Kwa wanamabadiliko wote, Najua mmeumia sana lakini nawashauri mpunguze munkari. Najua hasira zenu, majuto yenu

Francis12

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2016
Messages
7,322
Points
2,000

Francis12

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2016
7,322 2,000
Kwa wanamabadiliko wote,
Najua mmeumia sana lakini nawashauri mpunguze munkari. Najua hasira zenu, majuto yenu, na maumivu yenu maana mmekuwa disappointed na mtu mliyejitolea kumpigania kwa nguvu zenu zote. Mlijitoa kufa na kupona mwaka 2015, na kusacrifice mambo mengi kwa ajili yake. Lakini msipaniki. Time is our best teacher. Letz wait muda utasema.

Kupaniki kwetu ndio furaha ya CCM, ndio ajenda yao, ndio plan yao. Kuzodoana kwetu, kushukiana, kuraruana huku mitandaoni ndio azma yao. If you can't convince them, confuse them. Ndicho CCM wanachofaya. Lengo lao ni kuona sisi tunabaki na taharuki kila uchao, tukose concentration kwenye mambo ya msingi. Ushindi wao ni kuona tunahukumiana kwa kunyosheana vidole. Tusiwape ii hiyo nafasi.

Mzee Lowassa kasema ameongea mengi na JPM lakini ametaja moja tu la kumpongeza. Hatujui hayo mengine ni yapi. Ni wazi kauli yake haijaridhisha wengi (mimi nikiwemo) but letz give him benefit of doubts. Tusianze kushikana mashati. Lowassa kumpongeza JPM akufanyi maisha kuwa rahisi huku mtaani, hakufanyi bank ziache kufilisika, hakufanyi ajira zipatikane, hakufanyi madawa yawepo hospitalini. So tusitoke kwenye mstari.

Nachojua ni kwamba upinzani ni harakati za kupigania social and economic welfare ya mwananchi. Kutoa mawazo mbadala ya kusaidia serikali kuona pale iliposhindwa kuona. Upinzani ni spirit. Na spirit hiyo haifi, haifutiki, haiharibiki, haipotei. Ni safari ambayo ipo na itakuwepo hadi mwisho wa nyakati. Hata Lowassa aondoke leo, au Chadema ife leo, siasa za mageuzi hazitakwisha. It will never happen for any society to live without opposing and competing ideologies! Never ever.!

Kwahiyo let us relax na tuendelee kupigania nchi yetu kwa maslahi ya vizazi vyetu. Lowassa awepo au asiwepo isituzuie kupigania yale tunayoamini ni sahihi. Kabla hajaja opposition tulikuwepo na tulipigana sana. So hata akiamua kurudi huko alikokuwa ni sawa tu. Kuvunjika kwa koleo hakuwezi kuwa mwisho wa uhunzi.!

Malisa GJ
 
Francis12

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2016
Messages
7,322
Points
2,000

Francis12

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2016
7,322 2,000
'Upinzani ni spirit. Na spirit hiyo haifi, haifutiki, haiharibiki, haipotei. Ni safari ambayo ipo na itakuwepo hadi mwisho wa nyakati. Hata Lowassa aondoke leo, au Chadema ife leo, siasa za mageuzi hazitakwisha. It will never happen for any society to live without opposing and competing ideologies! Never ever.!
 
chimela

Member
Joined
Jul 14, 2016
Messages
63
Points
150

chimela

Member
Joined Jul 14, 2016
63 150
Kwa kauli ya Lowassa Leo hii kama CHADEMA na upinzani kwa ujumla tunahitaji kurudi hatua zisizopungua 70 kwenye eneo lenye urefu Wa mita 100. Ni wakati ambao lazima tukubali tumeshambuliwa mfululizo na makombora mazito kutoka kwa adui yetu mkuu "CCM" ...Tukiendelea kusimama hapa tulipo bila kufanya reformation au reunification yoyote ile uwezekano upo mashambulizi yakaja kutuzidi nguvu.

