Kwa Wanawake: Ukipokea pesa kutoka kwa wakala au namba ngeni unafanyaje?

pole sana.
Ahsante sana, hapo nshajidai mi sijaona msg, mara kuna mtu nliongea nae anatuma pesa ndio nkajua kanitumia nishaitoa, sina lolote wala sikua na ahadi ya pesa.....yani nilivurugika kwakweli šŸ˜
 
Ahsante sana, hapo nshajidai mi sijaona msg, mara kuna mtu nliongea nae anatuma pesa ndio nkajua kanitumia nishaitoa, sina lolote wala sikua na ahadi ya pesa.....yani nilivurugika kwakweli
Inshort wanaokosea wawe na adabu, ukijua umekosea basi fanya umetoa sadaka
 
Na kwanini umtumie kupitia wakala..!!! Unamjaribu au?..aendelee kukausha ivyo ivyo
 
Wakuu nashukuru kwa michango yenu, nishaachana na huyo mwanamke. Niligundua anatoka na mjeda fulani, inawezekana ana wanaume wengine pia.

Nishakutana na wanawake waongo kabla lakini huyu balaa. She looks so innocent.
 
Yaani binti wa watu unamtafutia kesi ya bure dah! Kama unampenda basi achana kabisa na tabia hii ya kuweka hii mitego yako ya kiutopolo topolo hii. Utakuja kumpoteza kwa uboya wako na inferiority complex yako...

Kwanza boya mwenyewe, kuhsu inferiority complex ni mtazamo wako. Ni uamuzi wangu kumpima mwanamke wangu, kwa sababu ni mimi ntaishi nae sio wewe. Ndio nyie mnasema wake za watu wanagongwa sana. Kumbe umalaya walikua nao toka zamani.
 
Kwanza boya mwenyewe, kuhsu inferiority complex ni mtazamo wako. Ni uamuzi wangu kumpima mwanamke wangu, kwa sababu ni mimi ntaishi nae sio wewe. Ndio nyie mnasema wake za watu wanagongwa sana. Kumbe umalaya walikua nao toka zamani.
Screenshot_20211130-140134.jpg


Pole sana mkuu kwa kuchapiwa na mjeda

Ile 50K sasa msala uliishaje? Alikuuliza baadaye au alidhani kuwa imetoka kwa mjeda akakausha tu? Au ni wewe baadaye ulimwambia kuwa ndiye uliituma.

#KuchapiwaHakuepikiki
#KitandaHakizaiHaramu
#Kuchapiwanisiriyandani
 
Back
Top Bottom