Kwa wanaokoroma!!

kivyako

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
14,347
12,044
Hivi uliwahi kwenda semina au shughuli ya watu wengi na ukabahatika kuwa karibu na mtu anayekoroma? Uwa unajisikiaje? Kusema ukweli mimi uwa nachukia sana. Na katika kiutafiti kidogo nilichofanya nimegundua yafuatayo:
1. Wanaokoroma wengi ni wanaume
2. Ni watu ambao wanaendekeza kujiachia
3. Sio wajanja
4. IQ yao iko chini
karibu....
 
mkuu wanakoroma ndani ya semina?we umejuaje hukoromi?
 
Tafuteni pozi la kulala sio mnaacha midomo wazi mnakoroma na kuwaharibia wenzenu usingizi.
 
Hivi uliwahi kwenda semina au shughuli ya watu wengi na ukabahatika kuwa karibu na mtu anayekoroma? Uwa unajisikiaje? Kusema ukweli mimi uwa nachukia sana. Na katika kiutafiti kidogo nilichofanya nimegundua yafuatayo:
1. Wanaokoroma wengi ni wanaume
2. Ni watu ambao wanaendekeza kujiachia
3. Sio wajanja
4. IQ yao iko chini
karibu....

Inavoonekana wewe ni mama Kisimpite.
 
Dah mtoa mada umenisikitisha saaana na hayo maneno yako ya kashfa!hvi unajua tatizo la kukoroma inatokana na mara nyngi na tatizo kwenye mfumo wa upumuaji sasa hayo maswala ya uvivu na IQ ndogo ni tusi kwao na uwaombe radh wenye hili tatizo includn my DADY
 
Muwe mnafikiri kabla ya kuposti hizi thread. Kuna wakati server inajaa bila hata sababu!
 
Nafikiri wewe una IQ ndogo sana na imeonekana kwa kupost huu upuuzi tena unasema umeufanyia utafiti!
Hata hao waliokupeleka hiyo semina nadhani walichemsha!
 
ila mm nilowaona wanakoroma wengi wana nyama za puani.na wenye vitambi au wanene
 
Hivi uliwahi kwenda semina au shughuli ya watu wengi na ukabahatika kuwa karibu na mtu anayekoroma? Uwa unajisikiaje? Kusema ukweli mimi uwa nachukia sana. Na katika kiutafiti kidogo nilichofanya nimegundua yafuatayo:
1. Wanaokoroma wengi ni wanaume
2. Ni watu ambao wanaendekeza kujiachia
3. Sio wajanja
4. IQ yao iko chini
karibu....

wewe ndo mwenye iq ndogo kupita kiasi kwani ungekuwa na ya kukutosha usingeenda semina!
Kwa taarifa yako na wengine wenye iq ndogo kama yako, kukoroma ni tatizo la kiafya katika mfumo wa upumuaji na moyo.
But sikushangai, ndo matokeo ya kusoma shule za kata.
 
Wewe ni mzoefu sana wa semina za kitandani,wanaume ulioenda nao semina zako wote wanakoroma..?

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom