Nsanya rasheed
Member
- Oct 13, 2013
- 13
- 1
nimeongea na mshauri wa mgambo leo hii ameniambia nafasi bado na bado hawajapewa taarifa kuhusu hilo.tuwe na subira nikipata taarifa soon nitaiweka humu coz nina namba ya afisa mshauli mgambo.
Asante bt kwa wilaya ya moshi mjini tayari imetangazwa kwa nlivyoambiwa na wenyeji wa kule
kila mkoa huwa wanachukua watu 100 ila dsm huwa wanachukua watu 300 kila wilaya huwa watu 100 ila bado nafasi huwa hazitoshi kwa dar. nirahisi kwa mikoani kuliko dar ingawa imepewa idadi kubwaHe! Kumbe tena ni mikoa kwa mikoa? Doh uku dar sijui ni mwakani
jw je vp
kila mkoa huwa wanachukua watu 100 ila dsm huwa wanachukua watu 300 kila wilaya huwa watu 100 ila bado nafasi huwa hazitoshi kwa dar. nirahisi kwa mikoani kuliko dar ingawa imepewa idadi kubwa
sasa ni ngumu huwezi kwenda jw bila kupitia jkt
Kwa ufupi baadhi ya mikoa mchakato umeshaanza! Sijui wewe upo mkoa gani