,
“Mwache hapo hapo karibu na geti” iikua sauti ya kiongozi wa kikundi hicho aliyeitwa Ribeto, na baada ya kutamka maneno hayo mwanamke huyo alitupwa mita chache kutoka lango kuu lakuingilia kambi kuu ya Lugalo, baada ya hapo gari iliongeza mwendo mara tano zaidi ya ilivyokua mwanzo.
Baada ya mwanamke huyo kutupwa alibingirika na kutumbukia katika bonde dogo lililokua pembeni ya barabara , licha mwili wake kufungwa kwa kamba ulitoa harufu kali ya muozo, harufu hiyo ili[elekea mbwa kusogelea eneo hilo na kuzama shimoni, alijitahidi kurusha mikono lakini bado mbwa walizidi kumzingira wakidhani ni mzoga wa kitu,
“Mungu naamini utanisaidia na nitatoka nikiwa hai, naomba tuma malaika mlinzi wako aje kuniokoa mahali hapa” mwanamke huyo alijisemea moyoni, huku akiendelea kuwakemea kwa vitendo mbwa waliotaka kumvamia ndani ya bonde dogo.
Mbwa wenye mafunzo maalumu, walihisi hali ya hewa kuwa tofauti na ilivyozoeleka, haraka walianza kubweka, huku wakizunguka ovyo. Wanajeshi waliokua zamu ya kulinda usiku walichukua tahadhari, kila mmoja alikaa katika nafasi yake huku baadhi ya mbwa kuachiwa na moja kwa moja walitoka haraka hadi katika lango kuu, walisogea kidogo na kuzama ndani ya shimo.
Mwanamke alizidiwa na hofu baada ya kusiki vishindo vya mbwa wakubwa wakija huku wakibweka kwa nguvu, mbwa koko mwaliokua pembeni walikimbia,
“Mungu naomba unisamehe dhambi zangu na unipokee katika ufalme wa mbinguni” mwanamke huyo alikata tama na kujikuta anatulia baaa ya mbwa mwenye ukubwa wa ndama kumdondokea kifuani, mbwa huyo alimnusanusa na ndipo mbwa huyo aliruka juu na haraka akarudi hadi alipo askari kiongozi na kumpa taarifa ya kuwa mtu aliyepo ndani ya shimo ana bomu la mkono.
Taarifa kutoka kwa mbwa huyo ilisababisha hali ya taharuki ndani ya kambi, hawakujua lengo la mtu huyo na hawakujua kama kuna wengine ambao wamewazunguka, haraka taarifa ilitumwa kwa mkuu wamajeshi kuhusu tukio hilo, huku mbwa mwingine akitumwa akiwa amefungwa kamera lengo likiwa kurudi na picha za mtu huyo na jinsi alivyojipanga.
Wanajeshi wote walipatwa na mshtuko, kuona ni mwaname aliyefungwa mikono na miguuu huku bomu likifungwa mkononii ili atakapofunguliwa bomu lilipuke.
Bila kuchelewa wanajeshi maalumu wenye uzoefu wa kutegua mabomu waliitwa na kuenda kumtoa mwanamke huyo hapo bondeni,
“Wewe ni nani ?”
“naitwa Winny naomba msinue”
“Umekujaje hapa?”
“Nimetupwa na watu ambao hata siwajui”
“Kwa nini umefungwa hivi kwani wewe ni mhalifu na kwa nini utupwe hapa”
“Japo sikumbuki vyote ila watu walionitupa hapa walikua na lengo la kuniua, hapa naomba mniokoe kuna bomu limetegwa hapa na pindi hii mikono yangu itakapoungulia bai litalipuka, naombeni niko chini ya miguu yenu niokoen”.
Yalikua majibizano baina ya mwanajeshi mkuu wa zamu ya kulinda usiku na mwanamke huyo aliyejitambulisha kwa jina Winny baada ya kufikishwa katika hospitali ya kijeshi ya Lugalo na kuondolewa gundi iliyomziba mdomo.
Winny alitetemeka kwa hofu, huku akizidi kuumia mkono kutokana na maumivu ya kamba iliyokua imekaza mikono yake, alianza kupewa matibabu ya haraka ikiwemo kuongezewa maji na chakula bomu likiwa mkononi na kitibiwa katika chumba cha pekee.
***
FIFTEEN YEARS AGO (miaka kumi na tano iliyopita)
Zilikua zimepita siku kumi na tano tangu Winny ahitimu elimu yake ya msingi akiwa na miaka kumi na nne, licha ya umri wake kuwa mdogo umbo lake liliwapagawisha wanaume, sura yake ilikua nyeupe ya kung’aa alikua mweupe na mwembamba wa wastani. Makazi yao yalikua mitaa ya Survey karibu na chuo cha Ardhi, ili kujiandaa na masomo ya kidato cha kwanza alilazimika kujiunga na masomo ya kabla (Pre-form one) baba yake mzee Mazengo alihakikisha mwanaye anapata elimu iliyo bora akawa anahudhuria masomo katika kituo kilichofunguliwa karibu na soko la Mwenge, hivyo hakuona sababu ya kupanda usafiri kutokana na ukaribu uliokuwepo kutoka nyumbani hadi shuleni.
“Hi baby girl your so beautiful (mambo binti wewe ni mzuri sana)”, ilikua sauti nzito iliyotokea ndani ya gari dogo aina ya Toyota Mark II, alikua mwanaume mweusi na mnene kiasi, baada ya sauti hiyo kumfikia Winny alilazimika kugeuka na kumuona aliyetamka maneno hayo, Winny alipogeuka alikutana nna tabasamu zitokutoka kwa mwanaume huyo na haraka mwanaume huyo alimuita wka mkono , Winny aligeuka na kurudi,
“Mambo mrembo”,
“Powa shkamoo baba”
“Nawewe shikamoo mama”
“Hahaha marahaba baba”
“Unafika wapi nikusogeze”
“Wala usijali mimi naenda shule nakaribia kufika asante”
“Naomba nitafute kwa mawasiliano haya”.
Maongezi kati ya Winny na mwanaume hayo yalikatishwa na taa za barabani kuwaka kija ni kuashiria kupita, lakini Winny alipokea kadi ya biashara (Busness Card) yenye nambari za simu.
Moyo wa Winny ulidunda kwa kasi kwani katika maisha yake yote hajawahi kukutana na mwanaume asiyemjua na atokee kumzoea hadi kuongea nae tena barabarani.
“Dr. Martin” ndilo jina lililokua katika kadi ya biashara ambayo lipokea Winny, aliificha mfukoni na kuongeza mwendo kwa lengo la kufika na kumuomba rafiki yake simu ili aweze kumpigia Dr Martin,
“Shoga leo nimepata na mimi wakwangu naona hapo nitapiga pesa kama wewe” lilikua neno la kwanza la Winny kabla ya salamu huku akipeana mkono na rafiki yake waliyekutana katika masomo ya Pre-Form one,
“Sasa ulikua unazubaa nini wewe mtoto wa kike Mungu akupe nini, hapo utapiga hela tena daktari huyu wa Muhimbili, hapa utapiga hela shosti wangu”, baada ya maongezi hayo waliingia darasani na masomo yakaanza.
Winny alikaa kiti cha nyuma mwisho, kichwa chake kikitawaliwa na mawazo juu ya mwanaume aliyeonekana kuwa na hela, alivuta picha ya maisha yatakavyokuwa pale atakapoanza kumiliki simu za kisasa pamoja na kutolewa out za mara kwa mara, maneno ya wazazi wake yalimtoka kabisa, hakujali utu wake zaidi aliwaza ni kwa jinsi gani ataweza kuwa sawa na wasichana wenzake aliowaona wakimiliki simu na vitu vya bei gali wka kutumi uzuri ambao hata yeye alikua nao.
***
Dr.Martin alikua akiishi na virusi vya ukimwi kwa mda mrefu, aliishi kwa kukomoa wanawake, hakutaka kufa peke yake, kwani wakati anatoa mawasiliano kwa Winny alikau akielekea Sinza katika hotel ya Lantana, akienda kukutana na mwaname mwingine aliyekua akimsubiria chumbani.
“Mpenzi umechelewa sana, au umepitia kwa mwanamke mwingine jamani”,
“No (hapana) mpenzi foleni kidogo imenibana”
“Twende zetu basi dear, nilikua nakusubiri kwa hamu”.
Maongezi kati ya Dr.Martin na mwanamke mwingine aitwaye Dorice, waliingia chumbani kwa ajili ya kuenda kula raha,
“Mpenzi tutumie kinga basi” sauti ya kubembeleza kutoka wka Dorice ilisikika,
“Dah jamani, kwani huniamini, au unaogopa mimba?” Dr.Martin alimuuliza taratibu
“Naogopa mimba kwa sababu sijajipanga kuzaa kwa sasa”, Dorice alijibu ingawa ukweli ni kwamba alikua akihofia kupata ukimwi ila ujasiri wa kumwambia mtu anayekupa hela kuwa naogopa ukimwi ukawa haupo,
“Ukiupata mimba mimi nitalea usijali, kwanza nakuoa kabisa” Dr. martin aliongea kwa sauti ya chini iliyopenya sikioni mwa Dorice. Dr.Martin hakuwa tayari kutumia kinga kwa mwanamke yeyote ili lengo lake litimie la kufa na wengi.
Huku wakiendelea kufanya mapenzi simu ya Martin iliita, na kwa kutumia mkono wa kushoto aliikamata na kupokea,
“Halo, mimi umenipa Busness Card asubuhi, nimetumia simu ya rafiki yangu maana mimi sina simu”
“Ahaa sasa kama huna simu basi subiri hapo hapo kwa rafiki yako namtumia hela ukanunue simu alafu unitafute na namba zako”
“Sawa asante sana”.
Yalikua maneno machache lakini yalimfanya Winny aamini kweli amepata mwanaume wa ukweli,
“Haaa! shosti unapewa simu hata hujatumika, usimuache huyo atakua amekupenda kweli”
“Ila shosti nikipata mimba baba ataniua”
“Wee thubutu kwani kondomu zimeisha dukani, yaani ukienda kwa mwanaume hakikisha unakua nan kondomu zako maana hawa wanaume some time hawana maana, waanweza kukumbia hana kondomu sasa kumkomesha unatoa zako”,
“Kweli shogaa hapo umenena”, maongezi yao yalikatika baada ya ujumbe wa fedha kuingia katika simu, haraka walikimbia duka la simu hapo hapo mwenge na kununua simu ndogo. Baada ya dakika tano Dr.Martin alipiga simu na kuongea na Winny,
“Winny tumia tu hiyo, tukionana nakupa simu kubwa, tuwasiliana hata kwa WhatsApp”,
“Waoooo, asante basi ngoja nisajili laini nitakutafuta”.
Je nini kitatokea .? tukutane sehemu ijayo.
 
BASI LA SHETANI-02
Deo Massawe.
0653195298.
Kwa mara moja mawasilaino yalianza , Winny alianza kuwasiliana na Martin kwa uoga lakini kama mwanaume Martin aliendelea kumwondoa Winny hofu taratibu,
“Lakini shoga sio kwamba huyu mwanaume anataka tu kunichezea?” Ni swali ambalo Winny alimuuliza rafiki yake wa karibu ambaye ndiye alikua anazidi kumshawishi aweze kujiingiza katika mambo hayo ili aweze kujiingizia kipato,
“Sikiliza Winny, nikwambie ukweli hapoa usitarajie huyo mwanaume kuwa atakuoa hapana, hata kama anakuambia anakuoa basi hapo anakudanganya tu, wewe cha kufanya ni kuopiga tu pesa, kwanza kuolewa kitu gani bhana, wewe huoni ndoa zinavyowatesa watu, huu ni wakati wako wa kula pesa, wewe mwenyewe huoni umri wako ni mdogo?”
“Sawa Kemmy ila sasa huyu mwanaume anavyonisumbua tuonane, vipi niende tu hatanifanyia lolote? Maana amesema anataka nitoke nae tukatembee ili aweze kunipa na simu kama hiyo yako”
“Kwa kweli, Winny hapo jiandae tu mwanaume akikuita kwa staili hiyo kuna mawili, akuache au akulale, hivyo jiandae tu ili kama akikikutaka uwe tayari kumpa ili pia naye apate hamasa ya kuzidi kukupa pesa zaidi”,
“Dah! Hapo ni mtihani Kemmy unajua mimi sijawahi kabisa, sitaumia kweli na mkaka mwenyewe alivyo mkubwa, hataniua, naskia mara ya kwanza mtu anaumia sana”,
“Ahh wapi hakuna kuumia kivile wala hakuna mwanaume mkubwa mbele ya mwanamke, tena heri wewe unaanza mkubwa hivi, mimi nilianza nikiwa nasoma darasa la tano na nilikua natembea na mwalimu wangu wa hesabu ili anizidishie alama, siunajua mimi sijui hesabu, sasa hapo ndiye aliyeniingiza katika ulimwengu wa mapenzi nakumbuka nilikua na miaka kumi na mbili tu lakini mbona nilihimili na leo hii hadi naweza lala na wanaume wakubwa kuliko baba yangu.
“Dah nitajikaza basi jumamosi ijayo nitajitahidi nikamuone, ila sasa best nisaidie kitu kimoja,mimi hata sijui namna ya kumkamata mwanaume kisawasawa, sijui utanipaje ujanja, ili nihakikishe nampagawisha ipasavyo”
“Ahaa hapo usijali kabisa nitakusaidia utaweza sasa kesho inabidi tuondoke wote tuende kwangu mchana nikakufundishe kwa vitendo kabisa”,
“Powa Kemmy, mwalimu huyo” Mapongezi kati ya Winny na Kemmy yalikatika baada ya mwalimu kuingi darasani na kuendelea na kipindi.
Kichwa cha Winny kilikua nje kabiusa ya masomo yaliyokua yakitolewa mahali pale, alipiga picha ya wiki mbili zijazo alijiona mwanamke anayenza kupata fedha, alijiona na simu kubwa mkononi, alijiona akiwa Kariakoo katika maduka ya wahindi akinunua nguo za thamani pamoja na mapambo ya aina mbalimbali, alijikuta akipuuzia kauli za wazazi wake kuhusu kujitunza na kusoma kwa bidii kwa ajili ya maisha yake ya baadae.
***
Dr. Martin bado aliendelea na tabia ya kuwalaghai mabinti, alitumia kiasi kikubwa cha pesa, ili aweze kulala na mabinti wadogo ili kuhakikisha anakufa na watu wengi, kutokana na kufanya mapezi karibia kila siku alikua akitumia vidonge vya kusisimua mwili vijulikanavyo kama Viagra, alihakikisha kila baada ya siku mbili anakutana na mwanamke, alikula vyakula vyenye afya pamoja na vidonge vya ARV ili kuopunguza makali ya virusi na kuendelea kupatya afya iliyomfanya kutogundulika kwa macho, mvuto wake wa sura pamoja na nguvu ya pesa aliyotumia kwa wanawake ilimfanya kuzidi kuwapata kwa wingi.
***
Ilikua siku ya alhamisi mchana, siku mbili kabla ya Winny kwenda kuonana na Dr Martin, siku Winny hakuhudhuria masomo kabisa kwani alikua katika mafunzo ya kumpagawisha mwanaume, rafiki yake Kemmy alikua akimsubiri nyumbani kwao baada ya wazazi wake kuenda kazini.
“Karibu shosti”Kemmy alimkaribisha Winny nyumbani na moja wka moja walielekea chumbani,
“Shosti kwanza hapo kwenye chupi umekosea, kwa mwanaume inabidi uende na chupi nyeupe au ya pinki, ili uonekane msafi na kuvutia zaidi, hii nyeusi leo iwe mwisho wa kuivaa, lilikua neno la kwanza kutoka kwa Kemmy alipomvua Winny nguo kwa ajili ya kumfundisha,
“Haa, best sasa huoni mwenziio ningeenda kuaibika? Haya twende kazi mama”< Winny alijibu huku akitabasamu kwa aibu kwani alikua akivua ngio mbele ya rafiki yake,
“Winny wewe mzuri eti, maziwa yako yenyewe yatammaliza jamaa, yamechongoka vizuri sana, alafu weupe wako ndio kabisa sumu kwa wanaume weusi kwani hupenda sana wanawake weupe hivyo hapo tayari umeshashinda katika muoenekano”,Kemmy alikua akitoa somo kwa makini zaidi,
“Sasa kwa mfano ndio naingia chumbani kwa mwanaume nitaanzaje”, Winny aliuliza swali na bila kuchelewa alijibiwa kwa matendo kwani Kemmy alimfuata na kumfundisha jinsi ya kukiss mtu,
“Kwanza unamsogelelea hivi unamshika kifuani kama ni mrefu sana unamhimiza ajilaze kitandani ili uweze kumbusu vizuri, unaanza kwa kumbusu katika paji la uso, hapo atakuheshimu sana wkani wanawake wengi hawana tabia ya kumbusu mwanaume katika paji la uso, kisha utashuka na kumbusu mdomono na hapo utamlambalamba lips zake, huku ukipenyeza ulimi wako mdomoni kwake taratibu mkono mmoja utakua unamapapasa tumboni taratibu, hapo utamuona akiguna tu taratibu, sasa hapo ukitaka busu liwe tamu kabisa, kuwa kama unapenyeza mate kidogo hakikisha yanamuingia mdomoni, utaona akitaka kuyapata zaidi na hapo zidisha utundu, panua mdomo wako hakikisha anaukamata ulimia wako na kuunyonya kisawasawa, hapo atapata msisimko wa ajabu, kisha penyeza na kuuzungusha kinywani mwakena mkono mmoja upenyeze ndani ya suruali, mchezee sehemu zake kwa ustadi kama hivi”, Kemmy alikua akimuelekeza Winny kwa matendo, pale chumbani palikua padogo kwani Winny alijikuta akipatwa na hisia za ajabu,
“ Hebu nifanyie kil kitu”W inny aliongea kwa sauti ndogo huku akimvuta Kemmy alieyekua amejilaza kifuani mwake, bila kutarajia walijikuta wakisagana pale chumbani,
“Sikuingiziin chochote ili huyo mwanaume akukute bikra pia Winny usijali sana maana kawaida ya mwanaume wa kawaida anatumia tu dakika 15 hutaumia tena maana uume wake unalala na wewe utapumzika kidogo”,Kemmy alimjibu Winny baada ya kutaka kuingiziwa angalau tango pamoja na kumtoa hofu kuhusu mwanaume kumwingilia kwa mda mrefu lakini hakujua kama Martin hutumia dwa ambazo humfanya awe na nguvu ya kufanya mapenzi kwa dakika zaidi ya hamsini bila kupumzika.
Mda ambao masomo ya kina Winny kuisha, Winny alitoka huku akiitamani sana siku ya jumamosi ifike ili akaanze rasmi kuutumia mwili wake kwa ajili ya kujipatia kipato.
***
“Mwanangu vipi masomo ya sekondari unayaonaje?” Mama Winny alimuuliza mwanae aliporejea nyumani lakini lilikua swali la mtego baada ya kumuona Winny akiwa katika hali tofauti na aliyomzoea,
“Wala mama sio magumu wala marahisi kivile ila najitahidi mama”, Winny alijibu huku akiinamisha kichwa chini kwa aibu ya mambo aliyokua ametoka kuyafanya na rafiki yake,
“Sawa mwanangu, pambana sana siunamuona baba yako anavyopambana ili wewe usome kwa amani, naomba usimwangushe baaba yako, sawa mwanangu mzuri” mama Winny alimaliza kwa kumkaribisha mwanaye ndani, Winny aliingia moja wka moja hadi ndani na kubadili nguo,
“Mfyuuuu, ungepambana wewe ungekua hata mwalimu wa msingi, achamwanamke nile maisha”, Winny alijisemea kimoyomoyo huku akivua nguo na kujingalia katika kioo jinsi mwili wake ulivyoumbika.
***
Jumamosi asubuhi na mapema Winny alijiandaa na shule kama kawaida,
“Mama naomba basi nikiwahi kutoka shule niende hata Karikoo na rafiki yangu nikayape macho furaha” Winny alimuomba mama yake ruhusa lakini kutokana na mama kumpanda mwanaye basi alimruhusu,
“Sawa mwanangu, ila uwe makini na uwahi kurudi nyumbani kabla baba hajarudi”, alijibu mama Winny,
“Asante maam nitawahi”, Winny alitamka huku akiondoka na mkovba wake uliobeba madaftari pamoja na nguo za kubadilisha. Alifanya mawasiliano na rafiki yake na haraka alielekea hadi nyumbani kwake ili aweze kubadili nguo.
“Nipo makumbusho sasa siunajua sitaki kuonekana kabisa”, Winny alimtumia Martin ujumbe mfupi,
“Sawa hebu nakutumia hela kwenye simu utolee hapo kituoni ukodi bajaji ikulete hadi hoteli moja hapa Kinondoni, inayoitwa Butterfly,”Martin alijibu ksiha baada ya dakika tano tayari elfu thelathini iliingia katika simu ya Winny,
“Mambo si ndio haya sasa”, alijisemea Winny huku akimuonesha Kemmy ujumbe huo wa pesa,
“Sawa mama nenda kapambane ila ukumbuke mimi mwalimu wako”, Kemmy aliongea huku akicheka
“Sawa mama nenda basi wewe shule na huu mkoba wangu tutawasiliana nikitoka huku niendako” Winny aliongea huku akimkabidhi Kemmy mkoba wenye madaftari pamoja na nguo alizotoka nazo nyumbani,
“Okey, all the best ( sawa kila la kheri ) hizo kondom uhakikishe unatumia”, maongezi yaliishia hapo na Winny aliiita bajabi na kupanda na kumwelekeza dereva sehemu ambayo alitaka kufika huku Kemmyu akirudi shule.
“Ukifika Kinondoni studio uniambie” Ulikua ujumbe mfupi ulioingia katika simu ya Winny ukitoka kwa Martin kusudi la ujumbe huo lilikua ni Martin kuweza kujua mda kamili wa kumeza vidonge hivyo ili viweze kukaa ndani ya mwili nusu saa ndipo viweze kufanya kazi vizuri, ndani ya chumba alikua na chupa ya Saint Anna,
“Kweli pesa ni kila kitu”, alijisema Martin huku akimeza kidonge kimoja baada ya Winny kumpa taarifa ya kufika Kinondoni studio,
“Okey mamii karibu sana nakusubiri kwa hamu” Martin alijibu ujumbe huo huku akinywa Wyne yake taratibu,.
je nini kitatokea?? Tuwe pamoja sehemu ijayo siku ya jumatatu ususahau kucoment,kulike Na kushare kwa marafiki.
 
