Kwa wapenzi wa fulana zile plain, ipi brand nzuri kati ya hizi?

Vumbi la congo

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
646
945
Jamani mimi nahitaji kujua ipi brand nzuri ambayo inajitahidi kwa kuwa na fulana quality kati ya hizi MANGA na HOTBASE.

Mwenye uzoefu nazo anifahamishe zipi zina nafuu au zenye quality nzuri au kama kuna brand nyingine pia share.
 
Hakuna afadhari wala nafuu hapo. Huwezi nunua Tshrt ya elfu 7 Kariakoo af utegemee iwe quality. Nenda maduka makubwa nunua za kuanzia elfu 35 hapo unaweza vaa ukapendeza. Haya ma manga na hitbasic yanapauka mifuo miwili tuu@Vumbi la congo,
 
Hot basekwangu ndo quality maana kuchuja rangi hazichuji fasta kama manga ...ila manga white inang'aa kuliko hot base...Mimi brand nzuri hotbase...
 
Tafta T-Shirt brand ya converse zipo nyeupe na nyeusi, pia utapata mikono mifupi na mirefu ,
Ukiivaa we mwenyew utafrahia muonekano wako mpya .
 
Back
Top Bottom