Kwa Wanaume tu: Tunapoamua Kujenga Nyumba Ndogo

Mimi ODM ako hapa. Mmesharizika na kuelewana kuhusu huu mjadala pendwa?........ SL nakudai ujue? Haya ukuje huku tupate lunch wakati natafakari mustakabali wa nyumba ndogo yangu.
Bado hatujaelewana...iweje shankupe aitwe nyumba ndogo?...tupe jibu babu yetu mpendwa!..
 
Hommie, SL ananilisha maneno, mie hajawahi tamka hiyo maneno. Sikumbuki kaa nlishawahi imba taarab bana....
Hahahaha! Unavyonichekesha kwa sauti wakati nipo ofisini, nikifukuzwa kazi nakuja kuwa nyumba ndogo yako!..lol
 
Hiyo haiwezi kuwa name calling? Lemme check with PAW........

Kwani hommie hilo jina la nani..

Hii hoja ya SL ya mashankupe inahusu sana apa,,,,ebu tuambie vizuri inakuwaje
 
sasa binti mkubwa kabisa utasemaje anachezewa? Wakati anachezewa yeye anakuwa anafanya nini sasa!

ivi eeh? tatizo wewe bado mdogo bado kuelewa...last time nimecheki na shangaziyo, umri wako ni 17.5...bado kidooogo
 
Back
Top Bottom