INAUZWA Kwa wanaohitaji Line za Safaricom zimefika TZ


M

myplusbee

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2016
Messages
1,874
Points
2,000
M

myplusbee

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2016
1,874 2,000
Serikali inaweza kukusanya kodi fedha za kigeni ikijipanga ktk hili.

CC: Mh. Magufuli, Governor Luoga, Philip Mpango.
Kungepatikana watu wa ku-push enzi za Muungwana JK, ingewezekana kabisa lakini leo hii ambapo JPM kila mtu anamuona mwizi kasoro yeye na Daud tu; sio kazi ndogo serikali hii kuwashawishi!
 
Oculus

Oculus

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2014
Messages
333
Points
250
Oculus

Oculus

JF-Expert Member
Joined Apr 21, 2014
333 250
Mimi nahitaji isajiliwe kwa jina langu, inawezekana?
 
Times9

Times9

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Messages
917
Points
1,000
Times9

Times9

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2017
917 1,000
Bossprota

Bossprota

Member
Joined
Jul 16, 2015
Messages
45
Points
95
Age
23
Bossprota

Bossprota

Member
Joined Jul 16, 2015
45 95
Habari za humu?
Kwa wale wanaohitaji line za Safaricom zimefika TZ karibuni sana mana huwa zinakuja chache na kama zikiisha huwa zinachukua kuja tena(wahi sasa)
Line 1 ni 10000 ikiwa na vocha ya Ksh 20.
Kama upo mkoa utatumiwa kwa gharama zako.
Kwa wale wanaohitaji tuchekiane 0625547181 au telegram @TomaaMireni.
Kama bado hujajua kazi yake kwa hapa Tanzania njoo telegram group SmatSkills
Kwa wale ambao tayari mnatumia karibuni kuelimisha wengine. Asanteni
Zinafanya kazi kama ukuwa Kenya au kuna ujanjaujanja mwngne unahitajika ili itumike!!!!!
 

Forum statistics

Threads 1,295,671
Members 498,336
Posts 31,219,247
Top