BASI LA SHETANI-03
Deo Massawe.
0653195298.
Moja kwa Moja Kemmy alirudi masomoni huku kichwa chake kikimuwaza Winny,
“Leo ataonja joto la jiwe, anafikiri kupendeza hapa mjini ni kitu cha mchezo lazima mwanamke uteseka, uchane msamba miguu iunde nyuzi 180” alijisemea Kemmy wakati masomo yakiendelea.
***
katika hali ya kushtukiza, bajaji ambayo Winny alipanda ilipata ajali mita hamsini kutoka ilipo Geust ya Buterfly, ajali hiyo iliababishwa na loli lililopoteza mwelekeo na kutaka kuigonga bajaji, hpo ndipo dereva bajaji alifanya juhudi kukwepa lori hilo na kuingia mtaroni, Winny alipoteza fahamu mkutokana na mshtuko lakini hakupata jeraha lolote na pia dereva alitoka mzima kabisa.
Hapakua na mda wa kupoteza, Winny alibebwa kwa haraka hadi hospital ya Mwananyamala,
“Huyu dada alikua anaenda wapi ?” dereva bajaji aliulizwa swali ambalo hakujua alijibu vipi,
“Sijajua alikua anaeda wapi ila alikua anawasialiana na mtu kwenye simu, hivyo mimi nilikua naelekezwa tu kuwa kunja kushoto mra ingia kulia hadi hapa tulipopata ajali sikujua lengo lake lilikua kuenda wapi” dereva bajaji aliongea uongo wa kumlinda Winny kwani alitumia uzoefu wa kazi yake ya kulinda mteja asijulikane kama alikua anaenda kutoa mapenzi.
***
Kemmy akiwa darasani aliskia simu yake ikiita kwa mtetemeko ndani ya mkoba,
“Atakua tu Winny huyu” alijisemea huku akipenyeza mkono nani ya pochi na kuchungulia kwa mbali, alishangaa kuona namda ya Dr.Martin
“Kuna nini tena?” alijiuliza kimoyomoyo huku akitoka nje kwa kisingizio cha kwenda kujisaidia, aliingia chooni na kuitoa simu mfukoni na kuanza kuongea na Martin,
“Abee shem wangu wa ukweli” sauti nyepesi ilipenya masikioni kwa Dr.Martin
“Naam shem, unaendeleaje” Martin ane alijibu
“Naendelea vizuri shem wangu,nambie”,Kemmy aliongea kwa sauti ya kulegea sauti iliyomfanya Martin azidi kupagawa na hisia kupanda zaidi kutokana na dawa alizotumia kisha Winny kutotokea,
“Naendelea vizuri kabisa lakini wifi yako nimepanga nae kitu lakini kaniruka, kuna mahali nimemuambia anione lakini hadi sasa hivi namsubiri hajafika na hata simu yake haipatikani , sijui kwa nini kaamua kunifanyia hivi, naomba kama uko nayeye hapo nisaidie kumwambia aje tafadhali, nitampa chochote atakachohitaji” Martin aliongea kwa kwa sauti ya kutetemeka, dawa alizotumi zilimfanya ashindwe kutulia kitandani, alijizungusha zungusha ovyo,
“Haa! Shem mbona wifi yangu anakupeda hivyo hawezim kukufanyia ubaya, kweli yule ananiambia amekupenda kupita maelezo, na ukweli nikuambia asubuhi hii n imeacah nae na ameniambia anakuja mahali mlipoambiana mkutane, na mimi nikafikiri ameshafika sahivi” Kemmy aliongea kwa mshangao mkubwa, hakuamini maneno ya Martin kuhusu Winny,
“Kweli hajafika na simu yake haipatikani, sasa ya nini nikudanganye shem” Martin aliziidi kutoa msisitizo.
“Kwa hiyo itakuaje shem”, Kemmy alizidi kutoa sauti ya kulegea na kuzidi kumchanganya Martin
“Shem, najua wewe ni mwanamke na unaelewa mambo ya hisia pale unapopanga na mtu, kukutana kimwili alafu uwe umeshafika eneo la tukio na mwenzako asitokee, najua inauma, sasa naomba nionane na wewe, kam hutojali”,Martin aliongea maneno ambayo yalimchanganya Kemmy,
“Jamani shem mimi naogopa maana wifi angu akijua ataumi sana”< Kemmy aliongea lakini moyoni akiifurahia nafasi hiyo,
“Hawezi kujua maana tunakutana kwa siri nay eye hata sitaki kumsikia tena”Martin alizidi kuongea na Kemmy na hatimaye Kemmy alikubali kuenda hadi katika chumba liochokodi ili waweze kukutana,
“Hapa mdipo Winny amepoteza mume namchukua moja kwa moja huyu” alijisemea Kemmy akiwa njiani kwani shule alisingizia kuwa na tatizo la ghafla nyumbani.
***
CHUO KIKUU DAR ES SALAM (UDSM)
Kulikua na kijana mmoja anayeitwa Edson, hakika alikua kijana mwerevu na aliaminika na kila mtu pale chuoni na hiyo ilitokana na kuwa na uwezo mkubwa wa kupambanua mambo, alikuia akisomea sheria mwaka wa pili , licha ya kuwa anasoma kila siku alikua akiwaza ni kwa jinsi gani ataweza kuwa tajiri tena bilionare namba moja Tanzania,
“Hivi navyosomea hii sheria itaniwezesha kuwa tajiri namba moja Tanzania kwa miaka ijayo?” lilikua swali lake la mara kwa mara, kila siku alibuni mbinu ya kutafuta hela, alijaribu biashara mbalimbali lakini nyingi zilishindaikana na baa ya mda mrefu aliweza kubuni mbinu ambayo aliamini ndiyo itakua mwisho wamatatizo yake.
Baada ya kufanya uchungzui wa kutosha basi alitafuta vijana kumi na saba, pamoja nay eye kisha wakafanya kikao cha siri.Kilikua kikao ambacho kiliwapa wote motisha wa wakuwa mabilionare wa miaka ijayo kikubwa kilichozingatiwa ni usiri wa hali ya juu, kilka mtu aliapa kutomwambia mtu wan je kitu kilichokua kikiendelea. Lengo la Edson kusisitiza suala la usiri hakuna aliyelitambua hata mmoja, hivyo walipanga siku ya kikao huku Edson akiwa kiongozi na kuupa huo mpango wao jina EDSON PROJECT.
“Wazee naomba hii kitu kiwe siri kubwa nataka niwafundishe namna ya kuwa matajiri, naomba hii siri isifike hata kwa mtu mmoja nje ya hapa tutakachokiongea kwenye kikao nataka kionekane kwa vitendo yaani watu watuone tukiendesha magari hapa chuoni na tuwe na biashara nyingi hapa mjini hivyo hakuna ahatra kuwaambia mademu hpa ni kimya kimya” Edson aliongea kwa msisitizo huku wakiahidiana kuitunza siri hiyo,
“Kesho basi nitawawekea wazi mpango mzima, lazima tupige hela”, aliongea Edson,
“Sawa mkurugenzi tunakuaminia kwa mipango” wote walijibu na kuagana kila mmoja akiwa na hamu ya kujua mpango wa kesho.
***
Winny alishtuka baada ya dakika kumi na tano na kujikuta yupo wodini,
“Hapa ni wapi ?” aliuliza Winny
“Hapa ni hospitali ya Mwananyamala, ulipata mshtuko kidogo ukapoteza fahamu, siujui unakumbuka ulipokua umetoka na ulipokua unaenda?” alionga daktari aliyekua pambane yake, alikua kijana wa kiume,
“Mungu wangu! Kaka angu nakuomba tu nitoe hapa haraka na iwe siri mama yangu akijua nilipo ataniuwa, niliaga naenda shule sasa hapa siri itafichuka, naomba tu nitoe bila taarifa kuvuja”, Winny alijikiuta akiongea kila kitu mbele ya yule daktari,
“Utanipa nini kama nikikufanyia hayo?” daktari huyo alimuuliza Winny swali la mtego,
“Chochote utakachohitaji nitakupa mradi kwangu wasijue,angdika namba yangu ya simu wewe nitoe hapa alafu tuwasiliane” Winny aliongea kisha wakafanya utaratibu wa kubadilishana nambva za simu, hapo daktari alimtoa Winny kimya kimya bila uongozi wa hospitali hiyo kujua, Winny aliangalia ndani ya mkoba wake na kutoa simu yake,
“Kumbe hadi ilizima” alijisemea Winny huku akiiwasha simu yake, na mtu wa kwanza kumtafuta ni Kemmy ali aweze kumuuliza kilichotokea, alipiga simu ya Kemmy kwa mara tatu bila kupokelewa,
“Atakua darasani ama wapi mbona hapokei simu, ngoja niende moja kwa moja kula Buterfly nakumbuka alinambia yupo chumba namba 104” alijisemea Winny huku akiita bodaboda ambayo ndiyo ingemfikisha kwa haraka.
***
Dr.Martin hakuamini macho wala mwili wake pale Kemmy alipoingia chumbani,
“Oooh, Shem nataka nikupe vitu adimu ambavyo hujawahi kuvipata”, Kemmy alimwambia Martin wakati akimsogelea kitandani,
“Usiniite shem bhana niite mpenzi, ila ukiwa na wifi yako ndio uniite shem”, alijibu Martin huku akiendelea kuuficha uume wake uliosimama imara ndani ya suruali yake, aliamini kama Kemmy angeona ukubwa wake angeogopa lakini alishangaa kumuona mtoto huyo akifanya vitu ambavyo hakuwahi kukutana navyo, hakika ilikua siku ya kwanza kwa Martin kufanyiwa vitu alivyofanyiwa na Kemmy , vilikua vitu adimu ambavyo mwanaume yeyote atakayevipata basi ni ngumu kumsahau mwanamke huyo,
“Kama ningekua nna mke leo talaka ingemhusu”, Martin alijikuta akisema wka sauti, aliamini Kemmy ndiye mwanamke pekee anayejua mapeni dunia nzima, waliendelea kuchezeana kitandani, Kemmy alijituma kisawasawa kitandani hapo kabla ya kuanza tendo kabisa.
***
Winny alishuka kwenye bodaboda na haraka alipiga hatua kwa haraka hadi alipouona mlango wa chumba namba 104, moyo ulimdunda kwa kasi,
“Ngoja kwanza nimpigie simu” alijisemea Winny huku akitoa simu yake katika mkoba ili aweze kumpigia Dr. Martin,
“Dah! hata hapokei ila ngoja nigonge tu maana alinambia nikija niingie tu moja kwa moja” alijisema Winny huku akisogea karibu zaidi mlangoni.
***
“Dear it’s time now (mpendwa huu ni muda sasa wa kunifaidi)” aliongea Kemmy huku akiushika uume wa Martin uliosimam imara, aliulamba na kuuachia mate kusudi uweze kuteleza vizuri, baada ya kuhakikisha umepata mate ya kutosha alianza kujiingizia lakini kabla hata haujaingia nusu, huku Martin akizidi kushangaa kwa mambo anayofanyiwa na msichana mdogomkiasi kiel, wote walishtukja mlango kugongwa,
“ngo, ngo, ngo”, Mlango uligongwa kwa kishindo,
“Nini tena mpenzi” Martin aliongea sauti ya chini huku akishangaa,
“Nikuulize wewe”, alijibu Kemmy huku akijitoa kifuani kwa Martin.
Mlango ulizidi kugongwa mfululizo na Martin alisimama kuelekea mlangoni huku akinyata lengo lake likiwa ni kusogeza pazia na kuangalia anayegonga ni nani ?.
Je nini kitatokea ? Tukutane sehemu ijayo
 
KISA kitakugusa ..!!

Mtu mmoja alikuwa akishindana na Ibrahim ibn Adham.
Akasema: Hakuna kitu "barakah".

Ibrahim ibn Adham akamjibu kwa kumuuliza. Je unajuakuhusu mbwa na kondoo?

Yule mtu akasema: Ndio

Ibn Adham akamjibu:
Ni yupi katika wanyama hawa anazaa kwa wingi?

Yule mtu akasema: Mbwa anazaa mpaka watoto saba, wakati kondoo anazaa mpaka watatu.

Ibn Adham akasema:
Unapoangalia katika makazi yao yupi katika wanyama hawa wawili ni wengi?

Yule mtu akasema: Naona kondoo ni wengi zaidi.

Ibn Adham akamuuliza:
Lakini kondoo si ndio wanaochinjwa zaidi hivyo kupunguza idadi yao?

Yule mtu akajibu: Ndio.

Ibn Adham akasema: Hio ndio barakah.

Yule mtu akadadisi: Lakini kwa nini ikawa hivyo? (Kwa nini kondoo wanastahiki barakah kuliko mbwa?)

Ibn Adham akajibu:

Kondoo hulala mapema na huamka kabla ya Fajr, kwa hiyo wanawahi ule muda wakati rahma na barakah zinawashukia.
Na mbwa nao, wanabweka usiku kucha, ukifika muda karibu na Fajr, wanapata usingizi. Wanapitwa na muda wa rahma kwa hiyo hawapokei barakah.
----
Hii story inanifanya nafikiri, je sisi wenyewe tunajinyima barakah katika mali na familia zetu kwa kuchelewa kulala na kutoamka kabla ya fajr?
Allah SWT atujaalie Barakah nyingi katika maisha yetu. Ameen.

*Nawasisitiza ndugu zangu na naiusia na nafsi yangu! Tujitahidi kuamka mapema kabla ya Fajr na tuswali rakaa mbili za sunnah kabla ya sala ya Fardhi*

Nimeiona inafaa kutafsiri na kusambaza.

As salaam alaykum warahmatullah wabaarakaatuhu!
 
BASI LA SHETANI-04
Deo Massawe.
0653195298.
“Oooh my God (Oooh Mungu ) wangu ni Winny” yalikua maneno ya Martin baada ya kupenyeza jicho katika dirisha, maneno hayo yaliichanganya akili ya Kemmy,
“So what (kwahiyo ?)” Kemmy aliuliza huku akiwa anavaa nguo haraka haraka, , hakutaka rafiki ake wa karibu aone akimgeuka,
“Usijali ngoja nitumie akili za kiume” Martin aliongea huku akiifuata simu ayke na kumtumia Winny ujumbe mfupi,
“Mpenzi nimekusubiri kwa mda hujafika sasa nimetoka kidogo na nitarudi baaada ya nusu saa, kwa hiyo tafadhali nenda kanisubiri hoteli ya pembeni hapo nikija nitakutafuta ila uwahi kuja, nakupenda mpenzi”, uyalikua maneno machache na Winny alipomaliza kuyasoma alishtuka kuona ujumbe wa fedha, hakuamini macho yake kwa kile kilichokua kikiendelea,
“Yaani huyu ndiye mwanaume, hata hajalla na mimi ananipa pesa kiasi hiki ? asante Mungu kwa yote haya”, alijisema Winny huku akielekea Hotel iliyokua mita hamsini kutoka eneo hilo, na baaa ya hapo Martin na Winny walipata nafasi ya kuendelea kufanya mapenzi, Kemmy, hakuwahi kukutana na mwanaume kama Martin, alihimili mapenzi kwa mda mrefu bila kuchoka, Kemmy alikua akiguna kwa raha alizokua akipata, huku nayeye Martin akipata raha ya kipekee ambayo hakuwahi kuipata tangu aanze kujihusisha na mapenzi.
Baada ya dakika 45 Kemmy alikua amechubuka uke wake, damu ilikua ikimtoka kwa mbali lakini bado Martin aliendelea na mchezo, Kemmy alijikaza wkani alimini atapewa kiasi kikubwa cha pesa.
“Kwa huyu inatosha ngoja sasa nimuite mwenzake” alijisemea Martin kimoyomoyo kwani hakuwa tayari kulikosa pia penzi la Winny.
“Hakika nimefurahia sana mchezo wako, sasa nataka kumuita wifi yako nachokuomba ni kuwa msiri, nakupa hizi dola 200 zitakusaidia” aliongea Martin huku akimkabidhi Kemmy dola mia mbili ambazo ni zaidii ya laki nne za kitanzania, ilikua mara ya kwanza Kemmy kulala na mwanaume na kukabidhiwa kiasi kikubwa kama hicho,
“Jamani nashukuru sana, ila umeonaje mziki wangu?” Kemmy aliongea kwa mahaba huku akimkumbatia Martin,
“Hakika wewe ni mtamu na fundi hasa, natamani niwe nakutafuta kila napokukumbuka”, alijibu Martin huku akitabasamu,
“Wewe tu ukiamua nitafute ila siri yetu maana rafiki akngu huyu ana mdomo balaa, tufanye kwa siri asijue chochote”, Kemmy alijibu na kumpa Martin uhuru wa kumtafuta mda wowote atakapomhitaji.Hawakupoteza mda walioingia bafuni na kuoga huku bado Martin akiwa na hamu ya tendo kwani dawa alizotumia bado zilimsisimua mwili ipasavyo,
“Huyu Winny hapa atalia kama mtoto mdogo”Kemmy alijisemea baada ya kuangalia maumbile ya Martin yalivyosimama imara.
***
Dakika kumi baada ya Kemmy kuondoka tayari Winny nae alikua chumbani pale, aliingiwa na hofu lakini alijikaza, alianza kufanya yale ambayo alifundishwa na Kemmy, alijitumja ipasavyo kumpagawisha Martin, na wka kuwa Martin alikua ameshapunguzwa nguvu kidogo basi Winny ahakupata wakati mgumu sana, lakini kila alipoingiza mkono wake na kumpapasa Martinkatika sehemu za siri alishtuka kwa kuona ana maumbile makubwa,
“Ah nitayashinda tu haya”, Winny alkijipa moyo na mara moja Martin aligundua Winny kua hajawahi kulala na mwanaume, hapo alianza kumwondoa wasiwasi huku akimlaza chali, alimshikilia mikono yale ipasavyo na kumtanua miguu,
“Hapa nataka nipeleke moto mmoja tu, nifumue kila kitu” Martion alijisemea kimoyomoyo huku akimchezea Winny juu juu, Winny alikua akipata raha isiyo na kifani lakini alishtukia kupata maumivu ya hali ya juu huku damu ikimtoka, alipoga keleel lakini Martin aliwahi na kumziba mdomo, alijitahidi kumsukuma lakini alizidiwa nguvu,, hakuwa na lakufanya alijikaza kisabuni na kumuacha Martin afanye analolijua.
“Ina maana nazaa au” alijiuliza Winny baada ya kuona maumivu anayopata ni kama vile anavyosimuliwa mtu anavyozaa mtoto.
Baada ya dakika arobaini na tano, ndipo Martin alimwachia Wiinny, huku damu ikiwa imetapakaa mwilini,
“Mpenzi hata siwezi kutembea”, Winny alisema huku akijikaza kwani hata kusimama ilikua tatizo, hakuweza kubana miguu kama kawaida,
“Jikaze tu utazoea”aliongea Martin huku akimpeleka bafuni na wakaoga.
Kwa shida Winny alijifuta vizur na kuvaa nguo,
“nikupe zawadi gani mpenzi” Martin alimuuliza Winny baada ya kumaliza kujipaka mafuta,
“Nipe zawadi yoyote unayoona inanifaa wewe”, Winny alijibu kwa tabasamu,
“Basi chukua hii”, Martin aliongea huku akimkabidhi bahasha ndogo, ndani ilivimba lakini Winny alishindwa kuvumilia, aliifungua ndani na kuangali zawadi iliyokua ndani, alifiurahi kukutana na simu nzuri aina ya Iphone inayotengenezwa na kampuni ya Apple, hakika alifurahi sana ,
“Chukua nah ii pesa ya vocha” Martin alizidi kumopagawisha Winny baada ya kumkabidhi kiasi cha shilingi dola mia tatu, ambazo ni zaidi ya laki sita za kitanzania,
“Mungu anipe nini ?” Winny alitamka kwa sauti huku akimkumbatia Martin.
Baada ya kuagana kila mtu alitwanyika, Winny alipiga simu ya Kemmy na mara moja wakapanga wakutanane nyumbani kwa Kemmy.
“Shogaa, Mungu anipe nini?” liliku neno la kwanza kutoka mdomoni kwa Winny baada ya kuonana na Kemmy,
“Kulikoni shosti na wewe basi jikaze hiyo miguu unaitanua kama bata, watakushtukia home” Kemmy nae alijibu huku akitabasamu
“Yaani hapa ndio nimejikaza hadi mwisho”, Winny alijibu huku wakiingia ndani,Kemmy hakuonesha dalili yoyote ya kitu alichofanya na Martin wakati Winny akielezea kilakitu kilichotokea na vitu alivyopewa,
“Sasa shosti hapo usifanye kosa, yaani mshikilie na umlinde kama mboni ya jicho”. Waliongea mengi na mwishoni waliagana huku Winny akimkabidhi Kemmy dola mia moja kama shukrani ya kumfundisha.
***
Winny alifika nyumbani akiwa na hali ya uchovu, mama yake hakua na imani kuwa mwanaye ametoka sehemu salama, aliangalia mwendo wake alioingia nao nyumbani alihisi kuna kitu kimetokea ila hakuuliza chochote,
“Mama leo naumwa kidogo kichwa”Winny alimdanganya mama yake
“Usijali mwanangu ni mizunguko ya mjini ndiyo imechangia, kunywa maji mengi tu” mama Winny alijibu huku akiangali chini kwa aibu kwani alijua mwanaye tayari ameshaaza kukutana na wanaume,
“Nikimwambia baba yake atauwawa bure huyu acha nimtunzie hii siri”, mama Winny alijisemea moyoni.
***
Edson na kikundi chake walitumiana ujumbe wa kukutana katika chumba kimoja, walianza kikao huku mzungumzaji mkuu akiwa ni Edson, na suala lenyewe lilikua kuhusu mchezo wa bahati nasibu, aliwashauri wenzake wajiunge pamoja ili waweze kushinda michezo hiyo ya bahati nasibu katika kubashiri matokeo ya mpira wa miguu iliyoshika kasi hasa kwa vijana wa wakiume,
“Jamani hii EDSON PROJECT ina nia ya kushinda michezo ya JACKPOT ili tuiweze kupatra fedha nyingi zaidi, hivyo basi tukiwa watu kumi na saba tutakua tunachangia kila mmoja shilingi mia mia na kila mmoja anachambua timu moja na baaa ye tunaziunagnisha pamoja na tunalipia kwa kutumia namba yangu kama kiongozi wenu ili tukishinda basi tugawane pesa, hebu fikirieni tukishinda million mita tano kila mmoja atapata zaidi ya million 40 je hazitatosha kabisa ili na sisi tuendelee kucheza zaidi ?” Edson aliongea mengi ambayo wenzake waliytafurahia na walijiona wakiwa matajiri,
“Kweli umoja ni nguvu utengano niudhaifu” alijisema mwanafunzi mmoja huku akiamini kama kila mmoja akichambua timu moja na kuibashiri basi ni rahisi zaidi kuliko mtu mmoja kuchambua michezo kumi na saba. Wote walikubaliana na kuifanya ile kuwa siri, Edson alizidi kuwaisistiza kuhusu kuitunza siri hiyo na ili wengine wasiige basi wote walikubali kuifanya iwe siri lakini bado hawakujua lengo la Edson kusisitiza swala la kutunza siri.Haraka kila mmoja lipewa timu yake ambayo ni ya siku ijayo, kila mmoja aliichunguza timu yake, aliangalia michezo ya timu husika iliyokwishachezwa, aliangali idadi ya michezo iliyowahi kushinda na hadi iwaliangali kikosi kitakachocheza, waliingia katika mtandao wa Google na kuisoma timu husika, kila mmoja alijitahidi kuchambua timu yake, hakunma aliyekumbuka kusoma tena kwa siku hiyo , wazo la Edson liliwapa motisha wa kuwa matajiri ghafla tena kwa mtaji wa shilingi mia moja.
je nini kitaendelea ?
 