Hua naamini kwamba mabadiliko yoyote Yale ya kweli huwa yanapitia kwenye mikono ya taasisi kama chama na sio mkononi mwa mtu mmoja.
Tunatakiwa kurudi nyuma na kujitathmini kabla ya kusonga mbele..Mtu mmoja hawezi kurudisha kundi kubwa la wanamabadiliko.Hatuwezi kuendelea kama bado tunaamini tupo sahihi
"ONLY THE STRONG WILL CONTINUE"
 
Elungata

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
32,831
Points
2,000

Elungata

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
32,831 2,000
Kama mtu ana leverage na wewe ni vigumu mno kupindua.
Ndo maana hata marekani walikuwa wanahaha sana kujua Warusi wana leverage gani na Trump,maana walihofu sana baadae wasianze kumblackmail afuate matakwa yao,mpaka sasa wamarekani bado hawajagundua warusi wana nini juu ya Trump,
wakati mwingine wanahisi,kipindi Trump ameenda Russia,akachukua changudoa na wakiwa chumbani Trump akawa anakojolewa mkojo mwilini kama kickstart,wanadhani huenda warusi walimchukua video ,sasa imagine wakimtishia kuiweka hadharani,rais wa marekani akiwa mtupu harafu chagudoa kachuchumaa anamwagia kojo,itakua bonge ya soo,mtu mwenye leverage kama hiyo huwezi pindua,utafuata tu kila anachotaka,
sasa huyu jamaa kama interest zake ziko hatarini apende asipende atafuata wanachotaka
 
sheiza

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2010
Messages
4,456
Points
2,000

sheiza

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2010
4,456 2,000
Chadema wameshamaliza kulipa matusi waliyomtukana lowasa na kumdhalilisha..wao walimpigania kwenye urais ila kuna watu walikufa wakati wakishangilia matusi dhidi ya lowasa huko arusha.
 
HEKIMA KWANZA

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2015
Messages
2,884
Points
2,000

HEKIMA KWANZA

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2015
2,884 2,000
Kwa wanamabadiliko wote,
Najua mmeumia sana lakini nawashauri mpunguze munkari. Najua hasira zenu, majuto yenu, na maumivu yenu maana mmekuwa disappointed na mtu mliyejitolea kumpigania kwa nguvu zenu zote. Mlijitoa kufa na kupona mwaka 2015, na kusacrifice mambo mengi kwa ajili yake. Lakini msipaniki. Time is our best teacher. Letz wait muda utasema.

Kupaniki kwetu ndio furaha ya CCM, ndio ajenda yao, ndio plan yao. Kuzodoana kwetu, kushukiana, kuraruana huku mitandaoni ndio azma yao. If you can't convince them, confuse them. Ndicho CCM wanachofaya. Lengo lao ni kuona sisi tunabaki na taharuki kila uchao, tukose concentration kwenye mambo ya msingi. Ushindi wao ni kuona tunahukumiana kwa kunyosheana vidole. Tusiwape ii hiyo nafasi.

Mzee Lowassa kasema ameongea mengi na JPM lakini ametaja moja tu la kumpongeza. Hatujui hayo mengine ni yapi. Ni wazi kauli yake haijaridhisha wengi (mimi nikiwemo) but letz give him benefit of doubts. Tusianze kushikana mashati. Lowassa kumpongeza JPM akufanyi maisha kuwa rahisi huku mtaani, hakufanyi bank ziache kufilisika, hakufanyi ajira zipatikane, hakufanyi madawa yawepo hospitalini. So tusitoke kwenye mstari.

Nachojua ni kwamba upinzani ni harakati za kupigania social and economic welfare ya mwananchi. Kutoa mawazo mbadala ya kusaidia serikali kuona pale iliposhindwa kuona. Upinzani ni spirit. Na spirit hiyo haifi, haifutiki, haiharibiki, haipotei. Ni safari ambayo ipo na itakuwepo hadi mwisho wa nyakati. Hata Lowassa aondoke leo, au Chadema ife leo, siasa za mageuzi hazitakwisha. It will never happen for any society to live without opposing and competing ideologies! Never ever.!

Kwahiyo let us relax na tuendelee kupigania nchi yetu kwa maslahi ya vizazi vyetu. Lowassa awepo au asiwepo isituzuie kupigania yale tunayoamini ni sahihi. Kabla hajaja opposition tulikuwepo na tulipigana sana. So hata akiamua kurudi huko alikokuwa ni sawa tu. Kuvunjika kwa koleo hakuwezi kuwa mwisho wa uhunzi.!

Malisa GJ
Malisa mwenyewe yuko mbioni.
 
tindo

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2011
Messages
26,119
Points
2,000

tindo

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2011
26,119 2,000
'Upinzani ni spirit. Na spirit hiyo haifi, haifutiki, haiharibiki, haipotei. Ni safari ambayo ipo na itakuwepo hadi mwisho wa nyakati. Hata Lowassa aondoke leo, au Chadema ife leo, siasa za mageuzi hazitakwisha. It will never happen for any society to live without opposing and competing ideologies! Never ever.!
Francis nataka Malisa aione kupitia kwako, kama ccm wana raha basi ni ya muda tu, hapa sisi wengine kwetu imekuwa fursa ya kuonyesha ule ubovu tulioupigia kelele lakini viongozi wakatia pamba. Huu ukali tunaonyesha hapa jukwaani ni ili kosa kama hili lisirudiwe. Kwa ukali huu tutapata chama imara na makosa ya kijinga kama hilo la kumpokea Lowassa halitorudiwa na wanachama wote watakuwa wakali kwani tutakuwa tumejifunza kutokana na makosa. Kwa sasa Lowassa hata asema mazuri yapi aliyoongea na Magufuli kwetu tumeshaonyesha kwamba sio chaguo letu. Na hii inafungua ukurasa wa kuweka viongozi wenye damu ya upinzani na sio hao wanasesere wa upinzani. Tunaomba sasa hata Mbowe akae pembeni kiroho safi ili chama kipate watu ambao wako tayari kufanya mageuzi ya kweli. Mbowe aendelee na biashara zake kwani anaweza kubanwa kirahisi.
 
uniq

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2011
Messages
4,762
Points
2,000

uniq

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2011
4,762 2,000
Kwa wanamabadiliko wote,
Najua mmeumia sana lakini nawashauri mpunguze munkari. Najua hasira zenu, majuto yenu, na maumivu yenu maana mmekuwa disappointed na mtu mliyejitolea kumpigania kwa nguvu zenu zote. Mlijitoa kufa na kupona mwaka 2015, na kusacrifice mambo mengi kwa ajili yake. Lakini msipaniki. Time is our best teacher. Letz wait muda utasema.

Kupaniki kwetu ndio furaha ya CCM, ndio ajenda yao, ndio plan yao. Kuzodoana kwetu, kushukiana, kuraruana huku mitandaoni ndio azma yao. If you can't convince them, confuse them. Ndicho CCM wanachofaya. Lengo lao ni kuona sisi tunabaki na taharuki kila uchao, tukose concentration kwenye mambo ya msingi. Ushindi wao ni kuona tunahukumiana kwa kunyosheana vidole. Tusiwape ii hiyo nafasi.

Mzee Lowassa kasema ameongea mengi na JPM lakini ametaja moja tu la kumpongeza. Hatujui hayo mengine ni yapi. Ni wazi kauli yake haijaridhisha wengi (mimi nikiwemo) but letz give him benefit of doubts. Tusianze kushikana mashati. Lowassa kumpongeza JPM akufanyi maisha kuwa rahisi huku mtaani, hakufanyi bank ziache kufilisika, hakufanyi ajira zipatikane, hakufanyi madawa yawepo hospitalini. So tusitoke kwenye mstari.

Nachojua ni kwamba upinzani ni harakati za kupigania social and economic welfare ya mwananchi. Kutoa mawazo mbadala ya kusaidia serikali kuona pale iliposhindwa kuona. Upinzani ni spirit. Na spirit hiyo haifi, haifutiki, haiharibiki, haipotei. Ni safari ambayo ipo na itakuwepo hadi mwisho wa nyakati. Hata Lowassa aondoke leo, au Chadema ife leo, siasa za mageuzi hazitakwisha. It will never happen for any society to live without opposing and competing ideologies! Never ever.!

Kwahiyo let us relax na tuendelee kupigania nchi yetu kwa maslahi ya vizazi vyetu. Lowassa awepo au asiwepo isituzuie kupigania yale tunayoamini ni sahihi. Kabla hajaja opposition tulikuwepo na tulipigana sana. So hata akiamua kurudi huko alikokuwa ni sawa tu. Kuvunjika kwa koleo hakuwezi kuwa mwisho wa uhunzi.!

Malisa GJ
Kwa uandishi huu na matamko yote mliotoa leo kuwanzia wewe, Mbowe, mtatiro na nk, hii inaonyesha jinsi gani mlivyo PANIKI.

Narudia tena
Mpaka 2020 hakutakuwa na chama cha upinzani chenye nguvu.
 
G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Messages
7,971
Points
2,000

G Sam

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2013
7,971 2,000
Kwanini Lowassa amekubaliwa leo kwenda ikulu? Nini hasa dhumuni lake kuu?

Kwanza kabisa naomba nikutaarifu mkuuRichard kuwa ullilo/unalofikiri hasa si jambo linalo sadifu ukweli. Ukweli hauna pande mbili kama alivyosema Dr Slaa ingawa yeye alikuwa na pande mbili. Ukweli haugeuki ingawa Dr.Slaa ameamua kugeuka. Je Lowassa anaamini kuwa ukweli hauna pande mbili? Amegeuka?

Ukweli ni kuwa Lowassa hakuwahi nahataamini kuwa ukweli hauna pande mbili.Kwakuwa hakuamini hivyo amegeuka naaligeuka hapo kabla. Pengine hatageuka sikuza usoni kutokana na umri wake kumtupamkono, hilo tu ndilo lililobaki kwake!

Lowassa anatakiwa kucheza siasa safi kwakekama alivyocheza kipindi anaaamiaChadema(Ingawa Lowassa aliamini kuwaangeweza kucheza siasa safi, ukweli ni kuwaChadema ileile ya Slaa ndiyo iliyocheza siasasafi.Lissu, Profesa Baregu, Mbowe,Kubenea naMdee walilielewa hilo ila siyo wengine.

Kwanza naomba nifafanue ni kwanini kwa sasa Lowassa anapaswa kicheza siasa safi kwaketofauti kabisa na kipindi cha uchaguzi mkuuambapo alidhani anacheza siasa safi kwake.
Lowassa ana hisa za kutosha Airtel, Lowassandiye mtu asiyejulikana ambaye aliwekeza hisa1000 Airtel. Ukiigusa Airtel basi umegusachanzo muhimu cha mapato makuu yaLowassa. Mbali na kuwa Lowassa ana hisa asilimia 100 kwenye jengo la Tanescolinalotakiwa kubomolewa, Lowassahakutikiswa na hilo.Lowassa alikuja kugutushwa pale aliposikia kuwa Airtelinatakiwa kuangaliwa upya mfumo wake wa kibiashara. Kuigusa Airtel ilikuwa ni sawa na kuchimba kaburi la kiuchumi la Lowassa.Nasisitiza tena kuwa mmiliki wa hisa zote za Aietel ni Lowassa.

