Raj kapool
JF-Expert Member
- Jun 29, 2018
- 827
- 1,007
Tatzo nn mpaka ina jum Mara nying afu IPO slow sana mara inaganda pia inaandika hivyo hii tiba yake nn
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi kwelHilo sio tatizo mzee
Ila ni tabia ya simu aina za tecno,,, inabidi uzoee na subiri mengineyo zaidi,,,kama simu kujipiga yenyewe na kadhalika
Sent using Jamii Forums mobile app
Yajayo yanafurahishaIyo ni introduction tu bado show kamili .kua mvumilivu yajayo yana frahisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Tenaaaaa?Iyo ni introduction tu bado show kamili .kua mvumilivu yajayo yana frahisha
Sent using Jamii Forums mobile app
PamojaJaribu kuwa una boost mara kwa mara, kuna sehemu inaitwa phonemaster ingilia hapo..
Patriotist..
Niuzie hiyo simuTatzo nn mpaka ina jum Mara nying afu IPO slow sana mara inaganda pia inaandika hivyo hii tiba yake nnView attachment 1021724
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaulizwa 😀😀😀 (joke)
Nenda setting-about phone-system update angalia hapo kwenye system update kama hujaifanyia update ifanyie hiyo simu.Tatzo nn mpaka ina jum Mara nying afu IPO slow sana mara inaganda pia inaandika hivyo hii tiba yake nnView attachment 1021724
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu inaniletea habari hiziNenda setting-about phone-system update angalia hapo kwenye system update kama hujaifanyia update ifanyie hiyo simu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Iyo ni introduction tu bado show kamili .kua mvumilivu yajayo yana frahisha
Sent using Jamii Forums mobile app