Kwa wanaohitaji kijana wa shambani, nipo tayari

M2pc

Member
Jun 14, 2016
90
58
Habari yenu wanajukwaa. Naleta ombi kwenu kwa yeyote mwenye kuhitaji kijana wa kukaa shambani na kulihudumia mpaka wakati wa mavuno ani PM Niko tiyari. Napenda sana kujifunza shughuli za kilimo biashara (agribusiness) lkn changamoto yangu kubwa ni mtaji hivyo kupitia jukwaa hili naweza kupata wataalamu wakushirikiana nao katika sekta hii lengo na madhumuni nijifunze kwa ajili ya kuna kujitegemea baadae.
 
Kama upo dar Nipigie 0655404226
Uje tuoteshe Papai hybrid na nauza Miche pia
 

Attachments

  • IMG_20180318_152032.jpg
    IMG_20180318_152032.jpg
    362.5 KB · Views: 32
Back
Top Bottom