Kwa Wanaume mliowahi kutongozwa

Kizzy Wizzy

Kizzy Wizzy

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2013
Messages
1,869
Likes
516
Points
280
Kizzy Wizzy

Kizzy Wizzy

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2013
1,869 516 280
Mm last two weeks imenitokea hii
Mtoto kaniita dina ***** zake kama anaita dem vile, tukakubaliana tukutane mlimani city mwanaume nikabeba mpunga ile kujihami. Kufika mtoto baada ya salaam nn eti ananiambia niagize chochote daa nikaona huyyu manzi vp anataka kunichezea mchezo gani Leo....
Mwanaume kwa kuogopa kujikomoa nikaagiza coke bariiidi demu kuona ivyo akanambia acha ufala ww najua unakunywaga Heineken Akaita mbili yeye savanna duuh....!!! Nikasema duh Leo ntapukutwa hadi mapum.bu........manake hapo ni baada ya kupiga mishakaki hevyy weight

Sasa balaa likafika Mda wa mtongozo..... Ah yule dem anamistari Sijawai onaa akawa anaongea huku ananipapasa mkono mara ainue mguu chini ya meza aguseguse dushe Ili mradi kutiana nyegezi, basi Mtoto kashuka mistari duh hadi nikaanza kuona aibu mwanaume teh teh teh sio kwa mtongozo ule sio poa

Muda wa Bill sasa muudum kaja kaleta bill ***** nikasema leo nakumbuka mana ilizidi akiba ya serikali kuu, hee mara dem akaipora ile bill akasema hainihusu Mtoto akailipia tukakaaa midamida tukasepa zetu

Sasa kilichoendelea huko Nafkiria hakiwahusu
 
mbongo_halisi

mbongo_halisi

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2010
Messages
4,016
Likes
2,287
Points
280
mbongo_halisi

mbongo_halisi

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2010
4,016 2,287 280
Kabla ya salam niseme hiki kitu hakijawahi kunitokea na siku ikatokea bidada ananipanga mistari na simu navunja
Nasikiaga wanakuwaga vicheche kinoma.

Wadau mnasemaje ushawahi kutongozwa na mdada/mmama.?

Mi sana tu haswa nikija huko Dar yaani ndiyo kabisa utafikiri nina sumaku ya kuwanasa kina Mama.
 
Noah de voxser

Noah de voxser

Member
Joined
Aug 14, 2017
Messages
86
Likes
65
Points
25
Noah de voxser

Noah de voxser

Member
Joined Aug 14, 2017
86 65 25
Mm last two weeks imenitokea hii
Mtoto kaniita dina ***** zake kama anaita dem vile, tukakubaliana tukutane mlimani city mwanaume nikabeba mpunga ile kujihami. Kufika mtoto baada ya salaam nn eti ananiambia niagize chochote daa nikaona huyyu manzi vp anataka kunichezea mchezo gani Leo....
Mwanaume kwa kuogopa kujikomoa nikaagiza coke bariiidi demu kuona ivyo akanambia acha ufala ww najua unakunywaga Heineken Akaita mbili yeye savanna duuh....!!! Nikasema duh Leo ntapukutwa hadi mapum.bu........manake hapo ni baada ya kupiga mishakaki hevyy weight

Sasa balaa likafika Mda wa mtongozo..... Ah yule dem anamistari Sijawai onaa akawa anaongea huku ananipapasa mkono mara ainue mguu chini ya meza aguseguse dushe Ili mradi kutiana nyegezi, basi Mtoto kashuka mistari duh hadi nikaanza kuona aibu mwanaume teh teh teh sio kwa mtongozo ule sio poa

Muda wa Bill sasa muudum kaja kaleta bill ***** nikasema leo nakumbuka mana ilizidi akiba ya serikali kuu, hee mara dem akaipora ile bill akasema hainihusu Mtoto akailipia tukakaaa midamida tukasepa zetu

Sasa kilichoendelea huko Nafkiria hakiwahusu
Mbona kama story
 
Benfamous

Benfamous

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2016
Messages
477
Likes
348
Points
80
Age
22
Benfamous

Benfamous

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2016
477 348 80

Hata kinga ukumbuki mkuu
 
Noel Ngiama Makanda

Noel Ngiama Makanda

Member
Joined
Oct 14, 2018
Messages
89
Likes
153
Points
40
Noel Ngiama Makanda

Noel Ngiama Makanda

Member
Joined Oct 14, 2018
89 153 40
Mimi nilipita pale Corner bar nikasikia dada mmoja ananiita mume wangu, mara mpenzi, mara baby, mwenzake akawa ananiita shemeji. Nilikimbia mbio nikaacha viatu,nahisi watakuwa sio binadamu wa kawaida wale.
 
titimunda

titimunda

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2014
Messages
6,894
Likes
8,046
Points
280
titimunda

titimunda

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2014
6,894 8,046 280
Inatokeaga ila tokea aingie magu hyo mambo kwangu imekata kabisa wakati zamani ilikuwa kila mwaka walau mara moja au mbili.

Kuna mmoja alinitokea nkakataa,then sku ya pili nikamuita nkamtongoza mimi,maana nliona kama dharau,mtoto wa kike kunipiga saundi.
 
Forum statistics

Threads 1,238,067
Members 475,830
Posts 29,310,672