Kwa Wanaume: Does Love in all ways means Sex?

mkuu nimezungumzia zaidi 'utamaduni'
wa wanaume ku initiate sex,au kukimbia after sex ya kwanza
nchi zingine huo utamaduni upo kwa wanawake pia..

Unaichukuliaje kwenye utamaduni wetu wa kibongo..
Coz kuna zile mtu kudai anampenda shori but akishapiga misele anasepa..
Actually nakubali pia inaaply in both sides..so, what is your opinion suppose this happens in bongo..
 
nope, kumpenda mtu sana si lazima kuwe linked na sexual performance... in fact, unaweza ukampenda mtu bila hata kuji-engage kwenye sex naye (this is true hasa kwenye miezi au hata miaka ya mwanzo ya mahusiano)

Yeeah understand what ur saying..
Let us say ndio mmevuka hiyo miezi ya mwanzo na mkaanza kudo..
Do you think in most cases kutakuwa na changes kwenye love after dating?
 
What does love mean to you?..
And what does sex mean to you?

'Compatibility' between individuals prompted by the chemistry between them means love to me. You find yourself loving a a person for no reason. I can define it as a blend of passionate desire complexed by personal attraction; and sex is just sex (jig jig).
 
'Compatibility' between individuals prompted by the chemistry between them means love to me. You find yourself loving a a person for no reason. I can define it as a blend of passionate desire complexed by personal attraction; and sex is just sex (jig jig).

In ur understanding u mean there is no link between love and sex?
 
Kuna tofauti kubwa kati ya kupenda na kutamani. Vyote hivi vinahusisha sex. Maisha ya sasa mahusiana ya jinsia mbili bila sex ni inevitable. Sasa basi, ukimlamba demu afu ukampotezea ujue hapakuwa na love bali kutamani. Ukipenda, hata ukimfumania utasamehe na kuendelea nae. Source: ODM.

Ixeeee! Hivi kumbe mkilamba mara 1 ndo ntoleee? Good to know
 
Back
Top Bottom