Hii nawausia wanaume wanaotumia muda mwingi kusogoa na kuongea na akina mama/dada hasa maofisini nk huo ni umama....mara nyingi huwa na nyie mnageuka kuwa na tabia za kimama kwani lazima mtaongea umbea umbea tu tena mbaya zaidi lazima hao wanawake watawachomekea stori za mabwana/waume zao na nyie mnachangia bila aibu.
Kumbukeni kiutalaam mwanamke anaongea maneno takriban 20,000 na mwanaume maneno 7,000 kwa siku hivyo ukitumia muda mwingi na mwanamke kusogoa lazima utavuka maneno 7,000 baada ya hapo utaanza kuongea umbea na ndiyo umama wenyewe jiangalieni ndugu zangu.
Mfano kuna jamaa wapo ofisi moja na wife, sometimes nikiazima gari lake nikawa kwenye mishe zangu au chobingo..wakikutana ofisini lazima watamwambia " tumeona gari lako chobingo flani" yeye anawaambia yule alikuwa ni Mr na yeye akirudi home lazima ataniambia tu tena kwa kunitajia jina la jamaa aliyempa umbea ambaye pia nakuwa namfahamu kama mshkaji .
Kuna mwingine mke wangu alikuwa akimhadithia kuhusu michepuko yangu, jamaa akiwa serious akamshauri mke wangu naye achepuke, wife akaja kunihadithia kila kitu...jamaa mpaka leo namuona pumbavu kabisa ingawa naye anajifanya mshkaji ndugu zangu acheni huu umama..tafuteni cha kufanya