Kwa Wanandoa tu: "Vijimambo vya Kuifanya Ndoa Yako Iwe Kama 'Paradiso Ndogo!'"

I didn't know you can fall in luv with the same person twice! GREAT SOLUTION.
 
Mkuu Buchanan !! wewe upo kwenye fungu gani katika hili ? Na una amini nini katika ndoa ?

Haya maswali mapana mno, ningependa unifafanulie hasa kwenye red, ukishafanya hivyo nitachangia kwa kadri nitakavyoweza!
 

Quote:


Buchaman mie pia nataka ndoa yangu iwe paradise ndogo ever ..
lakini huwa kuna vijimambo ,vidudumtu na mengineyo vinaingilia ndoa ndo inapotokea mmomonyoko wa maadili katika ndoa
Tusisahau kukabidhi maisha yetu kwa mungu




Sorry, FL1, kama hutajali, naomba ufafanue juu ya maneno (in red) hayo hapo juu ili niweze kutoa ushauri wangu, kama nitaweza!

FL1 bado nasubiri machache kutoka kwako!
 
Back
Top Bottom