Mjamaa1
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 7,294
- 5,464
JE WANAWAKE WANATAKA PESA?
Nawasalimu nyote, bila shaka mu wazima ndugu zangu. Tusichoshane naenda Moja kwa moja kwenye mada.
Je, ni kweli wanawake wanahitaji pesa? Kila mmoja anaweza kuwa na majibu yake kichwani kwake, lakini mimi nitajibu kupitia wanachokisema wanasaikolojia katika vitabu vyao.
Moja kati ya mahitaji ya mwanamke ni pamoja na kuwa huru kiuchumi na hasa katika mahitaji yake muhimu (to feel materially provided for).
Dhana hii inaweza kukufanya uhisi kuwa wanawake wote ni gold diggers, lakini kama mwanamke atatumia Pesa yako kuwalea wanao na kuhudumia familia kwa ujumla basi anafanya vema na hatuwezi kumuita gold digger, ila kama atatumia pesa yako kwa ajili ya mambo yake binafsi basi huyo ni gold digger.
Kwa hiyo sio wanawake wote ni gold diggers japo wote wanahitaji pesa yako.
So my advice for You guys ni tutafute njia ya kutafuta pesa ndugu zangu, nasema find a way to earn much more than your family needs but stay in charge of your finances.
Don't let your woman control your money, that's just asking for trouble.
Regards.