Kwa wanaotaka kujiua, soma hapa ujue namna ya kujizuia

Kuna kipindi nilikutwa na hali hiyo kutokana na ugumu wa maisha uliopitiliza. kila nilichokuwa nikifanya kiliishia pabaya(japo mpaka sasa sina maisha mazuri) Nilikuwa nalala na njaa,sina hata mwelekeo,mtoto amedhoofu kwa utapiamlo,wife mjamzito,vibarua sipati na nikauza mpaka vitu vya ndani ili kulipa madeni na kuhudumia tumbo. Siku moja nikaona hapana bora nife tu(wazo la kujiua halikuja ghafla,ni la muda mrefu)nikakopa elfu 10000 kwa kaka yangu nikamwambia naenda kununua chakula cha familia, nikaenda kununua vidonge vinaitwa flajiri na dawa za usingizi nikaenda kununua kiroba kinaitwa faru cha 2000, nikanywa Ilikuwa mida ya saa 2 usiku kuelekea saa 3,nikawahi home ili nikafie ndani kwangu,nilikuta wife na mtoto wamelala baada ya kunywa uji.Hapo tumbo lilikuwa limeanza kuniuma balaa na usingiz unakuja kwa kasi. Nilijikuta nimelala mpaka saa5 asubuhi,pembeni yangu nikamkuta mwanangu amekaa pembeni yangu akinisubiri niamke ili tucheze pamoja,mama yake alikuwa kajidamka kwenda kutafuta
 
Dah...uamuzi mbaya sana..je wife ulikuja mweleza?
 
kujiua kupo na ukisikia mtu anasema ivyo basi usimdhiaki kabisa muonee huruma msaidie uwezavyo, binafsi sikumbuki kama niliwahi kuwaza kujiua ila nafikir niliwaza dk mbili maana kuna magumu nilipitia hadi sasa but najihis kama nimepoteza kumbukumbu maana siyakumbuki tena hata
 
Niwape shule kidogo ktk masomo ya ulimwengu wa roho au elimu ya viumbe visivyoonekana.
Kujiuwa huwa ni roho ya mauti kupitia sauti inayokuamuru ufanye hivyo.Naposema roho namaanisha pepo mchafu au jini wa mauti amefika kwako either kwa kutumwa au kuja baada ya kusikia maombi yako hivi viumbe usikia sauti hata iwe ya chini kupita kiasi kupitia mawazo yetu.
Nini ufanye unapohisi una magumu
1.Tafuta viksi upake ikiwa na maana ile harufu ule mfukizo uingie kwenye ubongo Ili uende ukastue ule ufahamu wako uyafurushe Yale mawazo machafu.Ukikosa vicks tumia kitunguu saumu.
2.Toka eneo hilo haraka Sana kama ni kitandani amka na usimame Ili damu izunguke ikibidi tembea tembea.Kunywa chochote cha kuchangamsha mwili.Au kubadili Yale mawazo machafu fungua hata TV uingize vitu vipya akilini.
3.Shirikisha wenzio matatizo yako, Hakuna matatizo mapya duniani.
4.Epuka upweke fanya mazoezi tembea,safiri, unaweza ukahama nyumbani kwa siku kadhaa ukaishi hotelini siku mbili tatu hivi Ili ikae SAwa akili.
Fanya maombi,fanya meditation.
 
Kuna kipindi nilikutwa na hali hiyo kutokana na ugumu wa maisha uliopitiliza. kila nilichokuwa nikifanya kiliishia pabaya(japo mpaka sasa sina maisha mazuri) Nilikuwa nalala na njaa,sina hata mwelekeo,mtoto amedhoofu kwa utapiamlo,wife mjamzito,vibarua sipati na nikauza mpaka vitu vya ndani ili kulipa madeni na kuhudumia tumbo. Siku moja nikaona hapana bora nife tu(wazo la kujiua halikuja ghafla,ni la muda mrefu)nikakopa elfu 10000 kwa kaka yangu nikamwambia naenda kununua chakula cha familia, nikaenda kununua vidonge vinaitwa flajiri na dawa za usingizi nikaenda kununua kiroba kinaitwa faru cha 2000, nikanywa Ilikuwa mida ya saa 2 usiku kuelekea saa 3,nikawahi home ili nikafie ndani kwangu,nilikuta wife na mtoto wamelala baada ya kunywa uji.Hapo tumbo lilikuwa limeanza kuniuma balaa na usingiz unakuja kwa kasi. Nilijikuta nimelala mpaka saa5 asubuhi,pembeni yangu nikamkuta mwanangu amekaa pembeni yangu akinisubiri niamke ili tucheze pamoja,mama yake alikuwa kajidamka kwenda kutafuta
Hii story imenitoa machizi aisee
 
Kuna maisha watu wamepitia kulala n njaa ni kawaida n wametusua,shida tumeumbiwa binadamu sisi tupambane nazo...ulishawahi muona mtu tajiri ana asset za kutosha karibia 600m akaishiwa na hakujiua...akarudi kumiliki bodaboda wa kununuliwa na marafiki imsaidie
Dah...hiyo inaumiza sana sana aisee...dah...ndo changamoto hizo
 
Back
Top Bottom