Kwa wanaotaka kwenda jeshini kuna usaili unafanyika Morogoro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wanaotaka kwenda jeshini kuna usaili unafanyika Morogoro

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by YEYE, Mar 10, 2012.

 1. YEYE

  YEYE JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwa wale wanaopenda kwenda jeshini walioko Morogoro na maeneo ya jirani kuna usali unaendelea kwa sasa uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro.

  Hizi info nimetumiwa na jamaa yangu yupo eneo la tukio!
   
 2. k

  kev Senior Member

  #2
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bora umenipa taarifa.ngoja nifanye booking nashera hotel
   
 3. IzeGREAT

  IzeGREAT Member

  #3
  Mar 10, 2012
  Joined: Jan 15, 2009
  Messages: 61
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  ...am hapi2hear so,can U plz mail Me ur contacts in vagalrecurent@hotmail.com so zat I can conect U2smbdy hu wuld real lov2go4our military services..???,I want Him2get more detailz frm U bkoz myself currently am not hom(i.e Tz)..,thank U in advance4zis news and ol ze help U wil b wiling2giv us in JF,MAY GOD BLESS U...
   
 4. YEYE

  YEYE JF-Expert Member

  #4
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu time hizi ndo wanapigwa usaili.
   
 5. Fasouls

  Fasouls JF-Expert Member

  #5
  Mar 10, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 922
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Hv vnahitajka v2 gan! Mana nataka kutmba
   
 6. Mkiliman

  Mkiliman JF-Expert Member

  #6
  Mar 11, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 957
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  ooh! what a style...eti usaili unafanyika Morogoro huku Makao makuu ya jeshi(NGOME-Dar) hakuna taarifa wala utaratibu wa kitu kama hicho...looh, poleni!!

  Kinachofanyika sasa, ni usaili wa vijana kuajiriwa jeshini kwa wale waliopitia jkt(intake iliyomaliza majifunzo yake muda mfupi uliopita) SIO fresh recruitment ya vijana kujiunga jeshini, lkn matarajio ni kuwa baada ya tendo hili la kuajiri vijana kutoka jkt then new posts zitatangazwa hopefully this March or early April.
   
 7. Elly Andrew

  Elly Andrew JF-Expert Member

  #7
  Mar 11, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 372
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Thats true bro,ni jkt ndo wanasailiwa kuingia jwtz nauhakika 100% so msiogope nafas ztatangazwa,vp kuhusu wale wa uafsa jesh nan ana tetesi?
   
 8. YEYE

  YEYE JF-Expert Member

  #8
  Mar 11, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Habari nilizozipata jana jioni, walikuwa wanafanyiwa usaili kupitia watu wenye vipaji vya sanaa (kuimba, kucheza, kupiga ngoma, kinanda n.k)
   
 9. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #9
  Mar 11, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Watu wanapenda jeshi sana sijui kwa sababu gani?? Watu wanapenda bure,dalaladala bure,vinywaji bei rahisi,electronics bei rahisi,,,ndio kinachowapeleka watu huko haaaa sijawahi waza kujiunga na jeshi.
   
 10. o

  olomi Jr. Member

  #10
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 3, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yeye uko sawa ndugu yangu..
   
 11. d

  dav22 JF-Expert Member

  #11
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,902
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  huogopi kuadamiwa malima mkuu??
   
 12. Masulupwete

  Masulupwete JF-Expert Member

  #12
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 659
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Mkuu asante kwa taarifa. Je zoezi hili bado linaendelea au ndo washamaliza?
   
 13. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #13
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Muguu pande........
   
 14. Prishaz

  Prishaz JF-Expert Member

  #14
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,930
  Likes Received: 1,462
  Trophy Points: 280
  Mimi pia napenda sana jeshi ingawa siyo field yangu,sasa mkuu kwa mawazo yako haya watu wote wangekuwa na mtazamo huu tusingekuwa na jeshi! Kila field ina umuhimu wake na tujifunze kuzipa heshima
   
 15. S

  Shonino Member

  #15
  Mar 18, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmmh kule pagumu mufti....c pa lele mama mpaka kufikia uko kwenye bure
   
 16. m

  mndeva Member

  #16
  Mar 18, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Kaka mwisho wa usahili ni lini?coz pande ir town wana wapo byee kwa jeshi. Tafadhali tupeni taarifa mapema tusichelewe.
   
 17. chumvichumvi

  chumvichumvi JF-Expert Member

  #17
  Mar 20, 2012
  Joined: May 6, 2010
  Messages: 1,050
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  intake mpya bado lakini hao niwaliomaliza mafunzo mwezi pili ndio wanaajiriwa sasa ama inakuwa vipi wadau
   
 18. k

  kombah Member

  #18
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 52
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Huyu Wasira aka chakusizia anakuja Arumeru kufanya nini si tutasinzia wote hatumataki
   
 19. Minda Mambo

  Minda Mambo Member

  #19
  Mar 25, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 15
  Siyo kupenda vya bure ila ugumu wa maisha na ukosefu wa ajira za kudumu ndilo tatizo, ukiangalia huna ajira na pa kwenda hakuna so mtu anaona bora ajiunga na jeshi. Kheri yako ww ambaye hujawah fikiria kujiunga na jeshi. Kuna mchana na usiku na shida haina mwalimu.
   
 20. R

  Raymond mfuse Member

  #20
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Oya wadau wa jeshi tupeane taarifa mapema pale nafasi za kujiunga na JWTZ zitakavyotangazwa..!
   
Loading...