Kwa Wanaume mliowahi kutongozwa


espy

espy

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Messages
50,110
Likes
61,769
Points
280
espy

espy

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2013
50,110 61,769 280
Ngoja nikutongoze ili ujue kama tunakuwaga vicheche au la.
Kabla ya salam niseme hiki kitu hakijawahi kunitokea na siku ikatokea bidada ananipanga mistari na simu navunja
Nasikiaga wanakuwaga vicheche kinoma.

Wadau mnasemaje ushawahi kutongozwa na mdada/mmama.?
 
msabillah

msabillah

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Messages
2,138
Likes
978
Points
280
Age
31
msabillah

msabillah

JF-Expert Member
Joined Dec 5, 2011
2,138 978 280
Nakumbuka limama lakihaya, lilinipa lift from Kahama nashangaa likaanza kunipa misifa mbele ya mtoto wake maana lilikuwa linampeleka shule mtoto mkari ile mbaya.
Tumefika nzega likamuagiza mtoto wake akanunue asali likaniambia nilisubiri lirudi kutoka Arusha au niende nalo, Maana mimi nilikuwa naenda Tabora nikaliambia nitakushbiri ila nitaishije likazama kwa pochi likatoa kana 75 likaniambia utachagua kunisubiria ili uje kupata vingi zaidi au kuondoka ukijua umepata sana.
Nikampa namba za simu nayakwake nikachukua, mara katoto kakarudi nikawaaga, vile sipendagi masihara nilianguka nyuma ya stendi nikakwea haisi huyoo mboka Manyema. Nikabadiri na line ya simu.
Mpaka leo huwa najiuliza sijui mjinga ni nani?
 
JUAN MANUEL

JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Messages
1,171
Likes
1,102
Points
280
JUAN MANUEL

JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2010
1,171 1,102 280
Kabla ya salam niseme hiki kitu hakijawahi kunitokea na siku ikatokea bidada ananipanga mistari na simu navunja
Nasikiaga wanakuwaga vicheche kinoma.

Wadau mnasemaje ushawahi kutongozwa na mdada/mmama.?
Umenikumbusha Masasi ntwara,hapo niriimbishwa sana na totoz za kimakuwa
 
Mkwala

Mkwala

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2014
Messages
737
Likes
580
Points
180
Age
29
Mkwala

Mkwala

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2014
737 580 180
Mimi nakumbuka mmoja alipata namba yangu sijui wapi,kaanza kunisalimia.Mara siku hizi umebadili njia hauonekani,mara or napenda watu wapole kama wee apo.Nikamjibu Nipange basi ili nifix ratiba zangu.(kilichofuata kama mnavyojuaga watu wapole tulivyo).
 
SMART PASSENGER

SMART PASSENGER

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Messages
334
Likes
267
Points
80
SMART PASSENGER

SMART PASSENGER

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2018
334 267 80
Ndio more than 3 times mpaka hapa nilipofikia
 
Kizzy Wizzy

Kizzy Wizzy

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2013
Messages
1,878
Likes
530
Points
280
Kizzy Wizzy

Kizzy Wizzy

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2013
1,878 530 280
Maharage ya mbeya..siku ya Kwanza tu umelegea
We acha tu. Si unajua hakuna mkate mgumu mbele yya chai.

Hapo ndipo nilipoamini kweli Dada zatu mnapataga Wakati mgumu
 
Lyagwa

Lyagwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2013
Messages
1,585
Likes
284
Points
180
Lyagwa

Lyagwa

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2013
1,585 284 180
Kwamba wanawake tunaotongoza ni vicheche??? vibaya hivooo mkuu
mi mwanaume nikimuelewa namvaa tu kwani sh ngapi banaaCc Smart911
Ila nyie mpo wachache bila shaka, ni viumbe adimu. Wengi huwa wanakufa na tai zao shingoni
 
Kizzy Wizzy

Kizzy Wizzy

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2013
Messages
1,878
Likes
530
Points
280
Kizzy Wizzy

Kizzy Wizzy

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2013
1,878 530 280
I wanna be the driver of that mother ship .....

I would make sure no bad sense will happen to you my love
Just dare to give me your heart baby. I swear hutojuta.

Ndo nimeanza ivyyoo
 
No Escape

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Messages
5,108
Likes
5,094
Points
280
No Escape

No Escape

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2016
5,108 5,094 280
Hivi kumbe dili mi wakinitongoza najua utani?
 

Forum statistics

Threads 1,238,928
Members 476,277
Posts 29,337,099