kwa wanawake tuu please

sasa je hivi ulishawai kukutana na hii kitu, yaani hata mvuto hakuna bora uwe kimbau mbau tu tujue moja khaa
Zanta tena kuna kimbao mbao anayevutia ila ukikutana na yule mwenye masingiri halafu yamekakamiana no vibration utachukiaje? haya yanatakiwa yapige stail ya hamsa..........hamsa.............hamsa. halafu ukute umetupiapo kaumini ama kashort dress wallah hata kipofu atamsifu mungu aisee. ama ukanoga ile tight ya kishakaji na baluzi ya ukweli chini ukatupia kiatu cha nguvu wewe koma wewe.
 
Last edited by a moderator:
na kama huna vibration sidhani kama unaweza kujilipua

lol umeonaa eeh! vibration inahusuje sasa katika kulipuka? kila pamba inakutoa tu wacha kabisa, kila utembeapo kama urudi tena vile.
 
Mi naona wewe na Zanta mnanisema kimafumbo mie na haya makalio yangu ya Embu..........yamegandamana kwenye mifupa sasa yatatikisikaje?
Haya bwana, meseji delivadi
ahahaaaa inabidi kuwepo na rules za vimini sasa
 
lol umeonaa eeh! vibration inahusuje sasa katika kulipuka? kila pamba inakutoa tu wacha kabisa, kila utembeapo kama urudi tena vile.
ujue kuvaa kimini ni kujilipia liwalo na liwe ...sometimes miguu kama mikono haya...unasema watajiju...upo na vibration wakushangilia washangilie yaani ni full milipuko
 
Mi naona wewe na Zanta mnanisema kimafumbo mie na haya makalio yangu ya Embu..........yamegandamana kwenye mifupa sasa yatatikisikaje?
Haya bwana, meseji delivadi
hehehehehe nikiangalia huo mdomo na jicho tu hapo kwa avata vinaniambia huko nyumba full mtikisiko.
unajua wenye vibration unawajua tu hata kwa miandiko yao
 
Zanta tena kuna kimbao mbao anayevutia ila ukikutana na yule mwenye masingiri halafu yamekakamiana no vibration utachukiaje? haya yanatakiwa yapige stail ya hamsa..........hamsa.............hamsa. halafu ukute umetupiapo kaumini ama kashort dress wallah hata kipofu atamsifu mungu aisee. ama ukanoga ile tight ya kishakaji na baluzi ya ukweli chini ukatupia kiatu cha nguvu wewe koma wewe.
khe khe khe hebu nifundishe hio hamsa hamsa nikawafundishe wa kwetu huku yaani wanajua mpododo dili wakati hawana vibration
 
ujue kuvaa kimini ni kujilipia liwalo na liwe ...sometimes miguu kama mikono haya...unasema watajiju...upo na vibration wakushangilia washangilie yaani ni full milipuko

na kama vibration mekaa mwake mbona spoke za miguu hazihusu Smile? ishu hapa ni nyumba yenye mirindimo dogo
 
Last edited by a moderator:
khe khe khe hebu nifundishe hio hamsa hamsa nikawafundishe wa kwetu huku yaani wanajua mpododo dili wakati hawana vibration

teh teh teh teh hapo ishu ya mafuta ya ubuyu inahusu wallah! hivi kwani mafuta huwaga mnapaka wapi? hebu yafanyieni masaji hayo masingiri jamani lol hamsa inakuja mbona pakilainika?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom