Kwa waombaji kazi, suala la experience mnafanyaje?

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,276
Kwa wale fresh graduates huwa kuomba Kazi unafanyaje,unakuta vigezo vyote vipo isipokuwa ya experience,wengine wanakaa kitaa hata mwaka mzima,je wenzangu mnaoapply huwa ukiona hicho kigezo mnatuma maombi au unaacha?na kuna mliofanikiwa kuitwa bila kigezo cha experience na mkapata Kazi?
 
Ni kua honest tu mzee, kua huna experience ila uko mwepesi kuelewa na kukamilisha maagizo
 
Kweli mkuu ila pale mwanzoni unapoapply ndo unakuta huna kigezo cha experience,unapply au unaacha?na wapo waliochukuliwa bila experience au hicho kigezo ni bwembwe haitiliwi mkazo
 
Me huwa natuma tuu sijali hicho kipengele, labda kama nimeshindwa kufikia kigezo cha elimu ndo situmi, sasa wakibana sisi tunapataje experience
 
Hata mi huwa natuma tu,naona kabisa nina vigezo vyote isipokuwa hiyo tu,sasa mtu utafanyaje kwani wao waliingiaje
 
Kwa wale fresh graduates huwa kuomba Kazi unafanyaje,unakuta vigezo vyote vipo isipokuwa ya experience,wengine wanakaa kitaa hata mwaka mzima,je wenzangu mnaoapply huwa ukiona hicho kigezo mnatuma maombi au unaacha?na kuna mliofanikiwa kuitwa bila kigezo cha experience na mkapata Kazi?
Si vema kwa graduate kukaa kitaa mwaka mzima, why not find a place to volunteer and gain experience?? Kwa kujitolea utauwa ndege 2 kupata uzoefu na pili utaweza kujaza hicho kipengele cha uzoefu.
 
Back
Top Bottom