Kwa wanaoonja alcohol- vema muombe ushauri wa daktari - huyu jamaa alimfuata daktari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wanaoonja alcohol- vema muombe ushauri wa daktari - huyu jamaa alimfuata daktari

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by ITSNOTOK, Oct 18, 2011.

 1. I

  ITSNOTOK Member

  #1
  Oct 18, 2011
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lakini umeuelewa ushauri? Hilo glasi linajaa chupa ngapi za .......
   

  Attached Files:

 2. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  duh!! nimecheka sana, huyu jamaa noma.
   
 3. NYENJENKURU

  NYENJENKURU JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Yes ni ushauri mzuri.Birauli moja hata kama inajaaa lita 10=Castle lite chupa 27 wewe kunywa tu.Kweli huyo ni Dr wa ukweli..lolll
   
 4. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mweeeee,kwa hiyo glas c bora ajinyweage chupa zake za kutosha tu!khaaaa!
   
Loading...