kwa wanawake je umeshawahi mtamani mwanaume kimapenzi kumtamani tu na sio kumpenda

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
hii dhana ipo kwa wanaume kuwa unakuta unamtamani mwanamke yaani unataka kumvua chu...i tu halafu basi
sasa je kwa upande wetu wa wanawake je mna hii hali ya kukutana na mwanaume halafu unataka umvulie chi...i akunanihii halafu basi with no malipo, nothing
kama umewahi tupe experiencenyako ilikuwaje na hali hii ikikutokea inakuwaje.?
 
mmh, kuvuliwa kyupi tu? Njawahi

wewe kwnza ni his au her maana hueleweki kwa kwa kwa kwa
najua mnajutana na vidume macho yanawashuka na kuanza utamuanzaje ika ndio hivyo tu utaanzaje
 
nshawahi , it was funny....
hii dhana ipo kwa wanaume kuwa unakuta unamtamani mwanamke yaani unataka kumvua chu...i tu halafu basi
sasa je kwa upande wetu wa wanawake je mna hii hali ya kukutana na mwanaume halafu unataka umvulie chi...i akunanihii halafu basi with no malipo, nothing
kama umewahi tupe experiencenyako ilikuwaje na hali hii ikikutokea inakuwaje.?
 
Kutamani ku-do naye bila kumpenda hiyo ni ngumu. Ila kumtamani mtu unayempenda nimewahi. Nafikiri wanawake hupenda kwanza kabla ya kutamani tofauti na wanaume.
 
nshawahi , it was funny....

na kyupi kikavuliwa .....
hatutaki experience yako ya kuvua hiko kyupi...
hebu niambie huyo mtu alikuwa wa namna gani na kipi kilichokuvutia ukampenda ghafla bin vu
 
mi nilitamani kwa macho na nikala kwa macho sikuvua pichu,we karne hii siyo ya kuvua pichu ovyo patakua bwawa bure wengine wana machine za kuulia jambazi si mchezo yanini kutoka jasho wakati kuna full Air Condition.
 
sasa hizo mashine si ndio habari ya mjini nasikia au mimi dunia niishiyo mimi ni ipi?
 
Kutamani ku-do naye bila kumpenda hiyo ni ngumu. Ila kumtamani mtu unayempenda nimewahi. Nafikiri wanawake hupenda kwanza kabla ya kutamani tofauti na wanaume.

i think wewe unayoiongelea hapa ni love at the first sight wataalamu wa lugha watanisahihisha
 
mmh mie wa kijijini siyawezi nimewaachia wao waende na wakati mi kinyonga ntafika tu ingawa kwa kuchelewa
 
the guy was hot meen...yani ma6 pack, na maexternal features ya ukwee, afu kichwani pia alikuwa nondo kwenye presentation in short alinizidi upeo...nikasema dah haiwezekani huu utukufu nisiushuhudie basi taratataaah...kitu na box
na kyupi kikavuliwa .....
hatutaki experience yako ya kuvua hiko kyupi...
hebu niambie huyo mtu alikuwa wa namna gani na kipi kilichokuvutia ukampenda ghafla bin vu
 
Sijawahi, ila kwa wanawake ni tofauti maana hadi kufikia hatua ya kumtamani mwanaume akuvue chup, unakua umeshampenda kwa kiasi fulani.
 
kwani hata kama uliwahi utasema huku?
 
the guy was hot meen...yani ma6 pack, na maexternal features ya ukwee, afu kichwani pia alikuwa nondo kwenye presentation in short alinizidi upeo...nikasema dah haiwezekani huu utukufu nisiushuhudie basi taratataaah...kitu na box

kwa haraka haraka hiyo ilikukuta ukiwa chuoni
 
Back
Top Bottom