Kwa wanaohitaji Line za Safaricom zimefika Tanzania

Unaweza link na Card ya Equity Bank na ikawa full Verified na limitless kupokea $, niliwahi kufanya ivo kwenye paypal acc yangu ya kwanza kabisa ya Kenya.... Lakini kwasasa mimi ni muda natumia ambayo haiko verified na inafanya kazi kama kawa...

Sent from my Infinix X5514D using Tapatalk
Mkuu Card ya Equity Bank uliipatia Tanzania hapa hapa?? Maana hilo swala la verification ni muhimu kweli kuna kipindi nilifungua fake US Paypal ikawekewa limit ya kutoa hela bahati nzuri kulikuwa hamna hela nyingi.
 

Asante Sana Bro Tomaa Kwa Moyo Wako Mzuri Wa Kutusaidia Kuendelea Kuwa Name Urahisi Wa Upatikanaji Wa Huduma Za Kitechnologia. Hasa Zaidi Juu Ya Upatikanaji wa Hizi Line Za Safaricom Hakika Zinanisaidia kwa Mambo Mengi Sana Ikiwemo #Kutoa na Kupokea PESA PAYPAL, #Kutuma na Kupokea PESA Mpesa, Pia Bonus za Vocha Ya Mpaka 1000Ksh Hakika Safaricom Inanisaidia.

Asante Sana Mister Tomaa Pia Zile Line 7 Nyingine Nimezipata pia Thanks Sana.
Naona unaanzisha thread na kujipongeza mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona vodacom na tigo pia unaweka salio na kulipia kupitia playstore, au malipo yapi? Manake hizi card za benki pia zinalipia bila shida

Sent using Jamii Forums mobile app
Kikubwa kinacho ongelewa kwenye hiyo line ya safaricom ni uwezo wake wa kukuwezesha wewe mtumiaji kupokea malipo kutoka popote pale duniani kwa njia ya paypal.
.
Kwa mfano kufanya malipo online wakati unalipia bidhaa au huduma ni rahisi na kuna njia nyingi za kufanya hivyo lakini wewe unapo uza bidhaa mtandaoni, mfano ebay au unatoa huduma mtandaoni, mfano freelancer, kulipwa kwako ni ngumu kutokana na uhaba au hakuna kabisa njia ya malipo kwenye nchi yako itakayo fanya malipo hayo yakufikie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UPDATES.... SAFARICOM

line zimeingia, wanaohitaji karibuni sana,bei ni 10k tu unafuata mwenyewe. Mikoani tunatuma kama kawaida kwa 15k karibuni sana.

TAHADHARI!!! Kama hujui chochote kuhusu online payments,kama paypal,
Bitcoin, skrill n.k bora uulize usaidiwe bure....au kama huna Idea kabisa na mishe za online bora uwe ndugu msomaji tu.
0625547181
Telegram PM @TomaaMireni
SSgroup SmatSkills
SCgroup SAFARICOM SIMCARD!
InstantMoneyEarningChannel INSTANT MONEY EARNING

Ukitaka kuishi mjini vizuri tufollow hapo juu hutojuta kamwe
 
Inasajiliwa kwa jina lako au inakuaje
Habari za humu?
Kwa wale wanaohitaji line za Safaricom zimefika na mpaka sasa zimebak 7 tu(wahi sasa)
Line 1 ni 10000 ikiwa na vocha ya Ksh 20.
Kama upo mkoa utatumiwa kwa gharama zako.
Kwa wale wanaohitaji tuchekiane 0625547181 au telegram @TomaaMireni.
Kama bado hujajua kazi yake kwa hapa Tanzania njoo telegram group SmatSkills
Kwa wale ambao tayari mnatumia karibuni kuelimisha wengine. Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Card ya Equity Bank uliipatia Tanzania hapa hapa?? Maana hilo swala la verification ni muhimu kweli kuna kipindi nilifungua fake US Paypal ikawekewa limit ya kutoa hela bahati nzuri kulikuwa hamna hela nyingi.
Yeah! Me nilifungua hapa hapa TZ, Mwanza.. Ni 10k tu ndani ya lisaa unapata Card yako na ni automatic enabled na online transactions,,, Huitaji sijui ku activate kama kina CRDB...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu samahani,kuna jamaa zangu wanataka niwekee mbili j2 uhakika nakuja kuchukua
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom