Kwa wanaohitaji gari zuri classic la maharusi

Maarifa

JF-Expert Member
Nov 23, 2006
4,568
2,911
Wana JF kama kuna mtu yuko katika vikao vya Harusi ama anatarajia kufunga ndoa, Basi Usikonde ama kuhaha kwa ka usafiri ka maharusi. Kuna Gari liko Tayari SAFI, CD Music incorporated with ipod, blue tooth n.k AC safi na viti vyenye Fluffy seat cover utachagua Pink or Purple.

Sifa za Gari. ni MERCEDES BENZ, rangi Nyeusi TIII, Tangu itue Nchini iana miezi kadhaa tu.Very realiable. Bei ni karibu na Bure. Itategemea Kama Utapamba mwenyewe ni Tsh. 150,000. Ila kama unataka ije imepambwa kabisa basi sh. 200,000. KARIBUNI.

Contacts 0713464109

i1619_MERC4.jpg

i1620_MERC3.jpg

i1621_IMG0052A.jpg

i1622_MERC.jpg

hi!

Im a men expecting to get married in three months time please kama itawezekana nitumie picha za hilo gari
 
........Geoff umeona tangazo hili.......come 13/02......inakufaa na mamsap!

Maarifa...m-PM Geoff anaproject kubwa sana tar 13/02.........!
 
Jamani nimeona How serious you are. Nimejaribu browse picha ili niweke hapa mara kadhaa lakini kila wakati naona mesage Photo Invalid!! Mwisho nimemkontact Mkuu mmoja wa Hapa JF atatua Tatizo Hilo Soon. Au la Text your e mail katika Namba HII THEN I will send you Pics. 0713464109.
 
Picha zipo sasa mnaofunga ndoa karibuni msiumizwe na bei
 
Wana JF kama kuna mtu yuko katika vikao vya Harusi ama anatarajia kufunga ndoa, Basi Usikonde ama kuhaha kwa ka usafiri ka maharusi. Kuna Gari liko Tayari SAFI, CD Music incorporated with ipod, blue tooth n.k AC safi na viti vyenye Fluffy seat cover utachagua Pink or Purple.

Sifa za Gari. ni MERCEDES BENZ, rangi Nyeusi TIII, Tangu itue Nchini iana miezi kadhaa tu.Very realiable. Bei ni karibu na Bure. Itategemea Kama Utapamba mwenyewe ni Tsh. 150,000. Ila kama unataka ije imepambwa kabisa basi sh. 200,000. KARIBUNI.

Contacts 0713464109

i1619_MERC4.jpg

i1620_MERC3.jpg

i1621_IMG0052A.jpg

i1622_MERC.jpg

Mkuu kwa watu wa mikoani gharama zake zikoje?ebu ainisha kwa kila mkoa ili ndugu yetu Geof anayeenda makambako awe na uamzi mzuri
 
Back
Top Bottom