Kwa Wanaume mliowahi kutongozwa


Lovely mum

Lovely mum

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2017
Messages
7,031
Likes
9,373
Points
280
Lovely mum

Lovely mum

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2017
7,031 9,373 280
Mimi nilitongozwa mkuu na mwanamke mmoja wa huko Tunduma lakini chakushangaza akaanza kutaka niwe namuhudumia kifudha,, hapo sasa sikuelewa maana ya kunitongoza
Kwahiyo anaetongoza ndiye anaye paswa kutoa huduma??
 
kisu cha ngariba

kisu cha ngariba

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2016
Messages
22,211
Likes
48,008
Points
280
kisu cha ngariba

kisu cha ngariba

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2016
22,211 48,008 280
Mm last two weeks imenitokea hii
Mtoto kaniita dina ***** zake kama anaita dem vile, tukakubaliana tukutane mlimani city mwanaume nikabeba mpunga ile kujihami. Kufika mtoto baada ya salaam nn eti ananiambia niagize chochote daa nikaona huyyu manzi vp anataka kunichezea mchezo gani Leo....
Mwanaume kwa kuogopa kujikomoa nikaagiza coke bariiidi demu kuona ivyo akanambia acha ufala ww najua unakunywaga Heineken Akaita mbili yeye savanna duuh....!!! Nikasema duh Leo ntapukutwa hadi mapum.bu........manake hapo ni baada ya kupiga mishakaki hevyy weight

Sasa balaa likafika Mda wa mtongozo..... Ah yule dem anamistari Sijawai onaa akawa anaongea huku ananipapasa mkono mara ainue mguu chini ya meza aguseguse dushe Ili mradi kutiana nyegezi, basi Mtoto kashuka mistari duh hadi nikaanza kuona aibu mwanaume teh teh teh sio kwa mtongozo ule sio poa

Muda wa Bill sasa muudum kaja kaleta bill ***** nikasema leo nakumbuka mana ilizidi akiba ya serikali kuu, hee mara dem akaipora ile bill akasema hainihusu Mtoto akailipia tukakaaa midamida tukasepa zetu

Sasa kilichoendelea huko Nafkiria hakiwahusu
Alikuomba game?
 
Lovely mum

Lovely mum

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2017
Messages
7,031
Likes
9,373
Points
280
Lovely mum

Lovely mum

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2017
7,031 9,373 280
Hivi niliwahi kutongozaa embu nikumbuke.???Aaah nimekumbuka Kuna jamaa niliwahi kumtongoza wa huku jf nakaingia pm nikatuma namba faster faster,
Nakaomba picha kupitia whatsap nikapewa siku yakukutana Siwezi kusahau ...

Mkaka alikuwa mzuriii .....alikuwa mzuri kuazia akili hadi suraaaaa

Na hadi Leo nipo nae mbona hajanihisi kicheche??? Na ananihudumia kiasi chakee

Kauli hazmbadili mtu tabia ila matendo yako ndiyo yanaonesha wew ni mtu wa aina gani ...
Love you G wangu forever !!!
 
msuyaeric

msuyaeric

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2014
Messages
271
Likes
148
Points
60
msuyaeric

msuyaeric

JF-Expert Member
Joined Dec 18, 2014
271 148 60
Mimi nimetongozwa nipo chuo aisee demu akikupenda mbona raha.. nakumbuka demu tulianza mazoea sababu mm nilikuwa ni PM so watu wengi awanijui kwa jina langu la darasan bac siku hiyo darasan nasikia mdada mmoja (ndo huyo demu) jaman namtafuta Eric PM ni yupi...

Kama unavyojua wenye vyeo chuo huwa tunajuana bac CR akamjibu wewe wa nini.. Akasema anashida na mimi.. kumbe alishasikiaga sifa za zangu sasa akawa ajui uyo PM ni nani.. basi bana CR akajakumuonyesha kuwa ni mimi uh aikupita week demu mala sms za uko wapi, nina shida (maana me ni PROGRAM MANAGER = PM) kwa hiyo vipindi vyote vya Tv vinapitia kwangu..

Bac tukaenda enda demu akatupa voko mwanagu muuni sababu nilikuwa na ukame kichizi ( ma PROGRAM MANAGER ni watu wa busy ) akaniita kwake ambako ni hostel.. nilifinya kwanza wali kachumbari, afu nikaklibishwa kitandani.. unajua demu akikupenda mwenyewe usifanye utani kwenye 6*6 bac nilimvuruga kisawa sawa.

Toka cku hiyo yaan kuanzia Lunch tukiwa chuo yeye ndo analipa cjui vocha sina yeye analipa yaan nisilie shida yeye analipa.. sasa kibaya zaidi yeye ni wa mikoan so wazazi wanatuma ela yeye ananipa mimi.. natamanigi kumwambia usinipe ila ndo hivyo mwepec kununa
 
N

Ndakilawe

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2011
Messages
4,419
Likes
1,878
Points
280
N

Ndakilawe

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2011
4,419 1,878 280
Dah, nimekumbuka 2014....

Nliingia duka ya jeshi pale Jitegemee Sec, nkanunua rice cooker... wakati natoka, navuka barabara kama kuelekea pale chuo cha Diplomasia, akaibuka dada mmoja, ana shonde la hatari, akaniambia kaka naomba nikusaidie mzigo wako..

bila ajizi nikampa rice cooker akanisaidia, tukavuka, ofc ilikuwa around pale, nikamwambie naingia ofcn hapa. Akaniambia mimi naenda kanisani. Nikashukuru , wakati naondoka akaniambia naomba namba yako ya simu best.... namba nikatoa..

Baasi baada ya hapo, jioni yake, akatumuma msg, aiseee best nimekuelewa sana, dah nikaona huyu manzi mbona mistari "kwenzi"?

Best naomba tuonane , nina maongezi na wewe, akaendelea kuchombeza..! Alikuwa anaishi Kijichi, mimi mitaa ya airport..

Nikampa mwaliko, huwezi amini, alikuja mpaka gheto.... doooh, lile shonde ilikuwa aibu barabarani.. ! Kafika kajieleza mwenyewe, unajua nina jamaa yangu, lakini hatueleweani, mara nimemealiza chuo natafuta kazi... story kibao...

nikaona isiwe tabu, nikanunua mazagazaga, akapika digo matata, tukala... but sikugonga (wakati anapika kuna time aliinama vibaya nikaona taulo la kike, ckujisumbua tena).. akasepa zake..

Story ikaishia hapo.... sitakagi ujinga kabisa, unakuja kwangu huku umevaa taulo ya kike.....
 
N

Ndakilawe

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2011
Messages
4,419
Likes
1,878
Points
280
N

Ndakilawe

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2011
4,419 1,878 280
Mimi nilipita pale Corner bar nikasikia dada mmoja ananiita mume wangu, mara mpenzi, mara baby, mwenzake akawa ananiita shemeji. Nilikimbia mbio nikaacha viatu,nahisi watakuwa sio binadamu wa kawaida wale.
ha a hha ah ha... mamammaamammae
 
tamuuuuu

tamuuuuu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Messages
11,105
Likes
8,102
Points
280
tamuuuuu

tamuuuuu

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2014
11,105 8,102 280
Me nimetongozwa na mademu tena sn tu.Halafu wamama na tuchipukizi wote huwa wananitamania.Nilipanga sehemu kuna mke wa mtu alinipenda mpaka kuchanganyikiwa.Mara dada yake akaja naye akanipenda balaa,anamuuliza mdogo wake et "haka Katoto kazur, kakikutia haka unapata utamu woote"
Aisee hatariiiiii
 

Forum statistics

Threads 1,238,925
Members 476,277
Posts 29,336,972