Kipindi cha uuzwaji wa mashirika ua umma, mbali na kuwa mashirika mengi yalitolewa kwa mkopo kwa wawekezaji walionunua. Asilimia 40 ya hisa ilibaki serikalini. Ukweli ni kuwa mashirika mengi sana yameshindwa na yalishindwa kulipa gawio serikalini. Airtel kutokana na muwekezaji wake aliamua kujimilikisha hisa zote asilimia 100 ila kwa mkopo wa awamu ya kwanza asilimia 60 kisha magumashi yakafanyika kwa awamu ya pili na pia akapewa asilima 40 zilizo salia ambazo zilikuwa za serikali. Hilo ndilo lililompeleka Lowassa leo ikulu.

Mbali na hayo pia Lowassa anapigania maslahi yake binafsi ndani ya TPI, General tire na Bandari tower. Sidhani kama kwa haya yote Lowassa yupo tayari kupoteza?

Ikiwa mambo yake aliyofuata ikulu yatafanikiwa basi Lowassa atakuwa amewanasua maswahiba wake muhimu kwenye mtego wa kufanywa makapuku akiwemo Ramadhan Madabida.

Chadema wanaweza kumuacha mzee huyu aende ili wawe na msimamo wa kisiasa.Sumaye hana haya mambo, Sumaye alishapoteza uthabiti wake baada ya kunyang'anywa ardhi. Sumaye hana maslahi ya kupigania kwa sasa. Mwacheni Lowassa asumbukie kile anachosumbukia. Lowassa hajawahi kuwa mpiganaji wa mikono bali anapigania maslahi kwa wakati husika. Lowassa hawezi sasa kupigania urais, anapigania kile alichowekeza! Lowassa leo alikubaliwa kwenda ikulu baada ya kuomba sana. Nitaeleza sababu kesho kupitia uzi huuhuu!
barafu, Mzee Mwanakijiji, Chakaza, BAK, Salary Slip, idawa, Richrd
Matola, Zitto juniour, Sky Eclat, Nzi
Francis12, Mwanahabari Huru
 
cocochanel

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2007
Messages
24,362
Points
2,000

cocochanel

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2007
24,362 2,000
Eeeeeeh

Leo movie tamu.. tatizo viongozi wenu wanafikiria pesa pesa na wanamlilia na yule alipokelewa Pugu yaani wanaogopa kukonda.. maana hawajali ya wananchi.. na gemu zao za kupanga matukio zimewekwa viporo.. eeeeh

Yaani siasa imenoga nchini
 
double R

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2011
Messages
2,053
Points
2,000

double R

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2011
2,053 2,000
Msiwaamini wanasiasa. Hakuna sababu ya kujitoa akili kwa ajili yao. Sasa wanatengeneza uchaguzi kupunguza stress. Hadi wamalize sisi maisha yetu yako pale pale. Wakikutana bungeni wanataniana wanacheka.
Tujifunze kupigania mawazo na shida zetu, si watu.
 
S.Liondo

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Messages
3,398
Points
2,000

S.Liondo

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2011
3,398 2,000
Yaani nina hasira kweli. Nikikumbuka jinsi nilivyoshinda kwenye jua mchana kutwa nikiwa nimepanga foleni ya kupiga kura. Nakumbuka nilimalizia siku nzima hapo, yaani toka alfajiri mpaka jioni, kumbe hawa wanasiasa wanatuchezea tu! Uchaguzi ujao sipigi kura, sina muda wa kwenda kuchomwa jua kwa ajili ya watu ambao hawako serious. Na isitoshe, kwanini niendelee kuchomwa jua kwenye foleni za kura na wakati ushindi una umesetiwa automatically na kwa maaa hiyo kura yangu haibadilishi kitu. Uchaguzi ujao mimi nitachapa shuguli zangu kama kawaida.
 
Forum statistics

Threads 1,378,779
Members 525,187
Posts 33,724,246
Top