Kwa Wanaoshare post zajamiiiforums muwemakini

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,906
22,003
Tunashukuru Mungu Kwa uhuru aliotupa

Sioombaya kukumbushana walewanaoshare post za jamiiforums NA sehemu zinging Kabla kushare Anglia pia itaonekanaje kwenye Jamiii

Kilamtu anauhuru wakuandika Lakini unaposhare hatayule asieijua anaijua NA unaposhare mambo mazuri nikuisifia JF na kuitangazs vyema
Wazo tu

Ngoja nimalizie....
 
Hivi ukishea,maana yake zile kinga za privacy zinaweza kuvuja?

Ile muingiliano wa JF na mtandao mwingine ulioshea
 
Back
Top Bottom