Nishike mkono unipeleke Shadeeya maana Wananchi hawakawii kunigeuza bucha😋😋😋Haya sasa Ses njoo kule kwenye uzi wetu umwage haya maushauri.
Hahahaaa!! Kumbe muoga eee.Nishike mkono unipeleke Shadeeya maana Wananchi hawakawii kunigeuza bucha😋😋😋
Wananchi hata kukuroga wanakuroga aisee😎😎😎Hahahaaa!! Kumbe muoga eee.
🤣🤣🤣🤣Wananchi hata kukuroga wanakuroga aisee😎😎😎
Unansingizia bana
Hahahaa. Rafiki ndio wanavyosemaga eti.
Hakika!! Tuzidi kupambana nayo tu hayo majukumu rafiki.
Wazuri huwa hawafungi
Hujaifungua tu pamoja na kusoma huu uziHakika!! Tuzidi kupambana nayo tu hayo majukumu rafiki.
Have a good day rafiki.
Niliifungua mbona Mtani. 🙈Hujaifungua tu pamoja na kusoma huu uzi
Jaribu kubadili jina uwe kichwa kisafi tuone kama bado zitakuwa zinafungwa
Avatar Avatar Avatar