BASI LA SHETANI-05
Deo Massawe.
0653195298.
Hadi kufikia miezi miwili tayari Winny alikua ashazoea kufanya mapenzi hadi mara tano kwa wiki, tabia yake nyumbani ilibadilika sana, hakuwaheshimu tena wazazi kam a zamani licha ya matokeo ya kujiunga na kidato cha kwanza kutoka hakuonesha utayari wa kujiunga na shule tena, kwa wiki alikua na uhakika wa kujiingizia zaidi ya laki tano kutoka kwa wanaume tofauti tofauti waliomtaka kimapenzi.
Kemmy pia alibadilika tabia, hadi nyumbani alihama na kuishi katika chumba alichopangishiwa na mwanaume maeneo ya Sinza Afrikasana.
Mama na baba Winny hawakuamini kilichokua kikiendelea,
“Ni kweli huyu mtoto wetu wa pekee amepotea hivi hivi, tukiwa tunaona? Ila yote haya nilikuambia mama Winny, unamdekeza mtpto, alikua anakuletea hela unapokea tu hujui anakozitoa, uliona anamilikiua simu za kisasa hukuuliza kwa kuwa alikua anakupa kitu kidogo, ona sasa hataki shule na hata ameanza kutuaibisha kwa kurudi nyumbani akiwa amelewa”, baba Winny aliongea huku machozi yakimtoka,
“Baba Winny usiseme tena hivyo acha kunihukumu mimi, kuymbuka huyu mtoto ilitupasa sisi wote tumkuze katika maadili mema, na sio tu kumuonya bali kumfundisha, ni ngumu sana kumuambia mtoto wa kike kuwa ngono ni mbaya wakati akikaa na wenzake wanamwelezea jinsi ngono ilivyotamu, hivyo ilipaswa kumwelewesha uchungu ulio ndani ya utamu wa mapenzi,”Mama Winny alijibu huku akimfuta mumewe machozi,
“Sasa ona hadi saa sita hii usiku bado mtoto hajarudi, ni aibu kumsubiri binti wa miaka kumi na nne hadi usiku huu wa manane” baba Winny aliongea kwa hasira lakini kabla hawajaendelea mlango ulibishwa,
“Muuuuuuuuuumy” ilikua sauti ya Winny,
“Abeeee mwanangu” mama Winny alijibu kwa sauti ya huruma kwani alijua ni dhahiri mwanaye kwa mda huo alikua mlevi,
“Rudi huko huko pumbavu wewe”, baba yake alifoka lakini tayari mama alikua ashaufungua mlango na Winny kuingia, alikua akipepesuka, viatu alishikilia na mikono na mojka kwa mokja alipita hadi chumbani, na kujitupa kitandani, ilikua kazi ya mama yake kumshushia chandarua na hadi wakati mwimgine alimywesha maji, waliamini mtoto wao amelogwa.
Martin bado aliendelea kutembea na Winny pamoja na Kemmy bila wote kujuana, Winny alijisifu kwa Kemmy jinsi ambavyo Martin anavyompa kiasi kikubwa cha pesa kila wanapokutana, Kemmy alihakikisha anatunza siri ya kutoka na Martin kama walivyopanga kwani hakuna kitu alichohitaji akakosa.
Siku moja moja Kemmy na Winny walikua wakifanya mazoezi ya kuwateka wanaume, walikua wanaangalia mikanda ya ngono kisha kujaribu pamoja kama sehemu ya majaribio, yote hayo waliyafanya ili kuzidi kuwa tofauti kwa mwanaume yeyote ambaye wangekutana naye,
“Hivi Winny huyo Martin kweli ni daktari au vipi maana kama ni daktari mbona hatujawahi kumuona akienda kazini, na kila siku anakua na pesa, itakua ana kazi nyingine ama”, lilikua swali gumu kwa Winny,
“Ah mwenzako mimi sihitaji kujua kazi gani anafanya ilimradi Napata pesa mimi” alijibu Winny kwa mkato.
***
EDSON PROJECT ikiongozwa na Edson mwenyewe bado iliendelea na utabiri wake, hawakukata tamaa licha ya kukaa zaidi ya miezi miwili na nusu bila kushinda, kila siku waliongea ufanisi katika kutabiri,
“Michezo ya mwisho wa wiki hii ni milaini kidogo hapo tujikaze masela” alisema Edson baada ya kukagua michezo ambayo ingechezwa mwisho wa wiki, na kama ilivyo kawaida ya wanaume kutunza siri hadi wakati huo hakuna hata mmoja aliyetoa siri hiyo kwa mtu mwingine.
***
Ili Winny kuepuka kero za nyumbani basi aliamua kuondoka nyumbani na kuenda kupanga nyumba jirani na Kemmy, suala la kujilipia kodi lilikua dogo, kila siku vijana wa chuo jijini Dar es salaam walipishana mlangoni kwa Winny, alijiremba kiasi kwamba kila mwanaume aliyemuona lazima angemtaka, machoni hakuonekana kama anajiuza na kila mwanaume aliyekua naye basi mwanaum huyo aliamini amepata binti mdogo wa malengo yake,
“ Hakika kama ameweza kunikubali basi huyu ananipenda kweli sitamuacha” yalikua maneno ya kila mwanaume aliyakutana na Winny, na hayo maneno yalitokana na jinsi Winny alivyowaigiza upendo wa kweli.
***
Edson na wenzake walikua katika chumba kimoja, wote wakiwa na simu zao walikua wakifuatilia matokeo ya michezo waliyotabiri kupitia LIVE SCORE,
“Bado hii timu moja tu inayochezwa saa tano usiku” alisema Edson, wote walikua wakishangilia, waligongeshana mikono huku kila mmoja akimsifu Edson kwa ubunifu wake, walipiga magoti na kumuomba Mungu ili matokeo ya timu ambayo ilisubiriwa yawe kama walivyotabiri,
“Wazee hii million mia sita ni yetu” hakuna aliyelala wote walikaa macho hadi pale mchezo ulipoanza, hakika mchezo ulianza kwa kasi ya ajabu, timu waliyoitabiria kushinda ilikua ikishambuliwa vilivyo,walianza kupoteza matumaini,
“Yaani huyu anaykoswa koswa hivi ataweza kushinda kweli”Lilikua neno la Edson baaada ya timu kwenda mapumziko zikiwa sare ya kutofungana,
“Boss ungetuletea hata pombe tuondoe stress”, alisema mmojawapo wa vijana hao na hapo hapo Edson alitoka na kurudi na chupa tano kubwa za K-vant, kila mmoja alimiminiwa na wakaanza kunywa taratibu.
Moyo wa Edson ulijawa na furaha kwani aliamini mipango yake itatimia kirahisi hasa baada ya kuona wenzake wanatumia pombe huku yeye akidai kushikilia chupa yake mkononi,
“ Hii ni yangu mwenyewe hadi niimalize” alijisemea Edson lakini ukweli ni kuwa ndani ya chupa yake kulijazwa maji lakini yeye aliigiza kulewa, lakini wenzake wakilewa kweli.
hadi kufika dakika ya themanini zikiwa zimesalia dakika kumi mpira uishe bado timu zote zilikua sare, hasira ziliwazidi na kuzidi kunywa pombe kwa kasi, wale waliokua wepesi wa kulewa basi walikua tayari washaishiwa hadi nguvu za kukaa, walijilaza chini.
Dakika ya tisini, kama bahati timu iliyokua ikishambulia ilifungwa goli, lililowafanya washangilie kwa nguvu, waliuona utajiri na macho, hakika walikua na nguvu waligonga vifua kuashiria ushindi huo,refa aliongeza dakika tano, kitendo hicho kiliwadhi kwani waliamini dakika tano ni nyingi sana katika mpira.Kimya na huzuni kilitawala baada ya timu pinzani kuzawazisha , tena zikiwa zimabki kama sekunde kumi mpira umalizike, hadi Edson alidondokwa na machzoi, wenzake wote walimalizia pombe yote kwa hasira, lakin bila kutarajia goli lilikataliwa na refa, hivyo likafutwa na mpira ukawa umeisha, walishangilia lakini pombe ilizidi kuwakamata na hatimaye wote wakaishiwa nguvu,Edson alisubiri wote wapitiwe na usingizi ili aweze kukamilisha mpango wa kumilikia pesa zote mwenyewe, hivyo alichofanya ni kuingiza mkono mfukoni na kutoa kibahasha, alikiangalia na kutikisa kichwa kutoka chini kwenda juu kuashiria ameweza kitu fulani.
Je nini kitaendelea? Tukutane sehemu ijayo siku ya Ijumaa mahali hapa hapa.
 
Winny na Kemmy wanasikitisha sana...

Edison inaonekana atakuja ishia pabaya sana kwa utapeli anaotaka kuufanya...


Cc: mahondaw
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom