Kwa wanaume; naomba ufanye jaribio hili asubuhi hii...

Hi Lizzy... You are looking cute today...
 
dah! leo imukula kwenu kaka zetu,
Majibu mtakayopewa njoo mtujuze ila leo naona kama mtaambulia madongo
 
Wanaume bwana HALAFU HUWA MNAJIFANYA WAJANJA NA WAJUAJI KUMBE KILA WAKATI MWAWAZA wnawake Kumbe ninyinni tegemezi saana kwa wanawake kwa upande wa kupozwa mioyo ,JAPO MUWASEMESHE WANAWAKE ndio muendelee na maisha . Hivi siku ikitokea dunia ikapigwa mstari na kuwekwa kizuizi wanwake kwao na wnaume kwao wachokozi kama nyie mtafanyaje?,maisha kweli yataendelea vyema kwa upande wenu?
AD hawa kaka zetu ,mashemeji ,waume zetu naona kila kukicha wanatafuta mbinu za kutongoza ha ha
 
Kimey mambo vipi?Asante mama mchungaji alinishonea kwa Kuwa mwanakwayA bora.. mmhh
Mambo poa AD, hahaha kweli mama mchungaji ni designer mzuri, ngoja nitete nae anitengenezee batiki na mimi nisifiwe bana!
Mzima lakini wewe?
 
Naona mmekuja kwa kasi kutaka kutupoteza kwenye zoezi letu. Mkuu Tuko usijali, tuko pamoja na tunaendelea na zoezi na matokeo utayapata baadaye
 
Aisee, mimi nimefanya hii kabla ya kusoma hata hii post. Kuna binti..ni mdogo kwangu kiumri leo kaja kapiga kiofisi kweli kweli..kapendeza cha-maukwelii, nimemwambia kaepndeza akabaki kujichekesha na smile ambalo nimeliapproximate kuwa abt 2minutes long.
sasa amejipitisha hapa kwangu mara mbili tayari anasmile tu!
 
Hivi wote wanaochangia hii post ni wanaume? Kuna baadhi ya wanaume wanatumia majina na avatar za kike?
 
Mambo poa AD, hahaha kweli mama mchungaji ni designer mzuri, ngoja nitete nae anitengenezee batiki na mimi nisifiwe bana!Mzima lakini wewe?
Amen..Hahaha lolTena anajua kushona kama zileZa ki Nigeria .... lakini unatakiwa u exchangeCounter ya juu na kanissa.. hahahaha lolMi mzima kabisa dearNaona umepotea kidogo humu ndani.. maisha yanasemaje???
 
jamaa umeniponza nimemwambia bosi wangu kumbe ameshasoma hii.
kasheshe ilyo hapa sijui nitaimalizaje? nipe mbinu.
 
Back
Top Bottom