Kwa wanaotafuta kazi

Esther_M

Member
Sep 22, 2010
18
0
Mpendwa,

Kama umehangaika kutafuta kazi kwa muda mrefu, au huipendi kazi unayofanya, fanya uamuzi wa busara........................JIAJIRI MWENYEWE.

Hakuna haja ya kuwa stressed, au depressed wakati mafanikio ya maisha yako yako MIKONONI MWAKO. Ziko fursa nyingi za kujiajiri kihalali na kupata kipato kizuri sana bila kumtumikia mtu mwingine (employer). Na mafanikio yako kwa wale wote ambao wako tayari KUJIFUNZA. Mtaji sio tatizo, tatizo ni kuwa na mtazamo chanya (positive attitude) na mbinu sahihi (the right skills).

GPA yako ya shule HAIWEZI kukupatia ajira nzuri, kwa sababu tunayojifunza shule ni ya kukariri na yamejaa theory tu.

Kwa ambaye angependa kujifunza Fursa za Biashara zenye kuleta kipato kizuri, kuliko hata hivyo vijimishahara vya ofisini, tuma barua pepe kwa century_21st@rocketmail.com

AMKA!!..............UKIFUNGUA MACHO UTAONA!!

"Whenever there is a will, there is a way"
 
Asante ndugu mjasilimali!!!, ada kiasi gani na lini course inaanza!!! au nikituma email watanipa all these informations
 
Mpendwa,

Kama umehangaika kutafuta kazi kwa muda mrefu, au huipendi kazi unayofanya, fanya uamuzi wa busara........................JIAJIRI MWENYEWE.

Hakuna haja ya kuwa stressed, au depressed wakati mafanikio ya maisha yako yako MIKONONI MWAKO. Ziko fursa nyingi za kujiajiri kihalali na kupata kipato kizuri sana bila kumtumikia mtu mwingine (employer). Na mafanikio yako kwa wale wote ambao wako tayari KUJIFUNZA. Mtaji sio tatizo, tatizo ni kuwa na mtazamo chanya (positive attitude) na mbinu sahihi (the right skills).

GPA yako ya shule HAIWEZI kukupatia ajira nzuri, kwa sababu tunayojifunza shule ni ya kukariri na yamejaa theory tu.

Kwa ambaye angependa kujifunza Fursa za Biashara zenye kuleta kipato kizuri, kuliko hata hivyo vijimishahara vya ofisini, tuma barua pepe kwa century_21st@rocketmail.com

AMKA!!..............UKIFUNGUA MACHO UTAONA!!

"Whenever there is a will, there is a way"

unataka tuwe kama lowasa na rostam
 
Kumbe imekaa kibiashara zaidi!!
 
Majibu yasiyokuwa na kichwa wala miguu inaonyesha MGANDO WA MAWAZO na UFINYU wa fikra.

Ndio maana maendeleo kwa watanzania wengi ni DUNI. Too much negativity will cost your life.

Hata Mungu alisema , "Wengi wanaangamia kwa kukosa maarifa".

Ni werevu tu watakaoona fursa, si wote.
 
Ester mwaya achana nao,coz many of us 2napenda colar jobs,wakt salary yao ni ndogo na wanakuexploit mpaka jasho lako la mwisho.mi naku2mia email mwaya,heri ukasema yesu yupo ukamkuta,kuliko kusema hayupo ukamkuta,utaenda jehanamu!badiliken wanajamii
 
kujiajiri ndio issue nafasi zipo nyingi hasa tz kwa mfano hata ukitunza kuku wa kienyeji jogoo amefika elfu kumi kijijini. na yule mrombo alipointoduce ulimi kama snack amebadili mwenendo wa mauzo ya kichwa machinjioni
 
Majibu yasiyokuwa na kichwa wala miguu inaonyesha MGANDO WA MAWAZO na UFINYU wa fikra.

Ndio maana maendeleo kwa watanzania wengi ni DUNI. Too much negativity will cost your life.

Hata Mungu alisema , "Wengi wanaangamia kwa kukosa maarifa".

Ni werevu tu watakaoona fursa, si wote.

Pole ndugu,
Ulitarajia wote wakutumie mail au? walio wako utawapata,vuta subira.
 
Majibu yasiyokuwa na kichwa wala miguu inaonyesha MGANDO WA MAWAZO na UFINYU wa fikra.

Ndio maana maendeleo kwa watanzania wengi ni DUNI. Too much negativity will cost your life.

Hata Mungu alisema , "Wengi wanaangamia kwa kukosa maarifa".

Ni werevu tu watakaoona fursa, si wote.

Esther unajua unafanya online marketing? na online marketing inategemea sana Trust ya yule mtu unaem-target, na hii TRUST itakuja pale utakapoweka mazingira ambayo ni more transparent! Katika msg yako ya awali zaidi zidhani kama inatoa maelezo ya kutosha kumaliza maswali ya hao unaowalenga.
 
Ndugu yangu pamoja na kujiajiri,mtaji ni muhimu sana.Unaposema usifikiri juu ya mtaji sijakuelewa.Kwani bila mtaji ukawa na mawazo mazuri tuu haitasaidia mtu kujipatia ajira.
 
Dada Ester Mb,
Asante kwa taarifa,lakini mbona huelekei kama umjasiriamali?.au ndiyo shule Imekolea? :nono:.Usilazimishe watanzania wengine kuacha kazi kwenye taasisi za umma.Nyinyi mkipewa madaraka mtanyima haki za watu,ili muendelee kula.yaleyale ya ccm,wakati wa uchaguzi ndugu,wakipata.mhmhmh
 
Majibu yasiyokuwa na kichwa wala miguu inaonyesha MGANDO WA MAWAZO na UFINYU wa fikra.

Ndio maana maendeleo kwa watanzania wengi ni DUNI. Too much negativity will cost your life.

Hata Mungu alisema , "Wengi wanaangamia kwa kukosa maarifa".

Ni werevu tu watakaoona fursa, si wote.

Hakuna lolote Dada yangu, binafsi siwezi kushiriki biashara ya "KUKALILI" kuuza ALOVERA/GNLD Products. Bora nife na Mkoloni wangu anayetufanyia party kila Ijumaa.
 
Hahah dude that's funny!.....hahhahah i like your hilarious response!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom