Tape measure
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,972
- 3,509
kwenye Duka ukiibia ukawa unauza na vilevi kidogo mfano k vant, shimma, konyagi na vibia faida lazima ionekane mfano kwa sasa kreti moja ya bia serengeti ndogO faida ni 6,000 na kwenye Duka unaanza kuuza izo pombe tokea adubuhi kwani wanywaji hukunywa kwa kujificha Kama gongo ama bangi kwa mtaji wa 1m kupata faida ya 15k mpaka 20 kwa siku ni kawaida sana na haitaji uende kwa sangomaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefanya sana hiyo biashara pale Mlandizi jirani na Bar ya Kauli ya Bibi, kikubwa ni lazima ukae mwenyewe dukani au mkeo, vinginevyo utapigwa tu. Mimi nilikosa usimamizi sababu naishi Kimara kazi nafanya mjini, kule nakwenda wikendi tu, mwisho wa siku nikaamua kuliuza duka kwa jamaa. Lakini ukweli ni kwamba inalipa sana ukiwa mwenyewe, pia niliweka na vibia viwili basi mwendo ulikuwa oya oya tu.
Sent using Jamii Forums mobile app