Kwa wanunuaji wa dhahabu

Mbunge Wa Kitaa

Senior Member
May 25, 2014
122
118
DHAHABU KUTOKA KILINDI TANGA INAUZWA, MAHALI NI TANGA MJINI. DHAHABU IPO PIA IN TERMS OF NUGGETS. DHAHABU ITACHOMWA MNUNUZI AKIWEPO HAPO HAPO NA KUTENGENEZWA IN BARS. IKITENGENEZWA IN BARS, PURITY YAKE INAFIKIA 93% TO 94%. KIASI CHA KUNUNUA NI KUANZIA KILOGRAMS 5 NA KUENDELEA. BEI NI 65,000,000 (65Mil) KWA KILOGRAM MOJA. MAZUNGUMZO YA BEI YANAFANYIKA BAADA YA MTEJA KURIDHIKA NA BIDHAA.
KWA MAWASILIANO: 0762-796279/0687-399087
E-mail address; christopher_clemence@yahoo.com
 
DHAHABU KUTOKA KILINDI TANGA INAUZWA, MAHALI NI TANGA MJINI. DHAHABU IPO PIA IN TERMS OF NUGGETS NA PURITY YAKE NI 98% HADI 99% KABLA HAIJACHOMWA. DHAHABU ITACHOMWA MNUNUZI AKIWEPO HAPO HAPO NA KUTENGENEZWA IN BARS. IKITENGENEZWA IN BARS, PURITY YAKE INAFIKIA 93% TO 94%. KIASI CHA KUNUNUA NI KUANZIA KILOGRAMS 5 NA KUENDELEA. BEI NI 65,000,000 (65Mil) KWA KILOGRAM MOJA. MAZUNGUMZO YA BEI YANAFANYIKA BAADA YA MTEJA KURIDHIKA NA BIDHAA.
KWA MAWASILIANO: 0762-796279/0687-399087
E-mail address; christopher_clemence@yahoo.com

Una dalili zote za kuwa tapeli ww,biashara ya dhahabu si ya kutafuta mteja kiasi hiki
 
Kweli ni utapeli . Yaani gram moja ni 65000. Kilo moja ni gram 1000. Sasa unauza kuanzia kilo 5. Maana yake ni 65,000 zidisha na 5000 = 325,000,000/= . Je hiyo biashara unaifanyia sehemu gani? Kuna ulinzi, kuna vipimo? .....unalipa kodi? Unatoa risiti ?
 
Ungepost hii kitu 20 yrs back ungepata mabwege lakini ushachelewa, dhahabu huwa haiuzwi online, wala mnunuzi hatafutwi kwapost jf, halafu tanga dhahabu take haifiki 98%purity inakuGa kwenye 80 hivi, kwanza na singida ndio utapata 97% purity, halafu hakun ----- atayekubali uchome wewe kwenye refinery yako halafu akupe hela take, umechemka, mkuu humu Kuna magwiji WA hii habari usifikiri Kuna wajinga hapa, kwa kifupi huna dhahabu
 
wewe check kule nimekupa option biashara yako wala haahitaji tangazo peleka kwa masonara wahindi mjini watapima gram na watakuhesabia cash yako bila longolongo.

sasa kaka niambie ni sehem gani maana si unajua posta sijui maeneo pengi na boda hazifiki
nielekeze tu plz
 
wewe check kule nimekupa
option biashara yako wala haahitaji tangazo peleka kwa masonara wahindi
mjini watapima gram na watakuhesabia cash yako bila longolongo.

Unadhani hajui hilo? Unadhani ameingia humu kwa bahati mbaya?
 
Back
Top Bottom