Kwa wanaofahamu kuhusu Rooting ya simu naomba ufafanuzi

sam-Akida

Member
May 20, 2013
49
24
Habari wajumbe, naomba kama kuna mtu alishafanikiwa ku root nokia 3 TA 1032 kwa kutumia pc au application. nimejaribu kwa muda mrefu sana bila mafanikio
 
Samahani naomba kudandia treni kwa mbele, sababu kuu ni kuwa huru na simu anayomiliki mtu,

Root ni kuwa super user kwa jina jingine administrator au SU kwa code za linux
Ikiwa unahitajinkuifanyia simu modification fulani ya mhimu kama ku port rom ,unlock, any modification ya systems sasa nikauliza mhusika anataka kufanya nini sio unasikia uwa unaroot tu basi anaroot hana cha ziada cha kufanya
 
Back
Top Bottom