kwa wanawake tuu please

Smile mdogo wangu aisee kuna maisha artificial haya ya kwako kiboko, urafiki hadi kuombana nguo? aisee hii siwez yaani wala sina lakni pia watoto wa siku hizi mnamambo sana nyie.

lakini pia mdogo wangu wa moyoni hapo kwenye maisha ya mapenzi ndipo panapo niumiza mimi juu yako. aisee hivi hakunaga hata mwanaume mmoja ambaye alishawahi kuwa mwema kwako hata kwa jambo moja tu? sasa naomba nikwambie wewe unajiumiza mwenyewe, this time nakua mkali manake u mfariji mtaabishaji wa nafsi yako mwenyewe.

if at all unapenda kuolewa na kuwa na mji wako as a mother lazima ubadilike kimtazamo wa ndani, pia hebu anza kwanza kuona kwamba wanaume ni wazuri anza na baba yako mazazi kubali kuwa kitendo cha kumkojolea mama yako shahawa iliyokutoa wewe alikupenda sana angeweza kuimwaga nje tu na usione uso wa dunia. jamani nisamehe tu kama nimesema vby ila naumia sana juu yako smile. pia hebu watizame kaka zako naamini kama unao ni watu wazuri sana kwako, hebu wachukulia kama benchmark juu ya mwenzi wako?

ninalo ombi binafsi kwako naomba nikupe kila siku mpaka utakapoona umebadilika masomo ambayo yatakubadili wewe hasa moyo wako towards men. hii naomba kama tu utaridhika nitajitolea kuandaa somo kila siku.

haya juu ya hao wanaokupenda ila wewe huna muda nao wasikuwazishe ma dearest, jua kuwa wewe upo ili kuwakilisha utukufu wa Mungu so na yeye kama anaufurahia utukufu wa munu thru you ts ok na so long as umemwambia humtaki asikunyime usingizi ukakosa kupendeza kisa yy.
 
Last edited by a moderator:
1)najitingisha mpaka adondoshe ulimi,af kmyaaa,simsemeshi
2)uzuri,napenda kumwambia mtu ukwel,espcl kama n wakaribu..unamwambia kwa namna atakayokuelewa,na kwa utakachoweza kumpa unampa,ikizidi,u talk 2her!but kuazima,sijuw kuchukua kwa kutamaman,i dont entertain..
3)dah..inatesa,ila hela muhimu kuitafuta,mengine yatajileta tuu!
 
Haujambo dada,
mama anaendeleaje.

1---umeamua kutupia kinguo chako cha kimtego....then unakutana na mwanaume ambae huwa anakumendea na wewe humtaki kabisa kabisa...daaah anakufaidi tu bure kukuangalia mpuuzi huyo----unafanyeje?
2...una shost kila siku anakupiga mizinga..ya pesa.. mara pochi ,mara viatu ...kila kitu akija kwako anatamani anajisevia...
3....huna muda na mapenzi.ingawaje moyo unatamani ..upo busy full day...unafanyeje?
 
mimi navaa tu kwa raha zangu bana
Kwa nini unasikia raha ukivaa vimini, basically kwasababu unataka attention. Kiukweli mtu unavaa ili uonekane umependeza, sasa kama hakuna wa kukuona umependeza i don't see the logic ya kutupia then useme kwa raha zako
 
Smile mdogo wangu aisee kuna maisha artificial haya ya kwako kiboko, urafiki hadi kuombana nguo? aisee hii siwez yaani wala sina lakni pia watoto wa siku hizi mnamambo sana nyie.

lakini pia mdogo wangu wa moyoni hapo kwenye maisha ya mapenzi ndipo panapo niumiza mimi juu yako. aisee hivi hakunaga hata mwanaume mmoja ambaye alishawahi kuwa mwema kwako hata kwa jambo moja tu? sasa naomba nikwambie wewe unajiumiza mwenyewe, this time nakua mkali manake u mfariji mtaabishaji wa nafsi yako mwenyewe.

if at all unapenda kuolewa na kuwa na mji wako as a mother lazima ubadilike kimtazamo wa ndani, pia hebu anza kwanza kuona kwamba wanaume ni wazuri anza na baba yako mazazi kubali kuwa kitendo cha kumkojolea mama yako shahawa iliyokutoa wewe alikupenda sana angeweza kuimwaga nje tu na usione uso wa dunia. jamani nisamehe tu kama nimesema vby ila naumia sana juu yako smile. pia hebu watizame kaka zako naamini kama unao ni watu wazuri sana kwako, hebu wachukulia kama benchmark juu ya mwenzi wako?

ninalo ombi binafsi kwako naomba nikupe kila siku mpaka utakapoona umebadilika masomo ambayo yatakubadili wewe hasa moyo wako towards men. hii naomba kama tu utaridhika nitajitolea kuandaa somo kila siku.

haya juu ya hao wanaokupenda ila wewe huna muda nao wasikuwazishe ma dearest, jua kuwa wewe upo ili kuwakilisha utukufu wa Mungu so na yeye kama anaufurahia utukufu wa munu thru you ts ok na so long as umemwambia humtaki asikunyime usingizi ukakosa kupendeza kisa yy.
sio wanaume wote nawachukia dadangu...je kama ni mume wa mtu? mimi sipendi kuishi maisha ya kihunihuni my dear....kuhusu somo andaa tu nitafurahi kweli ..thax in advance
 
1)najitingisha mpaka adondoshe ulimi,af kmyaaa,simsemeshi
2)uzuri,napenda kumwambia mtu ukwel,espcl kama n wakaribu..unamwambia kwa namna atakayokuelewa,na kwa utakachoweza kumpa unampa,ikizidi,u talk 2her!but kuazima,sijuw kuchukua kwa kutamaman,i dont entertain..
3)dah..inatesa,ila hela muhimu kuitafuta,mengine yatajileta tuu!
iyo no moja daaah kama hakuna vibration je? ahahaaa
 
Kwa nini unasikia raha ukivaa vimini, basically kwasababu unataka attention. Kiukweli mtu unavaa ili uonekane umependeza, sasa kama hakuna wa kukuona umependeza i don't see the logic ya kutupia then useme kwa raha zako
kwa raha za kupendeza ndo maanake
 
Kwa nini unasikia raha ukivaa vimini, basically kwasababu unataka attention. Kiukweli mtu unavaa ili uonekane umependeza, sasa kama hakuna wa kukuona umependeza i don't see the logic ya kutupia then useme kwa raha zako[/QUOTE
NB..attention from people you dont fancy does not count!kuna watu ambao hata bila dressing up they notice you..so when i dress up it is NOT for them!waniache binti wa watu..
 
sio wanaume wote nawachukia dadangu...je kama ni mume wa mtu? mimi sipendi kuishi maisha ya kihunihuni my dear....kuhusu somo andaa tu nitafurahi kweli ..thax in advance

basi usijali expect my notes every day evening hadi niridhke kwamba umeelewa na nimekutoa hatua moja kwenda nyingine. but mume wa mtu endelea kumpotezea hivyo hivyo akikuzingua zaid mwambie twende tukaombe ruhusa kwa mkeo kwanza.hao wanataka tu mchezo wa matusi na hivi siku hizi hatusumbuani kwenye mshiko ndo kabisa hata jicho la pili simwangalii.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom