Kwa wanaoishi au wenye uzoefu wa kibiashara pale Bariadi

Labile

Member
Dec 9, 2016
44
125
Moja kwa moja, naombeni mnisaidie ninataka kuhama hapa nilipo kwenda Bariadi na nataka nikifika kule nifanye biashara ya juice, bisi na matunda kwa delivery.

Je, aina hii ya biashara ninayofikiria kwa maeneo yale nimewaza sawasawa? Kama sio nipe mbadala, mtaji wangu ni 1M?
 

Labile

Member
Dec 9, 2016
44
125
Pia kuna hii ya ndizi kutoka Tarime na viazi kuja kuuzia hapo Bariadi inaweza kuwa good idea?
 

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
4,489
2,000
Unakua kwa kwasi yani maendeleo yapo automatic wala sio ya kulazimisha,kuna makabila yote yapo hapa.
Kila aina biashara unaweza kufanya.uje ujionee
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom