Kwa wanaume tu-Ingawa ni SMS lakini imenigusa!

leipzig

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
2,767
1,703
Jamaa alikuwa anasafiri kwenda ulaya akamwambia dereva wake ampeleke JKI airport, akiwa njiani maeneo ya TAZARA akakumbuka kuna document ameisahau nyumbani akaamuru dereva ageuze gari. Alipofika nyumbani Mbezi Beach akamkuta mkewe akiwa bafuni akioga akamnyemelea na kumshika kiuno, mkewe akiwa na mapovu usoni akalitaja jina la dereva wao Jabir na kusema "Umeshamfikisha yule mse...e airport mara hii? acha nikuoshee mashine yako hii utaifaidi mwezi mzima" Ungekuwa ndio wewe ungefanya nini?
 
mbona ya kawaida tu hayo..
 
Mimi ni mkiristo lakini ningempa talaka fasta kama jamaa zangu waislamu wanavyotoa talaka.
 
nimetoka huko kwenye forum ya mabomu ya arusha nikajua labda kuna jipya humu kumbe ni yaleyale mamaseji ya kijinga ya kwenye simu ?
 
Jamaa alikuwa anasafiri kwenda ulaya akamwambia dereva wake ampeleke JKI airport, akiwa njiani maeneo ya TAZARA akakumbuka kuna document ameisahau nyumbani akaamuru dereva ageuze gari. Alipofika nyumbani Mbezi Beach akamkuta mkewe akiwa bafuni akioga akamnyemelea na kumshika kiuno, mkewe akiwa na mapovu usoni akalitaja jina la dereva wao Jabir na kusema "Umeshamfikisha yule mse...e airport mara hii? acha nikuoshee mashine yako hii utaifaidi mwezi mzima" Ungekuwa ndio wewe ungefanya nini?
Hapo lazima dreva apoteze kazi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom