KWA WAPENDWA KARIBUNI Kwaheri ukoloni kwaheri uhuru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KWA WAPENDWA KARIBUNI Kwaheri ukoloni kwaheri uhuru

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Jumakidogo, Oct 7, 2010.

 1. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #1
  Oct 7, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kwaheri ukoloni kwaheri uhuru


  Nugu zangu wapendwa,wengi wamesumbuka sana katika kujaribu kutafuta ili kupata kitabu hiki ambacho kimekuwa kama mkombozi na mfumbuzi wa historia ya kweli kuhusu ukoloni na mapinduzi yaliyotokea huko visiwani unguja.
  Kwa kutambua umuhimu wa historia hiyo kwa watanzania walio wengi.Nami nimejipatia nakala za kitabu hicho ambacho nitakupa wewe msomaji kwa gharama nafuu kabisa tofauti na mahala pengine.
  Wengi wamekuwa wakiuza kitabu hiki kwa Tsh 35,000 mpaka 40,0000 hiyo ni gharama ya juu zaidi tofauti na kusudio la mwandishi.Sasa utapata kwa gharama nafuu zaidi yaani 33,0000 tu kitabu halisi na unaweza kukipata pia kwa Tsh 10,000 Nja ya email.Kwa mawasiliano na maelezo zaidi tumia ya jinsi ya kupata kitabu hiki tumia  mwanakwetu@yahoo.com au 0764561078
   
Loading...