Kwa wapenzi wa Dansi-Sikiliza Wimbo mpya wa Fally Ipupa (ecolo) hakika Fally anajua

Nipo napata Dinner hapa huku kitu Cha Princesse Julie Cha Luciana Bokilo kikifanya chakula changu kiwe kizuri kabisaaa
 
mkuu mimi dance naweza sikiliza kwenye watu wengi tu, mfano kwenye kumbi nk. Nimezaliwa kizazi cha hiphop, nikichanganya kidogo basi reggae. Dance nawaachia wakongwe
Duh...haya mkuu.ila kwangu bongo flavour yanishinda kwa sababu ina vitu navikosa hasa vyombo vinavyotumika kuuandaa muziki wake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom