Kwa wanaume waliooa tupe kero au usumbufu ulioupata hadi kufanikiwa kumpata huyo mkeo

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
29,664
2,000
Kwa wanaume waliooa tupe kero au usumbufu ulioupata hadi kufanikiwa kumpata huyo mkeo.

Kuna wengine hadi walikaribia kufirisika wengine ushindani ulikuwa mkali nk.

Tupe uzoefu wako
 

Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
9,730
2,000
Hii mada ilitakiwa iletwe na watoto wa 20's!! Sasa mtu mzima kama wewe unakuja na mada ya kitoto hivi! Tatizo ni nini hasa? Unataka kuniambia mpaka muda huu bado tu hujaoa/hujaolewa? 😇
 

ni ngumu

JF-Expert Member
Sep 25, 2016
4,140
2,000
Mi sikupata usumbufu mkubwa

Simu namuona tu nakumbuka nilikuwa nina wanwake wengiiii hlf nikamuona nikajisemea mwanamke km huyu nikiwa nae nitaacha kuwa na mambo mengi..

Shida niliyopata alipewa mkanda mzima wa tabia zangu tukawa wapenzi huku akijua nina mambo mengi ila nikaanza kupunguza taratibu taratibu...

Sa nyingine mwanamke unayemtaka kudumu nae kwenye mahusiano unaweza mjua mapema sana...

Kuhusu kuhonga na kutoa vocha mi uwaga simuendekezi mwanamke nitampa nikiwa nacho km sina namwambia sina hataki basi kuanza kumuaninisha mwanamke wewe ni mwamba wakati sio nikuvutia wanawake ambao sio sahihi.

Ila kipindi kile nilikuwa na deal z hela sana asubuhi hadi saa 6 mchana nina 200k-300k kwa week mara 4 hadi 5nashika hiyo pesa sasa sababu nilikuwa na mpenda na nilimtongoza mwenyewe maana mimi nae nina uvivu w akutongoza wanawake hovyo ila huyu kwa akili zangu mwenyewe nilimtongoza basi tulikula bata kiasi chake..

Nikaona tumepitia vipindi vingi tofauti hlf tabia yake kai-maintain haibadiliki badiliki basi nikajisemea bora huyu ninaemjua kwa miaka mingi kuliko kuoa mwanamke wa kumkurupukia...

Maana changamoto tunazipata vijana siku hizi ni kuruka mkojo na kukanyaga kinyesi.
 

to yeye

JF-Expert Member
May 30, 2016
4,756
2,000
Mi nilipata shida sana kupata mwanaume huyu,Mara nioge Mara kwa Mara ,nipake lipstick, nijipitishe pitishe..nivae nguo za mtego ili mradi aone msambwanda..nijikalishe vibaya mbele yake tukiwa tunapiga story ili mradi tu aone kitumbua kilivyojaa ndani ya ဇhupi.Kuregeza jicho kwa sana kumbe mwenzangu anaona nimezidiwa na unywaji tu.Chakujitesea nini,siku nikamchana makavu"oya,ivi huoni kwamba nakuhitaji" akajibu naona ila hamkawii kubadilika tukiwafuata so nilikuwa nasikilizia.NDO NAISHI NAE
 

Ruwamangi

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
305
500
Hii mada ilitakiwa iletwe na watoto wa 20's!! Sasa mtu mzima kama wewe unakuja na mada ya kitoto hivi! Tatizo ni nini hasa? Unataka kuniambia mpaka muda huu bado tu hujaoa/hujaolewa?
Huyu siasa za Lumumba zilimchelewesha alikuwa anakesha Mitandaoni kumtukana Ngoyai
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom