Msaada: Kwa msichana aliyevunjwa bikira damu hutoka kwa muda gani?

Why wanawake tu? Hata siye ambao ndio huzitungua tunaweza kukuambia kwa sababu ndo tunatoa first aid so tunajua hadi mambo yalipotulia ilichukua muda gani tukafua na yale mashukaa ya guest....

Karibu mkuu...
We kitu adimu ivo sku izi unaitolea guest...hahahaaaa...
 
ngoja kwanza kwa kua ninaraha ya mtoto kupata nafuu ya haja na mie nataka nitoe mchango wangu wa kifafanuzi zaid.

iko hivi bikra damu yake hutoka kwa muda tu kama saa moja ama mbili, kisha kuacha ama kukatika na kwa wengi ambao wana ubikira wa kweli na wenye damu nyingi basi huweza kutoka matone matone baadae ambayo hayazidi siku moja.

sasa kuna wengine ambao hutolewa ubikira siku ambayo ni karibu kabisa na siku za pperiod zao so hujikuta wakiunganisha damu ya ubikira na ile ya mwez. jiangalie tarehe zako kisha angaia amount ya damu unayotoa ndipo utajua ni damu ya ubikira ama imeunganka na ya mwezi? damu uya ubikira huitaji just liners but kuna wengine wenye damu nyingi huweka pedi kwa muda.
 
he he he, huyo ni mtoto wa dada yako wa Morogoro, ndo kamaliza chuo.

Mpwa anataka kuonjwa na mjomba??

Mtaleta balaa la ukoo

haya twende ukaoge.

ulikuwa wapi saa zote?
hadi koo limenikauka?
umeona @lara1 alivyonitangazia bikira yake?
nimekuita umtoe baru lol
 
Hahahaaa! CREDIBILITY APPROACHING 0!!!!!!!!!!!!!! UKIULIZWA UMEPROVE???????? UTAJIBUJE? JST A MARE SPECULATION!!! HENCE HUNA GROUNDS ZA KUSHNDA KESI!! TOA USHAHIDI USIO NA SHAKA YOOTE KUWA IM NOT?
NAMTETEA The Boss KABLA HUJAMUHUKUMU PITIA POST ZOTE ULIZOWAHI KUCHANGIA UTAKUTA ULIPOROPOKA HAYO MABIKIRA WORDS :A S check_03::A S check_03::A S check_03::A S check_03::A S check_03::A S check_03::A S check_03::A S check_03::A S check_03::A S check_03::sorry: ,UKIWA UNAPENDA :blah::blah::blah: EXPECT ALL THESE
 
Last edited by a moderator:

HAYAKUHUSU!!!! ITS BTN ME N THE The Boss!!! BAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAASSSSSSS!!! Utasutwa na mashujaaa band!!! LOLEST!
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli mnaboa! Mtu mpaka anaandika kwenye hii jf doct mjue anashida lakini badala ya kujibu maswali yake nyie mnaanzisha topic zenu.
 
Kwa kweli mnaboa! Mtu mpaka anaandika kwenye hii jf doct mjue anashida lakini badala ya kujibu maswali yake nyie mnaanzisha topic zenu.

Nakubaliana na wewe,badala ya kumsaidia mtu,mtu analeta mzaha,anaibua mada nyingine,kama hujui,ni vema ukajipitia zako tu kuliko kupotosha au kukejeli au kuibua mada tofauti na iliyo ulizwa!
 
Back
Top Bottom