Kwa wanaume tu, hivi utakapo gundua House Girl wako

kwamtoro

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
4,922
3,234
Anazo sifa ambazo kamzidi mke wako kwa mbali. Ukianzia Upeo wake wa kimaisha wa kawaida, ustarabu wake na hasa ana vitu ambavyo ulikuwa una wish mke wako awe navyo vipo kwake. Na mda mwingine akiongea tu kikawaida inakuwa ni ushauri kwako na unapata maendeleo through maongezi yake.

Je utaweza kushirikiana na mke wako even kumpa bonus end of the year, mkaafikiana. Ukizingatia Wanawake wenge walio kwenye ndoa Mahouse Gilrs wamekuwa miiba michungu. Mpaka kufikia husaili mkubwa wa kumpata house gilrs ni ubaya wake (Asiwe na Mvuto)

Mmmh subiri akina Mama waje sie akina baba hatuna tatizo bhana. Hata wakitaka 13th month salary tutawapa
 
Anazo sifa ambazo kamzidi mke wako kwa mbali. Ukianzia Upeo wake wa kimaisha wa kawaida, ustarabu wake na hasa ana vitu ambavyo ulikuwa una wish mke wako awe navyo vipo kwake. Na mda mwingine akiongea tu kikawaida inakuwa ni ushauri kwako na unapata maendeleo through maongezi yake.

Je utaweza kushirikiana na mke wako even kumpa bonus end of the year, mkaafikiana. Ukizingatia Wanawake wenge walio kwenye ndoa Mahouse Gilrs wamekuwa miiba michungu. Mpaka kufikia husaili mkubwa wa kumpata house gilrs ni ubaya wake (Asiwe na Mvuto)

Kama unampenda kwa dhati mkeo naye pia anakupenda kwa dhati sioni tatizo la kumpa bonus end of yr huyo beki tatu but ni lazima mkubaliane na kuwe na sababu ya kufanya hivyo na ikiwezekana initiator wa hiyo idea awe mama not you/baba.Idea hii ikitoka kwako wewe/baba moja kwa moja itamfanya huyo mama awe na doubt na concern yako kwa beki tatu.Mengine watachangia wanajamvi wengine.
 
Ma - HG wa siku hizi ni balaa.......! usije ukalogwa eti kupata ushari kwake utajikuta ktkt ya mapj yake .............!:madgrin::madgrin:
Na HG wa siku hizi ni wa kisasa kweli kweli....!
Kuna jamaa yangu kule Arusha pale karibia na AICC club kuna makazi ya watu maghorofa flani hivi..........!
Jamaa pamoja na heshima zake alifukuzia kademu akifikiri ni kabinti ka mshua mmojawapo anayeishi hapo......!
Jamaa kafanikiwa kakacharaza eeeh bhana eee kumbe ni Ka- HG na jamaa anamke nyumbani tena bhomba tu.....!
Chezeiaya ma-HG wa enzi hizi usipime...................!:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
Housegel wako ana upeo mkubwa kuliko mkeo? Linanipa shida kidogo hili nalo ...!!! Maana kuna kila dalili ya mapinduzi kufanyika ndani ya nyumba!
Afu kitu cha kutazama hapo, anamsifia house maid kuliko wife wake...hapo sidhani kama ndoa haiko hatarini :biggrin1:
 
Afu kitu cha kutazama hapo, anamsifia house maid kuliko wife wake...hapo sidhani kama ndoa haiko hatarini :biggrin1:

... na hasa ana vitu ambavyo ulikuwa una wish mke wako awe navyo vipo kwake.

fazaa Na hii sentensi yake ya hapa juu ndiyo ilinitisha zaidi, yaani vitu ambavyo alikuwa ana wish mke wake awe navyo ndivyo housegel anavyo!!!
Labda ampe bonus huyo housegel na kumtimua kabisa kuokoa ndoa yake kama upendo kwa mkewe bado upo!!!
 
Last edited by a moderator:
Kwani tattizo liko wapi kumpa bonus HG hata kama wazo litatoka kwa Mume? Mwisho wa kufikiri kwako, Ndio mwanzo wa matatizo yako!!
 
Nikigundua hilo nampa stahili zake zote then namrudisha kwao nisije pitiwa na shetani nikamkubli KUPITILIZA
 
HG wa sik u hizi wanakuja na mission kabisa-kufanya mapinduzi!! Watu kibao wameshafukuza wake na kuwaoa maHG. In fact sio kitu cha ajabu kabisa siku za leo mijini. By the way, wanaume tunapenda kupata service, so ukiwa na mtu anakufulia, kupikia anatunza watoto wako vizuri autimatcally utampenda tu kama mtu (social being). Sasa usipokuwa na mipaka unaanza kumwangalia kama another woman na matamanio yanaanzia hapo. Kabla hujashtuka uko nae chumbani kwenye 6*6. Ole wako mkeo awe amesafiri muda mrefu!! hatari tupu. Honestly, kuna Mabinti wa kazi wana sura nzuri, umbo zuri na tabia nzuri hata kuliko wake zetu lakini lazima ukumbuke kwamba yeye ni HG tu na atabaki kuwa kama mwanao pale nyumbani. Treat her as such nawe utapata heshima!! Je, unaweza kumtia mwanao hata kama ni mzuri kuliko mkeo? Exercise self control. Ukishaanza kulala na wanawake hovyo hovyo eti kwa vile ni cheap sex na ni warembo basi nawe unakuwa mtu mzima hovyo!!

Ushauri kuhusu bonus kwa HG umeshatolewa nami nisisitize kwamba mshirikishe mkeo na yeye ndio atoe hiyo bonus sio ionekane kana kwamba imetoka kwako!! period!!
 
Kwanza baba/Kijana mwenye mke wako kwa nini uwe karibu na housegirl mpaka ugundue strengthand weakness zake?
Hapo kuanza tu kumwangalia housegirl wako kwa jicho la tatu tayari shetani ameshakushinda so yafuatayo ni matokeo.
 
Ma - HG wa siku hizi ni balaa.......! usije ukalogwa eti kupata ushari kwake utajikuta ktkt ya mapj yake .............!:madgrin::madgrin:
Na HG wa siku hizi ni wa kisasa kweli kweli....!
Kuna jamaa yangu kule Arusha pale karibia na AICC club kuna makazi ya watu maghorofa flani hivi..........!
Jamaa pamoja na heshima zake alifukuzia kademu akifikiri ni kabinti ka mshua mmojawapo anayeishi hapo......!
Jamaa kafanikiwa kakacharaza eeeh bhana eee kumbe ni Ka- HG na jamaa anamke nyumbani tena bhomba tu.....!
Chezeiaya ma-HG wa enzi hizi usipime...................!:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:

Hizi dharau mtaacha lini? Kwani HG ni mwanamke waajabu sana au ni wabaya sana? Maana mtu kufanya mapenzi na hg inaonekana jambo baya.
Tambua wao ni wanawake kama mkeo, dada zako, shangazi zako, mama zako Hivyo basi wana haki kupendwa, kuolewa, kutongozwa na kufanya mapenzi kama wanawake wengine duniani.
Kuzaliwa familia duni au bora hakuondoi utu wa mtu
 
Anazo sifa ambazo kamzidi mke wako kwa mbali. Ukianzia Upeo wake wa kimaisha wa kawaida, ustarabu wake na hasa ana vitu ambavyo ulikuwa una wish mke wako awe navyo vipo kwake. Na mda mwingine akiongea tu kikawaida inakuwa ni ushauri kwako na unapata maendeleo through maongezi yake.

Je utaweza kushirikiana na mke wako even kumpa bonus end of the year, mkaafikiana. Ukizingatia Wanawake wenge walio kwenye ndoa Mahouse Gilrs wamekuwa miiba michungu. Mpaka kufikia husaili mkubwa wa kumpata house gilrs ni ubaya wake (Asiwe na Mvuto)

mimi ni muumini mzuri wa dialogue na ninaamini nitaweza kuongea na mke wangu nikambadilisha na akawa the best zaidi ya huyo bk3 au mwanamke mwingine yoyote.......
 
kama uliwahi kua na uhusiano wa kimapenzi na house girl ukiwa mdogo ni ngumu sana kuacha na hata wafanya kazi wenzako utakua unatembea nao na hautaweza kusimamia kazi vizuri ukiwa bosi without prejudice
 
Mbona hilo limeshakuwa janga la Taifa. Ukizingatia vijana wengi wamejifunzia kamchezo kwa mabeki 3, na leo hii ndio waume za watu, mabosi ofisini. Au ni sawa na msemo wa Mwalimu Nyerere, ukila nyama ya mtu uwezi kuacha
 
Hizo ni tamaa za mwili, hakuna anayeweza kumzidi mke wako ndio maana ukaamua kumuoa. Nikuibie siri mdogo wangu mkeo ni huyohuyo hakuna mbadala. mtetee kwa hali na mali, kwa nguvu zote na hakikisha kuwa yeye ndio mzuri kuliko wanawake wote kwa kila kitu na msifie kwa watu wote. Utamuona hivyo na ndoa itakuwa nzuri yenye raha. KAMA HUAMINI MUACHIE MKEO MWANAUME MWINGINE HATA KWA DAKIKA CHACHE uone roho itakavyokuuma kuliko huyo housegirl. Wasalaam!!
 
Kaka kemea pepo la tamaa la ngono linakunyemelea.mpende mkeo kama ndio siku za mwanzo za ndoa yenu,mjali,mtoe out ,mfundishe mapenzi kama unaona kuna mapungufu,mrekebishe kwa upole anapokosea.sidhani kama unampenda kwa dhati mkeo utamwazia mwanamke mwingine.
 
Unajua mapenzi yapo tuu huwezi kumpenda mtu na kumuoa bila kuwa na vitu vinavyo kuvutia kwake huyo Hg naye nibinadamu so uzuri wake hauto nipa shida coz nitakuwa sijampenda wala sifa za mke wangu hato kuwa nazo so atabaki kuwa HG siku zote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom