Kwa wanaume tu (vichwa vya familia)

1.Kuishi na mwanamke anaejenga ki sirisiri kwao huku mi najiachia kwenye kila kitu au anaishi na mimi huku anapata maelekezo ya kise.nge kutoka kwa wazazi au ndugu
2.Mwanamke anaetaka kuwa mwanaume yaani nae anafoka au anakuwa anataka anidrive aisee yaani atajamba cheche kwangu.
 
Hayo masharti peleka huko kwenu group la watsapp...nimeona nami nichangie TU
Oooh thank you darling, nikiri tu hii mada ni nzuri sana ila kukomalia wanaume tu eti hataki wanawake kwenye mada yake, inaleta maswali mengi,
1 Je anataka kuchat na wanaume tu?
2 Kuja kwetu hapa tutamzibia kitu gani hasa?
3 Anatafuta attention kwa lazima maana yeye anachangia ila sie ndo tuishie kutazama tu?

Ni heri angeunda kakikundi na members wake wakawa me tupu yeye akawa muongozaji, aache tabia za ubinafsi uliopitiliza

Mada nzuri mno Kuna mengi ya kujifunza ila kutuwekea mipaka eti tusichangie Ni mavi ya kuku, maana kinachoongelewa hapa kinahusu wanawake
 
mimi kwanza ,wote na mke wangu tunajua kuendesha gari . sasa nikiwa naendesha mimi full kuelekezwa punguza mwendo ,unamwona huyo ,traffic wale ,hajakugusa huyo bodaboda, usi overtake hapo,
Ha ha ha mmmnh mnakuaga na speed nyie
 
mimi kwanza ,wote na mke wangu tunajua kuendesha gari . sasa nikiwa naendesha mimi full kuelekezwa punguza mwendo ,unamwona huyo ,traffic wale ,hajakugusa huyo bodaboda, usi overtake hapo,
Alafu ukute wewe ndio umemfundisha kuendesha gari aisee. Anakuelekeza wakati wewe ndio uliemfundisha. Me nikitoka nae namwambia endesha tu wewe au kaa kimya
 
Oooh thank you darling, nikiri tu hii mada ni nzuri sana ila kukomalia wanaume tu eti hataki wanawake kwenye mada yake, inaleta maswali mengi,
1 Je anataka kuchat na wanaume tu?
2 Kuja kwetu hapa tutamzibia kitu gani hasa?
3 Anatafuta attention kwa lazima maana yeye anachangia ila sie ndo tuishie kutazama tu?

Ni heri angeunda kakikundi na members wake wakawa me tupu yeye akawa muongozaji, aache tabia za ubinafsi uliopitiliza

Mada nzuri mno Kuna mengi ya kujifunza ila kutuwekea mipaka eti tusichangie Ni mavi ya kuku, maana kinachoongelewa hapa kinahusu wanawake

Oooh thank you darling, nikiri tu hii mada ni nzuri sana ila kukomalia wanaume tu eti hataki wanawake kwenye mada yake, inaleta maswali mengi,
1 Je anataka kuchat na wanaume tu?
2 Kuja kwetu hapa tutamzibia kitu gani hasa?
3 Anatafuta attention kwa lazima maana yeye anachangia ila sie ndo tuishie kutazama tu?

Ni heri angeunda kakikundi na members wake wakawa me tupu yeye akawa muongozaji, aache tabia za ubinafsi uliopitiliza

Mada nzuri mno Kuna mengi ya kujifunza ila kutuwekea mipaka eti tusichangie Ni mavi ya kuku, maana kinachoongelewa hapa kinahusu wanawake
Comment kama hizi zinawakatisha tamaa wanaume. Umeona kabisa kwenye thread yangu nimeandika kupata comment za wanaume ili baadae nizicompile nipate cha kudiscuss na wanawake.
 
1. U slay queen mwingi! mke wa mtu kua na mambo ya kislay queen sana ni ujinga!maliza kwanza huo ujinga then uolewe
2. Kutojishusha. Mwanamke unataka kua juu mda wote, hata kama umekosea bado unakua mbishi na hutaki kujishusha, stupid
3.kutojali kipato cha mume, yeye anayohitaji lazima apate, asipopata ni vita
4 . Kutopenda ndugu wa mume, wakija nyumbani basi full makasiriko na kununa
 
Salut kwenu vichwa vya familia (Wanaume),

Napenda kutoa shukurani zangu za dhati kutoka katika kilindi cha moyo wangu. Nimefurahi sana, uzi huu umeitikiwa kwa kishindo. Mungu awabariki sana.

Asante kwenu wote mlio na msiochangia mada hii, maoni ya wachache yamewakilishwa vyema.

Maoni yamepokelewa, nayachambua ili niyawakilishe kwa wanawake wenzangu, kama nilivyoahidi hapo awali. Nashukuru, maoni yenu yamenibadilisha kwa namna moja, kuna makosa nimekuwa nikifanya bila kujua kama namkera mwenza wangu/boyfriend/mchepuko nk.

Nina ka jambo kangu na vichwa vya familia/wanaume, nitakuja hapa muda si mrefu kukawakilisha.

Kaeni mkao wa kula. Msichoke/msikate tamaa kutukosoa pale inapobidi.

Asante sana.

Wasalaam

Carol.
 
Tabia yakjlazimisha makosa kwa hisia bila ushahidi na kutaka mwanaume akubali.

Kununa bila kuelezea ulichokosewa na unapoulizwa kuna tatizo gani unadai upo sawa tuu

Ugomvi usiokua na sababu za maana au kurushiana maneno na majirani wenzako.

kwa vile ni tatu tuu acha niishie hapa kwenye hizi ndogo ndogo... ila tambua kuwa mwanaume hawezi kumuacha mwanamke kwa kosa la siku waliyokosana bali ni kwa kosa linalojirudia rudia na mengi aliyokua kaamua kuyasamehe huwa yanajijumlisha ndipo maamuzi magumu hutokea.
 
Back
Top Bottom