Tatzo unakurupuka mi nimekuta mwenzangu wameanza muda saana ticha hajatoa mwongozo nikauelewa ww unakurupuka vp kk.kama hutaki acha ujalazimishwa.Upo chuo NTA level 4,hujui usome nini?.
Hujui hata vitabu rejea ulizoelekezwa na mwalimu wako??
Kwa mantiki hii na wewe utakuwa pharmaceutical personel?.
Onesha utofauti kati yako na ADDO.
Shame. Rudi kijijini ukaendelee kuchunga mbuzi. Kusoma kwako ni bahati mbaya
Hata kama ungewakuta wenzako wamesoma miezi 20 nyuma,hujui hata course outline???.Tatzo unakurupuka mi nimekuta mwenzangu wameanza muda saana ticha hajatoa mwongozo nikauelewa ww unakurupuka vp kk.kama hutaki acha ujalazimishwa.
Hiv unajuaje kitu bila kuuliza kwa wanaoelewa? Nakuja tuu then naelewa every thing? Samahan bro kama huwez kunisaidia Basi Kula kimya..maana unanilazimisha kitu ambacho siwez...hakuna anaeweza uelewa bila kuelekezwaHata kama ungewakuta wenzako wamesoma miezi 20 nyuma,hujui hata course outline???.
Course outline inaonesha kila kitu.
Hiki kizazi ni kiazi kabisa.
Pole, nitumie email yako inbox nikutumie miongozo niliyonayoNaomba msaada kwa Past papers na Jinsi ya kukabiliana na hii course ..haswa learning material nisaidieni wapi napata learning material na kama uwezekano upo naweza kulipia.niko level4
Naomba msaada kwa Past papers na Jinsi ya kukabiliana na hii course ..haswa learning material nisaidieni wapi napata learning material na kama uwezekano upo naweza kulipia.niko level4