Kwa wanadamu wa leo,huu unaweza kuwa ukweli mchungu

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,013
144,371
Kila nikitafakari yanayoendelea katika huu ulimwengu yakiwemo ya hapa Bongo, nadiriki kusema:

Binadamu ni wanyama na wanyama ni binadamu

Mnyama kama hana njaa, ni kiumbe mwema kuliko mwanadamu.

Misikitini na makanisani huwa tunakwenda kwa mazoea tu(kwasababu ni utamaduni uliozoeleka ).
 
Kila nikitafakari yanayoendelea katika huu ulimwengu yakiwemo ya hapa Bongo,nadiriki kusema:

Mnyama kama hana njaa,ni kiumbe mwema kuliko mwanadamu.

Shetani..Ibilisi la Tanzania huwa halikosekani kanisani kila jumapili.
 
Mwanadamu ni kiumbe dhaifu asiye na msimamo thabiti atumikiaye nguvu mbili kwa mara moja na wakati wote kwa shetani kidogo kwa Mungu kidogo na hayo ndio maisha yetu mpaka tunakufa na unafiki wote huku tukimpa shetani ushindi mkubwa.

Jr
 
Na kwa hapa Bongo,shetani angekuwa anagawa vyeo na ana kanisa lake,hakika angekuwa na waumini wengi sana!
 
Kila nikitafakari yanayoendelea katika huu ulimwengu yakiwemo ya hapa Bongo,nadiriki kusema:

Binadamu ni wanyama na wanyama ni binadamu

Mnyama kama hana njaa,ni kiumbe mwema kuliko mwanadamu.

Misikitini na makanisani huwa tunakwenda kwa mazoea tu(kwasababu ni utamaduni uliozoeleka ).
nilitoa waraka wa christmas na nikasisitiza kwamba sitashiriki misa hiyo kwenye kanisa nililozoeleka kwa sababu viongozi wa kanisa lile hawapingi utekaji , pia watekaji wanasali humohumo
 
Kila nikitafakari yanayoendelea katika huu ulimwengu yakiwemo ya hapa Bongo, nadiriki kusema:

Binadamu ni wanyama na wanyama ni binadamu

Mnyama kama hana njaa, ni kiumbe mwema kuliko mwanadamu.

Misikitini na makanisani huwa tunakwenda kwa mazoea tu(kwasababu ni utamaduni uliozoeleka ).
Mtumainie Mungu pekee wala si binadamu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom