Mind Game
Member
- May 17, 2021
- 44
- 45
mwanamke akikaza matakro hapo kuboost mbona ndoa inasonga vizuri tu ukute na msambwandwa anao tena kwenye maisha halisi aisee kuachana ni ngumu.Nilipobold hapo nimeelewa tatizo huwa ninini, Competition! Kwamba akikulisha anaona anakumuduuu? Aisee sisi wanawake Mungu atusaidie sana. Sisi mbona tunalishwa/tunzwa maisha yetu yote? Binafsi mimi huwa pesa yangu naitoa mwenyewe na kuomba tuipangie matumizi sababu kila kitu kinakuwa sorted by him, na mimi sio mwanamke wa misaluni na kununua nunua mitrend, somehow i manage kutunza my money. Ila nimegundua kuwa fanya mazuri kwa mkeo/mumeo ukiwa vizuri siku mambo yakienda kombo akiamua kurudisha fadhila sawa, akikengeuka atakutana na rungu la KARMA.
Women, ngoja niwaambie kitu, kama mumeo akikwama sio lazima umlishe na kumtunza bali mwoneshe njia, mpe connection au mpe mtaji, Naelewa watu wanakuwa protective kwamba nikimfanyia hivi what if akija kuniumiza/kuniacha au kupata mchepuko, jamani do your part kuumizwa ni part ya maisha pia, iachie dunia itamfunza. Tusione ndoa za watu zimedumu miaka na miaka watu wameanguka na kunyanyuana mara nyingi sana, tena baadhi ya wanawake ni hodari kuingia bank au vikoba au mifuko ya kazini kuwakopea waume zao, hawawaambii siri hawa wenye ndoa zao stable, watajifanya my man this my man that kumbe kuna muda wanakaza matako wenyewe ili
kulinda familia hawatuambii ukweli, matokeo yake sisi wakwetu wakifeli tuko kuwanyanyasa na wenzetu wanatuchora tu!
Anyways, ngoja niache mahubiri ambayo ni impossible, people are so evil, Siku tukijua watu wanawaziana nini tutachanganyikiwa. Hata hivyo hakujawahi kuwa na baya katika kufanya mazuri.
I might fail in everything kwenye marriage ila sio kuacha kutoa support morally or materially. Kila mtu achague anachokiweza na akifanye kwa ufasaha. This is life!